taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Taifa linahitaji uponyaji je nani wa kuliponya?

    Taifa letu limeingia katika kiza kizito ambacho hatukuwahi kufikiria ,wakati tunaomboleza vifo vya wenzetu 500+ walipoteza Maisha wakati wa uchaguzi bado mioyo ya watu wengi haina faraja na matumaini. Tunapitia kipindi kigumu kama taifa kila mmoja najiuliza tumefikaje?Mwaka 2021 Raisi aliingia...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani hasa utakua muafaka zaidi kwa Joseph Selasini kuanza kupewa heshima na kutambuliwa kama mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa?

    Tusibiri vikao vya Chama vya kumsimika rasmi au tusibiri mapinduzi tukufu halafu tukutane mahakamani? Kuna haja ya kukumbushana kidogo juu ya katiba ya chadema kuhusu nafasi ya mwenyekiti wa taifa au baada ya nafasi kujazwa? haiwezekani mtu awekeze pesa, muda wake meingi na maisha yake yote...
  3. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Taifa lisipoheshimu logic hutawaliwa na kelele, hofu na usanii wa uongo

    “Logic is a practical science of correct thinking.” Hii si sentensi ya darasani tu. Ni msingi wa ustaarabu wa mwanadamu. Ni tofauti kati ya jamii inayotafuta ukweli na jamii inayotafuta washangiliaji. Ni mpaka unaotenganisha dola yenye busara na dola inayotegemea jazba, propaganda na uaminifu...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Iran yaomba ruhusa FIFA kuhamishia timu yake ya taifa Mexico baada ya kugundulika wachezaji, makocha na maofisa wote wamepitia mafunzo IRGC.

    Ijumaa ilopita Iran wamezungumza na shirikisho la kandanda Duniani FIFA kuomba kuhamisha timu yake ta taifa ya kandanda na maofisa wote wanoandamana na timu hiyo nchini Mexico, baada ya kukikiri kuwa wachezaji karibu wote wamepitia mafunzo maalum kutoka jeshi maalum la mapinduzi la Iran maarufu...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Joseph Selasini akawa mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwasababu hakuna wa kumzuia wala kumtatiza kuikwaa nafasi hiyo iliyowazi kwasasa.

    Ni suala la muda tu kuanzia sasa, kwa hilo kutokea kulingana na uelekeo wa siasa za Tanzania na ombwe la uongozi linaloonekana wazi hasa ndani ya Chadema taifa. Joseph Selasini anaingia Chadema kama moja miongoni mwa viongozi nguli na waandamizi wa chama hicho cha siasa, wanaokwenda kujitoa...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kumbukeni ukoloni wa wajomba na history wa kulipiza kuna mtu mmoja analipeleka taifa sababu ni ujombani

    Hapa kinachoendelea ndio kile kinachoendelea afrika kila kona,maana ndio muendelezo wa familia zengine zilipata embe dodo,zengine zina endelea kwa kujificha. kwa kwetu hapa leo mda huu 11:18 nimetoa mada siku ya alhamisi. Utabiri afrika inaweza kuwa sehemu zilizo saidia na ndizo zitakuwa...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa

    Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa. Hakuna waafrika pakukimbilia afrika kila sehemu afrika ni kama ring tone zina fanana kwa ujinga wao. Hivi mnajua zile muvi za zombie ujumbe ulikuwa afrika itakuwa kama zombies na control na vikundi vya zombie wenye unafuu. Hii ripoti msije...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Barabara: Msingi wa Maendeleo ya Taifa

    Wakati mataifa mengi duniani yanapigana kujenga uchumi kupitia miundombinu ya kisasa ni muhimu kwa sisi Watanzania kutambua kuwa uwekezaji katika barabara si anasa wala matumizi ya kawaida ya serikali bali ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote lenye maono ya mbele. Hakuna nchi iliyoendelea...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanayohimiza elimu yameleta maendeleo kwenye jamii, Makanisa yanayofaidisha matapeli ni janga kwenye jamii, hatuna budi kumuiga Kagame

    Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi. hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k. Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel!!.

    Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel umekuwa ukitolewa mara kwa mara na viongozi wa kiislamu kote duniani swali najiuliza Je wanaweza? Natarajia kuona Wafuga Midevu na Majini wakiacha kutumia mitandao yote ya kijamii, wakome kabisa kutumia Simu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za Matukio na 'Kutengeneza Uhalali': Barua kwa Dangote, Kongamano la 'Never Again' na Madhara yake kwa Taifa

    Wana JF, habari za weekend? Naleta mjadala huu mezani kama mwananchi nisiyefungamana na upande wowote wa kisiasa, lakini nikiwa na mapenzi mema na ya dhati kwa nchi yetu ya Tanzania. Kumekuwa na wimbi jipya la mbinu za kisiasa zinazofanywa na kundi linalojipambanua kama 'watetezi wa utawala...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Martin Maranja: Millennials Tumelifikisha Taifa hapa, hatuwezi kuiwajibisha Serikali hata inapokesea

    Ukiachana na huo utani wa “Millennials” na “Gen Z”, kuna eneo moja nakubaliana na Gen Z 100%. Ni ukweli kwamba Millennials tumelifikisha Taifa letu matopeni. Hatuwezi kuiwajibisha Serikali hata inapokosea. Millennials ndiyo uti wa mgongo wa utumishi wa umma kwa sasa; sisi ndiyo injini ya nchi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kiongozi huyu, Taifa litashuhudia maafa kila siku

    Pius Msekwa alipata kusema kumvumilia kiongozi mbovu kwa miaka mitano ni bahati mbaya sana kwa Taifa na huenda taifa hilo likazama shimoni milele lisiinuke tena. Pale ambapo taifa limepata ajali ya kuongozwa na kiongozi asiye na karama/karisma maafa ya kila mara na yanayoacha kumbukumbu mbaya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tumpe Maua yake: Mzee wa Taifa ni Jaji Sinde Warioba

    Kwa watanzania wa sasa hakuna watu wawili wanaheshimika kama Mzee Warioba na Lissu kwa uzalendo wao uliopitiliza kwa taifa. Cha kusikitisha waliopo madarakani hata awamu za nyuma wanafikiria familia zao kwanza kiasi kwamba hawa uwekezaji tunakosa kwasababu ya rushwa. Dangote mfano katuchoka...
  15. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Kupoteza Sauti za Umma: Taifa Linalosahau Haraka

    Kuna wakati unaamka na kuhisi hofu isiyoelezeka. Hofu ya kuona watu waliokuwa sauti ya jamii wakitoweka taratibu kwenye macho ya umma, halafu maisha yanaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea. Hiyo ndiyo hisia ninayopata kila ninaposikia kuhusu watu tunaoweza kuwapoteza kimya kimya, halafu...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa linaangamia kwa kukosa Waandishi critical na investigetive Kama Pascal Mayalla. Ufisadi unatamalaki na taifa lina ombwe kubwa la uongozi.

    Amebaki Pascal Mayalla anajitutumua kua very critical. Ufisadi unaoendelea sasa hivi bila kuwa tasinia ya habari yenye waandishi wa habari kama Pascal Mayalla taifa letu linakwenda pabaya sana. Bajeti zinapitishwa na bunge huwezi kuona Mwandishi amechambua au kumhoji waziri husika...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Chama akipewa uraia ndio Taifa Stars itafanya vizuri? Hii CCM imekosa maono. Hawafikirii kuboresha maisha ya Walimu wanafikiria porojo

    Walimu wengi wanaishi maisha magumu sana. Nyumba za shida na mazingira ya kufundishia ya shida na tabu tupu. Inakuwaje chama kupewa uraia imekuwa kipaumbele kuliko maendeleo ya walimu?
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hasara za Taifa

    Wabunge wa (covid 19) walisababisha hasara ya shilingi bilioni 16+🙄 Hawa covid 19 walifukuzwa uanachama na chadema , CCM kwa masilahi yao wakalazimisha wakae bungeni kwa miaka mitano kinyume na katiba ya Tanzania na hivyo kusababisha hasara ya bilioni 16+🤔
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hizi pombe zinaharibu vijana sana mtaani, ni janga la Taifa

    Unakosea kuziita pombe, huo ni uchafu. Pombe ni chakula. Nikiona mtu anakunywa hizo namwona kama mjinga mjinga. Weka na K Vant pia hapo
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Rwanda Paul Kagame Kufanya Ziara Ya Siku Moja Nchini hapo Kesho. Kufanya mazungumzo na Taifa Rais Samia Moyo Wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho. Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha...
Back
Top Bottom