taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iachane na njama za kuvuruga uchaguzi, zitaligharimu Taifa

    Taarifa ya Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ndg. Ado Shaibu, leo tarehe 02 Juni 2020. Chama cha ACT Wazalendo kinasikitishwa na kupinga vikali mwenendo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuendesha mchakato wa mabadiliko ya Kanuni mbalimbali za Uchaguzi bila kuwashirikisha vya kutosha wadau wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Habari Tanzania Vs Usalama wa Taifa

    Kiukweli kabisa kama sekta ya Habari nchini ingetumika kiufasaa kama mataifa mengine yaliyoendelea katika sekta ya habari ingelisaidia taifa katika maswala mazima ya Usalama wa Taifa, mwandishi wa habari aliyekwiva ni zaidi ya Usalama wa Taifa, tuachane na hawa waandishi wa kupokea bahasha kuna...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Fikirisho suala Tito Magoti: Je, kwanini tulimtoa mzungu Afrika?

    Tito Magoti anatakiwa aje mtaani ajenge Taifa lake...Inaumiza sana.. Moyo unauma sana nikiwafikiria wafrika wenzetu ambao walipoteza maisha ili mzungu aondoke . Africa tulimuondoa mkoloni lengo siyo kumuondoa mzungu kwakua alikuwa na sura mbaya No. Nadhani babu zetu waliaamini tukimtoa Mzungu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naangalia kirikuu dhidi ya mchawi karaba (Mtukufu) Nimegundua Ujasiri wa mmoja unaweza kuokoa Taifa

    Nilichojifunza Jasiri huzaliwa kwa lengo maalum! Hafi hadi kusudio la Mungu litimie! Hupitia msukosuko Mingi kuliokoa Taifa! Nguvu ya Mtukufu Ipo kwenye VIKARAGOSI
  5. JamiiForums Tanzania Hili la Rais mstaafu Mkapa kufanyia vikao vya baraza la usalama la taifa mjini Dodoma enzi za utawala wake ni kuwa ikulu ya Magogoni haiaminiki!

    Miongoni mwa kauli nzito aliyotoa Rais mstaafu wa awamu ya tatu mzee Benjamin Mkapa ni kuwa enzi za utawala wake vikao vyote vya baraza la usalama la taifa vilifanyikia mjini Dodoma. Tafsiri yake ni kuwa kikao hiki kilikuwa kinajadili mambo ya siri za usalama wa nchi (Labda ikiwemo upotezaji)...
  6. B

    JamiiForums Tanzania 'Timu ya Taifa' ya Wahandisi katika mradi wa Umeme Rufiji

    Mhandisi Robert Kabudi mwenye miaka 20 ya kusimamia miradi mikubwa ya ujenzi nje ya Tanzania pamoja na wahandisi wengine mahiri wazalendo wapo ktk mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umeme la Rufiji linatotegemewa kuzalisha 2115 MW wa umeme Tanzania. Mhandisi Robert anaitaja timu hiyo ya watu 21...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Taifa kubwa, tusiyumbishwe

    Miaka ya 1776 Jasusi wa Kimarekani William Carmichael alitumwa na Taifa lake kwenda kutafiti na kujua ni kwa namna gani USA inaweza kuteka soko la Tumbaku Duniani ambalo lilikuwa limeshikiliwa na bara Ulaya. Kipindi hicho Ukraine ilikuwa ikizalisha tumbaku Bora kabisa na nyingi Duniani. Jasusi...
  8. JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Wadiya: Taifa la Afrika lisilotambulika

    Ukitazama filamu iitwayo “The Dictator” iliyoingia sokoni kwa mara ya kwanza mwaka 2012 (sasa inapatikana katika mtandao wa Netflix na Youtube) utabaini kuwa kuna taifa barani Afrika linaloitwa Jamhuri ya Kidikteta ya Wadiya, maarufu kwa jina la Wadiya. Ni filamu iliyoigizwa katika nchi mbili...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ilimtunzia heshima Mbowe hakuitunza, ilikuwaje ahutubie Taifa? alete mkanganyiko wakati wa Corona?

