The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.
Nimetazama viwango vya nchi jirani katika mechi zao za kufuzu world cup kanda ya Afrika.
Rwanda wanapiga sana ball. Hawa miaka michache ijayo wanaenda kutuacha kama tusipo badilika.
Kenya, a new generation unaona kabsa kama nchi wapo serious sana na soka. Changamoto waliozopita zimewapa funzo...
Kikosi cha Taifa Stars kimewasili Zanzibar kwa maandalizi ya mechi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Zambia, itakayochezwa Oktoba 8 kwenye Uwanja wa Amaan.
Sio kwamba wanacheza chini ya kiwango, uwezo wanao lakini malengo yao yapo kwenye kulinda namba zao timu zao za ulaya, huko ndiko yaliko maisha yao waliyoyawekea matumaini.
Kijana wa kitanania kapambana sana hadi katoboa kufika Ulaya halafu umwite Taifa Stars ? hauwezi kuwa serious utegemee...
Benchi la Taifa stars kichwa cha mwendawazimu, limejaa uswahili Swahili mwingi , watu kama Julio kiwhelu , Juma Mgunda na Hemed Morocco hawafai kuwa hata wafua jezi wa timu ya Taifa ..
Hao ni wahuni tu , ujuaji mwingi lakini maarifa sifuri...!!Kocha mkuu amejaa kiburi kisicho na faida , na...
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani hii leo kuivaa Congo Brazzaville katika mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu ni sehemu ya harakati za Stars kusaka tiketi ya kushiriki fainali za dunia kwa mara ya kwanza katika historia yake.
Baada ya mchezo...
Sidhani kama imewahi kutokea duniani wananchi wengi kufurahia timu yao kufungwa na timu ya tafa jingine katika mashindano makubwa kama haya ya CHAN.
Ni jambo la kipekee ambalo linaonyesha kuna jambo kubwa sana linatotupata Watanzania, na hatua za haraka sana zinatakiwa kulirekebisha.
Namsihi...
Pole alituibia mbinu 1 ya ushindi wa Chama chetu ni kuwa NIDA zote zipo kwenye mfumo wa tume na zimefanya tushinde hata kabla ya uchaguzi
Kwanini lakini walisahau kuiunga Taifa stars kwenye huu mfumo ili iwe inaingia uwanjani kucheza ikiwa inaongoza goli 3, na ili iende kuongeza magoli
Naamini sio mimi tu, tupo wengi, ghafla tu nimepata furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa stars ikipata kipigo mbele ya Morocco baada ya kuchapwa goli moja kwa bila na kutolewa hatua ya robo fainali ya CHAN 2024.
Hata sijui ni kwanini, lakini hii hali imetokea automatic tu.
Natamani...
Litakuwa jambo jema sana.
Walimu wanaishi vijinini hawana nyumba.
Manesi na madaktari wanangaika vijijini kuokoa maisha ya watu.
Hakuna anayepewa hata sh tano kama motisha.
Leo stars afungwe tano bila
Kuelekea mchezo wa michuano ya CHAN kati ya Taifa Stars dhidi ya Morocco utakaochezwa leo Agosti 22, 2025 katillka dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam, Mkuu wa mkoa huo Mhe. Albert Chalamila ametangaza zawadi na motisha zitakazotolewa na uongozi wa mkoa kwa kishirikiana na wadau mbalimbali ili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewazadia Taifa Stars shilingi milioni 200 kuelekea mchezo wa robo fainali dhidi ya Morocco, utakaochezwa Ijumaa, Agosti 22, 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
Fedha hizo zimewasilishwa na Waziri wa...
Rais Samia kesho jioni nenda kambini kwao,ukawatie hamasa vijana ili wacheze kufa kupona na kuifunga Morocco.Vijana wakikuona kambini kwao,watapandisha mori sana
Hello Taifa Stars Fans !
Wadau tuna tukio Zito na zuri na uzuri wake ni kwa sababu ya kumtupa Morocco nje ya CHAN2024.
Binafsi nimeandaa Tickets 1000 plus Usafiri kwa ajili ya mashabiki lengo ni kushangilia hatuendi kukaa Kwenye viti wala kusinzia.
Kwa wale ambao wapo vizuri kiafya maana...
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi na baadhi ya mambo afanyayo Rais Samia na Chama cha CCM lakini siwezi kuacha Kuishabikia Timu yangu...
Ushauri wa bure kwa makocha pamoja na wachezaji wetu wa Taifa Stars, pateni muda kisha tizameni lwa umakini mechi iliyo pogwa usiku huu kati ya jirani zetu Waganda na Wajukuu wa Mandele mtajifunza mambo mengi sana ambayo yatawaongezea kitu kuelekea robo fainali.
Pia kwa upande wetu sisi...
Umofia Wadau!
Group A:
i). Kenya
ii). Morocco
Kenya itacheza na Madagascar hapa Kenya ina uhakika wa kucheza nusu Fainali.
Ila kwa upande wa Timu yetu ambayo kiukweli Coach hajui kupanga wachezaji kwa uwezo wao pia timu yetu ina back passes nyingi with poor game control. Tuna makosa mengi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.