taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Nini kama Taifa tumepoteza baada ya kufutwa kwa mbio za mwenge na sherehe za muungano

    Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu,Taifa limepata hasara gani kiuchumi baada ya kuahirishwa kwa sherehe za muungano na mbio za mwenge kwa mwaka huu na fedha zote kuelekezwa kwenye covid-19.Kutakua na hasara gani endapo yote haya yakiendelea hivi hivi na fedha zile zikawa zinaelekezwa kwenye...
  2. Vyombo vya dola viwachukulie hatua wanaofanya uchochezi kwamba katika nchi isiyo na dini, mkuu hawezi kuhutubia taifa kanisani

    Kuna watu wana chokochoko, wakiona maji yametulia,wanayakoroga,almuradi tu hawapendi amani na upendo ndani ya taifa Kuna watu wa ule upande mwingine wanasema hawawezi kusikiliza au kupokea na kuangalia maagizo yanayotolewa kanisani kwa njia ya hotuba. Wanasingizia kwamba wao sio wa dini hiyo...
  3. Rais Magufuli ahutubia Taifa au Kanisa?

    Jumapili 17-05-2020 Rais wetu mpendwa aliongea "kutoka KKKT ambapo yeye siyo muumini, ila aliamua kwenda kushiriki Je, Taifa la Tanzania lina dini? Je, Muislamu ililazimika kuangalia ibada ya wakristu, kadhalika wasio Walutheri walazimike kuangalia ibada hiyo ili kumuona Rais akipewa nafasi ya...
  4. Watanzania tuamke tulitetee Taifa letu

    Na Thadei Ole Mushi. Leo Nchi yetu imefunga mipaka yake na Kenya kwa baadhi ya Mikoa. Habari kubwa Kenya Ni hatua hiyo ya Tanzania... Yaani huko Kenya wamechachawa haswa. Ipo hivi Kenya walikuwa Wana deal na Corona kwa mission kubwa mbili. Moja kuua kabisa Utalii wa Tanzania kwa kusema kuwa...
  5. Hotuba ya Rais Magufuli Vs Freeman A. Mbowe

    Nimezitazama na kusikiliza hotuba zote za viongozi hawa wawili kupitia YouTube. Ya Mbowe nimeisikiliza na kuitazama kupitia MwanaHalisi Youtube Channel na takwimu zinaonesha kuwa imesikilizwa na kutazamwa na watu 1,300,000+ hadi kufikia leo tarehe 17/5/2020 saa 5:50 usiku. Ya Rais Magufuli...
  6. T

    Rais Magufuli, kwa hili la COVID-19 hujengi Taifa bali unajenga chuki na hasira kwa wananchi

    Mh Rais samani I know una nguvu zote na Mamlaka ila hiki unakifanya kubeza njia za kisayansi na kupingana na watu wa afya wazi kweli unalitesa Taifa na kamwe hulijengi. Hivi kweli una apa nakujivuna as if huwoni nini kimeikumba dunia kweli basi hata kama niukweli basi kuna mambo bora usiseme...
  7. Kila baya wanaloliombea Taifa letu hawafanikiwi. Mungu yuko pamoja na Tanzania

    Hawa jamaa na chama chao mimi nashindwa kabisa kuwaelewa. Hivi ni watanzania au ni mamluki wa mabeberu? Sitaki kutaja chama chao sababu sio wastaarabu na wanamatusi utadhani wamezaliwa na shetani. Walianza kuombea mabaya mradi wa SGR na wakasema hautakamilika kisa tu eti kwa Tanzania hiyo ni...
  8. Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

    Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni. =============== Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe uliokuwa...
  9. Kutoka maktaba za Taifa

    Msaada wa kuwatambua wengine zaidi ya Dr John Magufuli.
  10. M

    Virusi vya corona: Rais wa Madagascar Rajoelina amewashutumu wakosoaji wa dawa ya mitishamba

    Bwana Rajoelina anasema kwamba taifa la Ulaya lingekuwa limetenegenza dawa hiyo, majibu ya mataifa ya magharibu yangekuwa tofauti Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amesema kwamba wakosoaji wa dawa ya mitishamba ambayo haijajaribiwa ambayo anaipigia debe kuwa tiba ya Covid-19 inaonyesha tabia...
  11. Tetesi: Waziri Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara ya taifa kimya kimya!

