taifa stars

The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. Daraja2

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Taifa Stars baadhi acheni uzwazwa

    Jibuni hili swali ; KENYA v/s MOROCCO nani alifungwa ? Acheni kukatisha watu tamaa likiwemo benchi la ufundi. Kama wewe ni mzalendo wa kweli toa maoni yako hapa tutayafanyia kazi "Kama yanatekelezeka" "KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE..................."
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchezaji wa Taifa Stars PIPINO JR anakimbia kimbia tu Uwanjani hana Tija

    Ni nadra sana kukuta Mchezaji wa Mpira wa Miguu mwenye Matege mabaya kama yake akawa anajua Mpira. Ilitokea bahati tu kwa Marehemu Ramadhan Lenny kuwa nayo na hakika alikuwa na Kipaji cha hali ya Juu hasa katika Nafasi ya Kiungo wa Juu na cha Chini. Hebu upesi sana Kocha Hemed Morocco amtoe...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Stars Ikiiangamiza Madagascar Huku Nikihamasisha Watanzania Kulipa Kodi KWa Maendeleo Yetu

    1. Mambo 10 yasipoanza na uwezo wa Clement Mzize itakuwa sio kweli, leo ameonyesha uwezo mkubwa sanaaaa na Kama angeongeza umakini kidogo tu angeondoka na ball leo. 2. Tanzania Ina viungo wengi sana wa chini tena wana uwezo mkubwa kushinda Abdulrazak Hamza, wapo Andambwile, Mkude, Sure Boy...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Hongera Taifa Stars kufuzu robo fainali ni historia kubwa sana kwa Taifa

    Hongereni wachezaji, bechi la ufundi na uongozi kiujumla kwa kazi nzuri ya mliifanya hadi kufika hapa! Si kazi rahisi ni kujitoa kwa wachezaji na kujipathamani wao na kujiuza katika soka zaidi. Ule Usimba na Uyanga aupo ndani ya wachezaji wote wanajitoa kufanya walichotumwa na kocha wao na...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania FT' Tanzania 2-1 Madagascar, Tanzania imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya Robo Fainali CHAN 2024

    Taifa Stars kuivaa Madagascar leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajiwa kushuka dimbani leo jioni kukabiliana na timu ya taifa ya Madagascar kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Mchezo huu ni wa tatu mfululizo kwa Stars katika...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars Hemed Morocco iwe mwanzo na mwisho Kujaribisha Wachezaji kama PIPINO JR katika Mechi muhimu na za Maamuzi

    Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na huu Uzee wangu wote nikipasha kisawasawa kwa Wiki Mbili tu ukinipambanisha na huyu Mchezaji PIPINO JR aliyeniboa sana Juzi namchukulia namba na bado nazima viuri sana Dimba la Juu. Mpaka mnaona tunachambua Mpira na hadu kuwa Washindi wa Jukwaa la Michezo hapa...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi aikabidhi Taifa Stars milioni 20

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiikabidhi Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) kitita cha shilingi milioni 20 (Goli la Mama) baada ya kuifunga Burkina Faso 2 - 0 katika ufunguzi wa Mashindano ya CHAN Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Taifa Stars

    Jana usiku kulikuwa na ufunguzi wa michezo ya CHAN baina ya Taifa stars na Burkina Fasso. Hongereni sana Taifa Stars kwa kufanikwa kuwafunga timu ya Burkina Fasso magoli mawili kwa sifuri. Jana timu ilicheza kwa maelewano mazuri na ninatumaini kwa michezo inayofuata hawatatuangusha Watanzania...
  10. R

    JamiiForums Tanzania RC Albert Chalamila akiyarudi usiku wa Ushindi wa Taifa Stars dhidi ya Burkina Faso

    Wakuu, Kumbe Mkuu wa Mkoa yupo vizuri hadi pande hizi, si kwenye Siasa tu Ila si kwa hii miondoko, sijui jamaa posho zimezidi 😂 😂 😂 ni miondoko ya Miso misondo umepigaje apo
  11. P

