taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali tunawaomba muifanye lugha ya Kigogo iwe lugha ya pili ya Taifa la Tanzania, kwa sababu hizi

    Kigogo ni lugha ya Wagogo toka Dodoma, sababu zinazopelekea kuipendekeza lugha hii kuwa lugha ya Taifa ni: Kwanza ina kitu tunachoita Yodo, kisomi Yodo ni hali ya muziki wa utulivu toka nyimbo za Afrika Kusini, Wanyakyusa, Wanaigeria na nyimbo za marehemu Komba. Pili wanaozungumza Kiswahili...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Commando huwa ni jasusi mzuri kuliko yule mtu wa kawaida tu aliyepitia mafunzo ya Usalama wa Taifa?

    Nimesikia mahala kuwa COMMANDO (si lazima awe wa Tanzania) ana uwezo wa kupata taarifa nyeti hata kuliko Mwana Usalama Taifa mwenyewe. Kwa mfano; COMMANDO wa Malawi anaweza akaenda nchini Zimbabwe katika maeneo yao muhimu na akapata akitakacho na wala asishtukiwe, lakini kwa Usalama wa Taifa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Malawi 2020: Hongereni wana wa Malawi, hakika nyie mnaongoza taifa huru

    Mutharika kaaanguka. Haki imetamalaki Wananchi wameamua kumtoa kuhani madarakani. Sio mapolisi wala wana wa usalama walioingilia mchakato. Hatukusikia IGP wa huko wakiingilia mchakato na kuviita vyama vya upinzani vikiitwa vyama vya hovyohovyo kama anavyoita hapa kwetu bwana SIMON SIRRO. Hii...
  4. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF na Wilfred Lwakatare waiteka Tanga

    WAJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF & WILFRED LWAKATARE WAITEKA TANGA. KILA WILAYA WANAYOFIKA WAPOKELEWA KIPEKEE Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF wameamua kufika kila wilaya kuzungumza na wanachama na Viongozi wa CUF kuweka mikakati kuelekea katika Uchaguzi Mkuu. Wameanza na Mkoa wa Tanga na...
  5. JamiiForums Tanzania Taifa letu lina watu wengi wasiowaza vizuri

    Habari wana JF, Kwa masikitiko makubwa naomba nitoe maoni yangu chefuzi. Watu wetu wana IQ ndogo, kwa sababu ya hofu wanashangilia udhalimu na kupigia mapambio uonevu. Je, kazi ya akili ni nini, ikiwa haikufikirishi? Je, kazi ya elimu ni nini ikiwa haikuelimishi? Ikiwa unauza utu wako kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Pangani jijini Tanga limewakamata viongozi wa CUF pia ni wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa la CUF

    Jeshi la Polisi Mkoani Tanga wilayani Pangani, limewakamata viongozi wa cuf pia ni wajumbe wa baraza kuu la taifa la CUF. Wamekamatwa wakiwa katika ujenzi wa chama #hatuwezikurudinyuma.
  7. JamiiForums Tanzania Ni lini CCM itainunua Clouds Media Group kuwa Chombo chake cha Propaganda au ni lini Clouds Media Group itakuwa Msaidizi wa TBC1 na Taifa?

    Najua Wahusika muhimu wa Chama na Serikali wapo sana hapa Jamvini JamiForums hivyo Mzukulu nitapata Mrejesho wangu hasa na niridhike.
  8. JamiiForums Tanzania Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

    Tundu Lissu na rekodi yake ya kisiasa, ati sasa naye anautaka Urais. ............... APR 17 EDWIN MTEI ASIKITISHWA NA ALAANI KITENDO CHA TUNDU LISSU KUMTUKANA BABA WA TAIFA, MWL. NYERERE Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na...
  9. JamiiForums Tanzania Rais anayetawala kwa kutegemea alivyoamka ni hatari sana kwa Taifa

    Ile kauli ya Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere(rip) kuwa tunataka Rais atakaye HESHIMU Katiba ya nchi na kwamba hatuwezi kuwa na Rais anayelala na mkewe usiku na halafu kesho yake asubuhi anatoa tamko. Leo imejidhihirisha kwa Rais Magufuli aliposema kuwa kumbe: MAAMUZI YAKE YA UTEUZI NA...
  10. JamiiForums Tanzania JWTZ, iombeni Serikali isitumie vyeo vyenu wala sare zenu kwa ustawi wa Taifa

