taifa stars

The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tume ya uchaguzi ya CAF (Refarii)kainyima ushindi Taifa stars.

    Auae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda wakilalamika kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati. Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu inayonifanya nitake Taifa Stars ifungwe na Morocco

    Katika kipindi ambacho Taifa linapitia majonzi kwa familia nyingi kupoteza Ndugu zao Kwa matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, na kuacha mayatima wengi bila hata mayatima Hawa kutokuwa wazazi wao wamezikwa wapi, na wengine waliouwawa kufuatwa majumbani kuchukuliwa na kuuwawa pasipo kushiriki...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuna hawa washenzi wanaobeza hata pongezi ya Taifa Stars

    1. Aisee leo nimeshangaa sana tumefuzu kwa shida shida hivyo hivyo kuingia 16 bora bado kuna watanzania wenzetu bado wanakejeli na hawa hawa ndo tunataka wawe wanaonewa huruma wakifinywa , Wengi wanatoa sababu eti maji hakuna mara hiki hakuna , sawa kweli nchi inaweza ikawa inashughughulikia...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Bila Samia, Taifa Stars wasingefuzu

    Hongera Samia kwa kuwezesha Taifa Stars kufuzu mpambano wa ubingwa wa soka Afrika. Bila uwezo wako wa ajabu wa kutenda miujiza, haya yangetokeaje? Nakushukuru sana rais. Hawa Taifa Stars wanapaswa kukupongeza wewe na siyo wewe kuwapongeza. Maana, kila walipokuwaza, nguvu zao za kimwili...
  5. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aipongeza Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza

    Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu. Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi...
  6. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Sijapenda kabisa Tanzania kufuzu 16 bora Afcon hapo sifa zote watapewa wauaji

    Kwakweli sijapenda.. Sijafurahishwa kabisa.. Tumeshaanza kuona Samuya akipewa sifa zote.. Tayari utasikia mama this mama that.. Huyo Bashite ndio balaa atajisifu kama nini. Kifupi CCM wanachukua point tena sijapenda kabisa.. Hiyo tarehe 4 ifike haraka Morocco amalize hizi kelele..
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars wamejiandaa kurudi?

  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania INEC fanyeni jambo Taifa stars tushinde AFCON dhidi ya Tunisia

    Leo saa 1:00 usiku tuna mechi ngumu dhidi ya Tunisia aliyetoka kufungwa na Nigeria, hii ndo game iliyoshika hatima yetu ya kufuzu 16 Bora Japo ushindi wa Leo unaweza kutufanikisha katika best losers iNEC kama wataalam wa kufanikisha ushindi ni hazina Kwa Taifa fanyeni jambo pale Morocco
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania Simon Msuva aifikia rekodi ya Mrisho Ngassa, afikisha Magoli 25 Taifa Stars

    Mshambuliaji wa Timu ya Tanzania “Taifa Stars”, Simon Happygod Msuva ameifikia rekodi ya Mrisho Ngassa ya kufunga Magoli 25 katika timu hiyo na hivyo kuwa wachezaji waliofunga Magoli mengi ngazi ya timu ya Taifa. Msuba amefikia rekodi hiyo kwa kufunga kwa njia ya penati katika mchezo...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Taifa stars ni kama hawana lishe na walegevu mno

    Binafsi ni mpenzi wa football Jana nimefuatilia mechi ya Stars na Nigeria Ilikuwa kama mashindano ya shule Kwamba ni mechi ya Form 1 vs Form 6 Nimeona Taifa stars wana vipaji ila ni kama hawana lishe yaani mbegu mbaya Nadhani serikali iangazie lishe za watoto wakiwa wadogo ili kujenga miili...
  11. Lech Poznan