    Mbowe alistahili kuwa jera toka muda mrefu ila serikali imemtunzia siri zake nyingi sana hata yy anajua ila yuko kwenye mwamvuli wa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwamba ukimgusa nchi mbalimbali zitaiandama Serikali lakini kwenye janga LA Corona alitenda kosa kubwa mnoo hasa alipowaamuru wabunge wa...
  10. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Jafo anawakaribisha katika nyungu ya taifa

  11. JamiiForums Tanzania Hii video inasadifu jambo katika taifa letu naiombea mema Tanzania

    Hii video inasadifu Jambo katika taifa letu.... Thank Lord Naona covid ikidunda Yaan kariakoo leo shangwe Kama lotee hakuna mask tenaaa Kikubwa Tuendelee kuchukua tahadhari zote Yasije yakatukuta aliyo tabiri zito kabwe
  12. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara: Mashine moja ilikuwa na hitilafu. Upimaji wa COVID19 umehamishiwa katika Maabara mpya iliyopo Mabibo

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa ripoti ya Uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na kueleza mambo kadhaa yaliyogunduliwa na Kamati teule ya Uchunguzi Amebainisha kuwa Kamati imegundua uwepo wa Mapungufu katika mfumo wa kimuundo, kiutendaji na uendeshaji wa kitaaluma katika upimaji wa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nini kama Taifa tumepoteza baada ya kufutwa kwa mbio za mwenge na sherehe za muungano

    Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu,Taifa limepata hasara gani kiuchumi baada ya kuahirishwa kwa sherehe za muungano na mbio za mwenge kwa mwaka huu na fedha zote kuelekezwa kwenye covid-19.Kutakua na hasara gani endapo yote haya yakiendelea hivi hivi na fedha zile zikawa zinaelekezwa kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Vyombo vya dola viwachukulie hatua wanaofanya uchochezi kwamba katika nchi isiyo na dini, mkuu hawezi kuhutubia taifa kanisani

    Kuna watu wana chokochoko, wakiona maji yametulia,wanayakoroga,almuradi tu hawapendi amani na upendo ndani ya taifa Kuna watu wa ule upande mwingine wanasema hawawezi kusikiliza au kupokea na kuangalia maagizo yanayotolewa kanisani kwa njia ya hotuba. Wanasingizia kwamba wao sio wa dini hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahutubia Taifa au Kanisa?

    Jumapili 17-05-2020 Rais wetu mpendwa aliongea "kutoka KKKT ambapo yeye siyo muumini, ila aliamua kwenda kushiriki Je, Taifa la Tanzania lina dini? Je, Muislamu ililazimika kuangalia ibada ya wakristu, kadhalika wasio Walutheri walazimike kuangalia ibada hiyo ili kumuona Rais akipewa nafasi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania tuamke tulitetee Taifa letu

    Na Thadei Ole Mushi. Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa. Ipo hivi Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli Vs Freeman A. Mbowe

    Nimezitazama na kusikiliza hotuba zote za viongozi hawa wawili kupitia YouTube. Ya Mbowe nimeisikiliza na kuitazama kupitia MwanaHalisi Youtube Channel na takwimu zinaonesha kuwa imesikilizwa na kutazamwa na watu 1,300,000+ hadi kufikia leo tarehe 17/5/2020 saa 5:50 usiku. Ya Rais Magufuli...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kwa hili la COVID-19 hujengi Taifa bali unajenga chuki na hasira kwa wananchi

    Mh Rais samani I know una nguvu zote na Mamlaka ila hiki unakifanya kubeza njia za kisayansi na kupingana na watu wa afya wazi kweli unalitesa Taifa na kamwe hulijengi. Hivi kweli una apa nakujivuna as if huwoni nini kimeikumba dunia kweli basi hata kama niukweli basi kuna mambo bora usiseme...
  19. JamiiForums Tanzania Kila baya wanaloliombea Taifa letu hawafanikiwi. Mungu yuko pamoja na Tanzania

    Hawa jamaa na chama chao mimi nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi ni watanzania au ni mamluki wa mabeberu? Sitaki kutaja chama chao sababu sio wastaarabu na wanamatusi utadhani wamezaliwa na shetani. Walianza kuombea mabaya mradi wa SGR na wakasema hautakamilika kisa tu eti kwa Tanzania hiyo ni...
  20. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

    Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni. =============== Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe uliokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…