    Naliomba jeshi letu JWTZ liiombe Serikali yetu isitumie sare zake kwa namna yoyote ile kwenye post za kiraia. Wala nafasi kubwa za kiraia za kuchaguliwa zisivae sare za jeshi letu kamwe. Sababu. Tunaànza kuona jeshi linatumika kisiasa kabisa wazi wazi Sasa wananchi wasije kutafsiri under...
  11. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Taifa | Vodacom Premier League: Simba SC 3 - 0 Mwadui FC

    ==== BAADA ya kutoka sare katika mchezo wao uliopita dhidi ya Ruvu Shooting, hatimaye kikosi cha Simba kimeibuka na ushindi wao wa kwanza leo dhidi ya Mwadui, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam tangu kurejea kwa Ligi Kuu Bara, Juni 13. Ligi Kuu Tanzania Bara ilisitishwa Machi 17 kutokana...
  12. JamiiForums Tanzania Tuifanye Tanzania Taifa la Wajasiriamali-Risk Takers

    Najua kuna watakao elewa hili ni kuna ambao hawataelewa hili; Kama taifa inabidi wakati tuamue kama taifa tunataka kuwa taifa la namna gani,Je tunataka kuwa taifa la walalamishi,walaumuji,wajutaji na watu tusio na mbele wala nyuma au tunataka kuwa taifa la watu jasiri waleta mabadiliko waota...
  13. JamiiForums Tanzania Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

    Mbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja. WASIFU Dkt. Hussein Ali Mwinyi ni Waziri wa...
  14. JamiiForums Tanzania John Bolton, Mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa nchini Marekani ashtakiwa

    Habari! Serikali ya Marekani chini ya rais Donald Trump imemshitaki mshauri mkuu wa zamani wa usalama wa taifa, John Bolton, ili kuzuia kuchapishwa kwa kitabu chake kipya kinachohusu wakati wake alipokuwa katika ikulu ya White House. John Bolton. Kitabu hicho kilichopewa jina "The Room Where...
  15. JamiiForums Tanzania Darasa la 7 kuanza mitihani ya Taifa Oktoba 7, 2020 huku Kidato cha 4 wakianza Novemba 23, 2020

    "Darasa la 7 wataanza Mitihani Oktoba 7-8, Kidato cha 2 wataanza Nov 9 -20, wanaomaliza Kidato cha 4 na wa kujitegemea, wataanza Nov 23 hadi Disemba 11, na Darasa la Nne wataanza Novemba 25 - 26, 2020 " -Waziri wa Elimu, Prof Joyce Ndalichako. "Kidato cha 5 wataanza kufanya mitihani Julai 24...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma. Maendeleo hayana vyama!
  17. JamiiForums Tanzania Tunachagua viongozi kwa maslahi ya Taifa au maslahi ya vyama vya Siasa?

    Habari wadau. Pole na majukumu ya kujenga taifa. Wananchi wa chini wanapambana vya kutosha kusogeza taifa letu mbele, nguvu kazi zao na jitihada hukwamishwa na sera duni za nchi, sheria duni za nchi, taasisi na serikali isio-lenga kumnasua mtanzania wa chini kwenye umaskini uliokithiri. Hayo...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Tumeharibu Taifa letu sisi wenyewe kwa kukubali ulimbukeni wa kumwacha mtu mmoja afanye atakavyo

    Nchi yetu imekuwa kituko sana siku hizi. Ukisikiliza hata vyombo vya habari vya nje jinsi wanavyoizungumzia nchi utafikiri wanaizungumzia Sudani ya Kusini, DRC au nchi zile zilizotawaliwa kimabavu. Imeonekana viongozi wetu wengi wamepoteza weledi na wamekuwa wachumia tumbo na matapeli mbele ya...
  19. JamiiForums Tanzania Simba SC: Kuwakabili Ruvu shooting uwanja wa Taifa

    Mabingwa watetezi ligi kuu bara, wekundu wa msimba(simba) leo majira ya saa kumi jioni. Watakipiga na majirani zao kutoka mkoani pwani Ruvu shooting fc hakika utakuwa ni mchezo mkali na wakusisimua. Kwa watakao kwenda uwanjani viingilio ni kama ifuatavyo: 1.MZUNGUKO elfu 5000 2.VIP B elfu...
  20. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza amshukia Lugola kwa kumfananisha Magufuli na Yesu. Asema hii laana lazima itafune mtu na Taifa

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ___________ Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…