Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,308
- 18,485
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania kuwakaribisha Wageni wanaokuja kushiriki katika Mashindano ya CHAN Barani Afrika yatakayofunguliwa kesho August 2 kwa kuhimiza Utulivu, Heshima, Ukarimu na kwa Amani.
Soma zaidi: Rais Samia kuipa Taifa Stars Tsh. Bilioni 1 ikishinda ubingwa wa CHAN 2024
Rais Samia ametoa wito huu leo August 1, wakati akihutubia katika Kituo cha Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki – EACLC, na kuongeza kuwa Watanzania wajitokeze kwa wingi kushangilia timu ya Taifa Star ili kutoa hamasa kwa Wachezaji wetu.
Aidha, amesesisitiza kuwa endapo timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) itashinda katika michuano hii iliyoandaliwa na Tanzania, Kenya na Uganda kuna Tuzo ya Mama pia kwaajili yao.