    JamiiForums Tanzania MATOKEO YA GOLI LA MAMA: TAIFA STARS WAANZA CHAN KIBABE

    Timu ya Taifa ya wanaume ya mpira wa miguu wametoa burudani la kibabe na kuwa washindi dhidi ya timu ya Burkinafaso. Nakubaliana na huu msemo kuwa msione vyaelea, vimeundwa. Msemo huu unajidhihirisha baada ya mama kuwekeza kwenye mpira kwa kutoa motisha kwa wafungaji kitu ambacho kimewaongezea...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa yupo uwanjani kuwasapoti Taifa Stars lakini anaonekana ana mawazo sana

    Imeonyeshwa picha ya PM Majaliwa akiwa uwanja wa Benjamin Mkapa akifuatilia na kuisapoti mechi ya Taifa Stars kwenye mashindano ya CHAN. Anaonekana yu katika lindi la mawazo, amepoa sana. Je ameshindwa ku-move on?
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mrisho Ngasa, Victor Wanyama na Denis Onyango kwenye Uzinduzi rasmi wa Kombe la CAF CHAN 2024

    Kivumbi cha Mashindano ya CHAN 2024 kuanza Jumamosi hii, Agosti 2,2025, Tanzania ikifungua dhidi ya Burkina Faso kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku Magwiji wa soka Mrisho Ngasa, Victor Wanyama na Denis Onyango wakishiriki katika uzinduzi rasmi wa Kombe la TotalEnergies CAF CHAN Soma zaidi...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taifa Stars ikishinda kuna Tuzo ya Mama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania kuwakaribisha Wageni wanaokuja kushiriki katika Mashindano ya CHAN Barani Afrika yatakayofunguliwa kesho August 2 kwa kuhimiza Utulivu, Heshima, Ukarimu na kwa Amani. Soma zaidi: Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda...
  15. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars Tengenezeni timu yenu kumzunguka Abdul Suleiman 'sopu'

    Kwanini? Ndio namba yake asilia,, ni Top top clinical finisher akicheza as final strikers Sio winger,, kama nilivyo eleza hapo juu,,, Hiki ni kipaji kikubwa sana cha hapa bongo ambacho tunalichukulia poa Nimemaliza
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Unakionaje kiwango cha Taifa Stars katika mashindano ya CECAFA kuelekea CHAN 2024?

    Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeibuka na ushindi katika mechi zake mbili za kirafiki, kwenye michuano ya CECAFA 3 Nations Tournament ikiwa ni maandalizi ya kuelekea fainali za Michuano ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani ya Nchi (CHAN) 2024 zinazotarajiwa kuanza Agosti 2. Tanzania...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda ubingwa wa CHAN 2024

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa shilingi bilioni 1 kwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu Tanzania (Taifa Stars) endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa CHAN 2024 na kubeba kombe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Palamagamba Kabudi, amesema hayo leo July 24,2025...
  18. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Yaani mchezaji aache kufanya "trials" Marekani, akimbilie Taifa Stars kwa kigezo eti ni mzalendo?? hivi wachambuzi huwa mnakunywa shing'wa

    Kibu denis anapambania kutoka huko nje aongeze kipato anatokea mchambuzi amekula maharage ya mbeya na kumuita kibu ni msaliti na siyo mzalendo kwa kua tu hajaitika wito wa timu ya taifa siyyo kibu tu hata mimi NALIA NGWENA siwezi kuja kwenye timu ambayo najua wazi kabisa inashiriki kukamilisha...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 0 -0 South Afrika, mechi ya kirafiki kimataifa

    06 June 2025 Peter Mokaba Stadium Pietersburg (Polokwane) South Africa Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' kinatarajiwa kuingia uwanjani leo kuvaana na Afrika Kusini 'Bafanabafana' kwenye uwanja wa Mokaba stadium. Mchezo upo dakika 60 bado milango ni migumu kwa timu zote...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia anafanya siasa Simba na Yanga; kocha wa Taifa Stars halipwi mshahara!!

    Wadau nchi hii ina sanaa nyingi sana. Kimsingi hamna uongozi wa kujenga taasisi imara badala yake mna kikundi cha watu wanaowekeza kwenye siasa ya kubaki madarakani. Imebainika kwamba wakati Samia akitafuta kura kupitia Simba na goli la mama, kumbe kocha wa Taifa Stars hana mshahara wala...
Back
Top Bottom