    JamiiForums Tanzania Jezi ya Taifa Stars ni kama jezi za klabu za ligi kuu

    Jezi ya Taifa ya CCM ni mbaya haina mvuto na haijulikani imetengenezwa na Kampuni gani, Hii jezi yao ni imeigwa kutoka kwenye Timu moja ya ligi guy Ukraine inaitwa SHAKHTAR DONESKS Ya Msimu uliopita. Yani CCM kila jambo hawawezi kulifanya kwa uwekedi yani ukiangalia jezi za Mataifa mengine ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Taifa stars ya mama ipigwe kipigo cha mbwa koko

    Sina mengi sana tuko bar hapa mitaa ya Uyole tunaowashangilia Naigeria wakome na makonda wao ni kipigo cha Mbwa mwizi
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Naiombea Taifa stars ifungwe goli 3 na kuendelea .Asante

    Ninafahamu fika Taifa stars lazima ifungwe hilo lipo wazi kipigo kipo palepale. Ila maombi yangu afungwe goli nyingi zaidi , hamna hamna afungwe kuanzia goli 3 na kuendelea. Asante.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ya utawala mbaya wa CCM kila atakayefurahi Taifa stars ikifungwa weka comment hapa

    Utekaji, uuaji na ufisadi unaokwamisha maendeleo ya nchi yetu yameifanya tuichukie CCM. Taifa Stars wapigwe tu Wapigwe tu
  15. N

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuichukia na kuilaani taifa stars kuelekea AFCON

    Binafsi kwa sasa sijivunii utanzania hivyo jambo lolote linalo ihusu Tanzania kama taifa naliombea mabaya. Naanzia mashindo ya AFCON. MUNGU naiombea Tanzania isipate hata goli moja bali vipigo vitakatifu kwa mechi zote AMINA.
  16. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuiongoza Taifa Stars AFCON 2025 nchini Morocco

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani. Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Goli la Mama, lakini Kombe halionekani: Taifa Stars Kati ya Ahadi na Kampeni

    Kauli ya Serikali kwamba “goli la mama lipo… safari hii tutavunja rekodi” imeamsha mjadala mzito miongoni mwa wadau wa soka nchini. Wakati fainali za AFCON zikikaribia Desemba 21, 2025, matumaini yanapandishwa juu kupitia kauli tamu, zawadi nono na misafara ya wajumbe. Lakini swali la msingi...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Julio: Gamondi ana uwezo mkubwa kuliko Hemed Morocco, Taifa Stars itafika nusu fainali ya AFCON

    “Kikubwa tuwaombee (Taifa Stars), Mwenyezi Mungu awasaidie wawe na nguvu ya ushindani. Nafikiri kwasababu bwana Gamondi anauwezo mkubwa kuliko (kocha) Morocco, Juma (Mgunda), kuliko Mimi, naamini kabisa sasa hivi tunaweza kufika Nusu Fainali (ya AFCON), Jamhuri Kihwelu 'Julio' Weka maoni yako🤣
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wito wa Mgomo kutoshabikia Simba ,Yanga na Taifa stars Kuanzia sasa Vijana tumeumizwa mno tusimamie nchi yetu.

    GT Kama Taifa ifike mahali tuwe serious na Taifa letu, zamani tulikuwa tunashangaa kwa nini Kenya mpira si kwa sana hao jamaa wameamua kufocus na nchi yao,sasa ni wakati wetu watanzania tuachane na huu upuuzi wa mpira tusimamae kidete na nchi kuhakikisha wanasiasa hawapati upenyo wakutuibia...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TFF yamfuta kazi kocha Hemed Morocco, Miguel Gamondi Kuiongoza Taifa Stars AFCON nchini Morocco

    Kocha Miguel Gamondi wa Singida Black Stars ametangazwa rasmi anachukua mikoba ya Hemed Seleman aliyekuwa kocha mkuu wa Taifa Stars. Soma Pia: Gamondi kocha mpya Singida Black Stars Miguel Gamondi ataiongoza Taifa Stars kwenye mashindano ya AFCON ya nchini Morocco 🇲🇦 mwezi Disemba.
Back
Top Bottom