    Naona leo waziri wetu wa afya ambaye hatumuelewi siku hizi, bi Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara kimya kimya. Chanzo changu cha kuaminika kinadokeza kuwa waziri wetu amepewa ripoti hiyo leo mchana mjini Dodoma. Itabidi tufuatilie hali ya mbuzi wetu hukooo6
  12. Mnachotaka hasa nini juu ya taifa letu?

    Kabla ya JPM kuingia madarakani mlikuwa kila siku mnapiga kelele kuwa nchi imeoza, ufisadi umetapakaa kila kona na Ccm inaenda kufa. Ilikuwa kila kikao cha bunge lazima usikie kuna ufisadi wa kuutisha mara Epa ,Escrow n.k. Rais aliyekuwepo najua kwa asilimia kubwa alikuwa hataki haya mambo ndio...
  13. T

    Taifa hili linatisha sana katika nyanja ya usalama

    Hili taifa ni moja ya mataifa duniani yenye complex securty system. Kiasi huwezi mjuwa kiurahisi nani ni nani. Ni taifa pekee ninavyo amini hata Wazungu walipatwa na shock vile tunafanya kazi. Ndio maana kuna mahali ktk mtandao au kitabu jamaa waliambiana wasituamini sana. Kenya ni heaven ya...
  14. Let let (retreat) ya Rais Magufuli inaweza kuwa na afya kwa Taifa

    Wakatoliki hususan vijana ambao wako msingi na sekindari huwa wanahudhuria mafundisho ya dini kabla ya kupata komunio ya kwanza au kipaimara. Kwa bahati mbaya sana huwa wanayaita let let ila kimsingi hushindwa kutamka retreat. Ni kipindi kifupi kabla hawajapata hizo ekaristi.kimsingi ni...
  15. T

    Serikali ya awamu ya Tano mambo ya kujifunza na kurekebishwa kwa usalama wa Taifa

    Serikali ni ya wananchi na sio yamtawala hivyo madaraka yapo kwa wananchi hivyo lazima uwasikilize sana wapiga kura.. Pili ndani ya katiba kuna ufa mkubwa hivyo ili kuleta umoja wa kitaifa na taifa lenye kuendeshwa ktk misingi ya sheria na kuheshim miimili mitatu lazima katiba tuifanyie kazi...
  16. Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

    “[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema...
  17. Taifa lipo kwenye hofu kubwa, mnapopotosha umma ni kama mnachochea moto

    Hakuna kitu kibaya kama hofu na tena hofu ya kufa. Kila Mtanzania sasa hivi ana hofu kubwa sababu hali ya huu ugonjwa unaoingamiza kwa hapa Tanzania hijulikani ipo katika level gani. Nasema hivyo sababu bado sijasikia toka kwa mamlaka husika kuwa maambukizi yanaaendelea kushika kasi? Yamepungua...
  18. Rais Serikali inaangalia tija, wachukue watu kama Maxence Melo waingize Serikalini tulijenge Taifa

    Mh Rais siku zote serikali inaangalia tija kwamba an individual anaifanyia Nini nchi kwa manufaa ya taifa. Cha muhimu kwenye serikali ni deliverence na uadilifu. Naishauri serikali Iwachukue vijana wenye mafanikio Katika sekta binafsi iwaingize Serikalini ili watumie vipaji vyao na uwezo wao...
  19. Taifa lipo kwenye hofu kubwa, wataalamu wa saikolojia wawasaidie wananchi

    Hili lipo wazi kabisa sasa hivi taifa letu wananchi wake wana hofu kubwa kwenye mioyo yao. Hofu juu ya ugonjwa wa Covid -19. Hasa baada ya kuwa na vifo vingi sana ndani ya siku nne zilizopita. Na hii sio imetokea hapa Tanzania tu hata nchi zilizoendelea kama Uk na Usa watu wana hofu. Kwa...
  20. Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

    Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo. Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…