taifa stars

The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. covid 19

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia Kutoa Milioni 700 kwa Taifa Stars ni Jambo la Busara?

    Tangu jana, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipotangaza zawadi ya Shilingi Milioni 700 kwa timu ya taifa ya Taifa Stars baada ya kufuzu kwa mara ya nne mfululizo kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), mjadala mkubwa umeibuka. Watu wengi...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Simba SC tunajivunia pakubwa, makocha wote walioipeleka Taifa Stars AFCON wanadamu ya Simba SC

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa pongezi kubwa kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na timu ya Taifa Stars kwa mafanikio makubwa ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Pia, Soma: Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hizi milioni 700 za Rais Samia kwa Taifa Stars, zinawahusu wachezaji walioitwa mara ya mwisho kufuzu AFCON 2025 au mgao ukoje?

    Wakuu Jana Rais Samia kutoa milioni 700 kwa Taifa Stars baada ya kufuzu AFCON 2025 kama pongezi kwa kuliheshimisha taifa kufuzi mara ya nne katika fainali hizo. Je, zawadi hii inawahusu wachezaji waliocheza mechi za mwisho dhidi ya Ethiopia na Guinea pekee, au inajumuisha wachezaji wote...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Walimu, haswa wa vijijini, tutapewa lini motisha kwa kupandisha kiwango cha ufaulu? Mbona Taifa Stars wanamwagiwa mahela kila leo?

    Kwa miaka kadhaa Sasa ufaulu unaongezeka tu; darasa la nne, la saba, kidato Cha pili, kidato Cha nne Hadi kidato Cha sita ni mwendo wa kufurahia ongezeko tu la ufaulu. Watu wanapiga kazi mpaka shule za serikali Sasa kukuta div I 200, kama Lindi sec, ni jambo la kawaida. Ajabu ni kuwa hakuna...
  5. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania TFF vunjeni benchi la ufundi la Taifa Stars

    Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa. Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na makocha.
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba, Yanga na Taifa Stars mtumieni Rais Samia sasa 2024 na 2025, kwani kuanzia 2026 msitegemee kuona akiwasaidia kwa lolote lile

    Kwakuwa tayari mmeshakubali Kutumika nae kama Mtaji wake wa Siasa na kumhakikishia Ushindi na ameshawawekeni Mtegoni mwake na mmejaa vizuri kwa mwaka huu 2024 na 2025 atawamwagieni sana Fedha zake ila akishapita tu Oktoba 2025 msitegemee kumuona akihangaika nanyi tena kwa lolote lile kwani...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipa Taifa Stars Milioni 700 kufuzu AFCON

    Wakuu, Kama lilivyotolewa gari kule Arusha kwa sheikh 'akafanyie shughuli zake', sasa ni zimetoka kwa stars, sasa hivi kura zinanunuliwa kwa hela tu, hakuna purukushani za kukamatwa wakikimbia na mabox! Pia soma: Siasa kuingia kwenye michezo na wanamichezo kutumika kisiasa hatujali kuibomoa...
  8. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

    Its match day!! Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni. Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu. Saa 10:00...
  9. FK21

    JamiiForums Tanzania Akianza Novatus Dismas kiungio tunafungwa. Napendekeza aanze Mtasigwa

    Wanamichezo nina hoja Kwa jicho la kiufundi. Ningekuwa nina access ya kukaa na kuongea na kocha wa national team leo ningependekeza AANZE kiungo ALDOLF MUTASINGWA sababu iyo nafasi huwa anaicheza akiwa AZAM. Huyo novatus akiwa GOTZEPE hachezi iyo nafasi tusilazimishe mambo Number ya Mzize...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wala nisiwe Mnafiki leo ninataka CCM Taifa Stars ifungwe na isishiriki 2025 AFCON na ninajua itakuwa tu AMEN

    Unafiki Kwangu ni mwiko kutokana na hii Timu kuwa ni ya Kisiasa zaidi naiombea Mabaya leo na isiende 2025 AFCON.
  11. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Mnataka Stars Ishinde na Kwenda AFCON? Ondoeni Siasa na Kampeni Zenu Mchezo Huo

    Tukiwa tunaelekea kwenye mchezo wa mwisho na Guinea 🇬🇳 na ndio utakao toa maamuzi tutakwenda Morocco AFCON au laa nimesikitishwa na jambo moja. Tamaa zenu za kisiasa hakika leo zinaweza kutokosesha ushindi. Kumtumia Samia kama icon ya jitihada za kwenda Morocco wakati sio kweli. Wachezaji...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tunaoiombea Guinea ushindi. Taifa Stars ikishinda umoja na mshikamano vinaondoka

    Ili tubaki kama Taifa naombea Guinea ishinde. Itakuwa jambo jema sana. Taifa Stars huwa inakuwa ya wote inaposhindwa tu. Ikishinda kuna wartu wanaifanya kuwa ni yao.
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania CAF hawawezi kukubali Taifa stars kufuzu Afcon

    Mpira ni biashara Timu letu Bado ni bovu Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu. Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia atangaza ofa ya kuiona Taifa Stars bure dhidi ya Guinea

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza ofa ya kipekee kwa watanzania kuiona mechi ya timu ya taifa, Taifa Stars, bila malipo. Ofa hii inalenga kuongeza hamasa kwa wapenzi wa soka nchini katika kipindi hiki kigumu baada ya tukio la kusikitisha la kuporomoka...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM mechi ya Taifa Stars na Guinea msilete mambo yenu uwanjani

    Wakati uwanja wa Mkapa unazinduliwa, watanzania walijaa uwanjani na kuishangilia timu yao kwa bidii Sana. Ghafla CCM mkaanza kuyafanya mafanikio ya Taifa stars kuwa ni mafanikio ya chama chenu. Hapo mamilioni ya watanzania timu yao wenyewe ikawatumbukia nyongo. Sasa jumanne ya tarehe...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

    Wakuu mmesikia huko? Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simon Msuva ashangilia kwa mtindo wa Baltasar Engonga baada ya kuifungia Taifa Stars

    Hii nayo ameona isimpite 😂🤗 Simon Msuva amefunga bao la kuiweka Tanzania mbele dhidi ya Ethiopia na anajiunga na mtindo wa kushangilia wa Baltasar Engonga, kigogo wa zamani wa mambo ya fedha wa Guinea ya Ikweta aliyekumbwa na kashfa ya ngono. Soma: Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simon Msuva, Shomari Kapombe warejeshwa kikosini Taifa Stars kufuzu AFCON 2025

    Mshambuliaji Simon Msuva, Beki Shomari Kapombe na Mlinda mlango Aishi Manula wamerejeshwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025. Taifa Stars itacheza dhidi ya Ethiopia, Novemba 16 na dhidi ya Guinea, Novemba 19, Benjamin Mkapa. Kikosi cha Taifa Stars...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama Taifa Stars inacheza leo

    Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ya Wachezaji wa ndani imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2025 kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5-6 dhidi ya Sudan. Tanzania licha ya kufunga goli 1-0 lililofungwa na Crispin Ngushi dakika ya 33 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kutokana na kupoteza...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ally Salim atemwa, Aishi Manula arejeshwa kikosini Taifa Stars

    Mlinda mlango wa Simba SC Aishi Manula amejumuishwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi za kuwania kufuzu CHAN 2025 baada ya kukaa nje ya kikosi hiko tangu Machi 2024 Tanzania itaikabili Sudan ugenini Octoba 27 2024 huku mechi ya marudiano itapigwa Benjamini Mkapa Novemba 3 2024...
Back
Top Bottom