taifa stars

The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nataka hawa ndiyo wawe katika Benchi la Ufundi la Taifa Stars na siyo 'Goigoi' walioko sasa

    1. Mecky Mexime Kocha Msaidizi 2. Ally Mayai Meneja wa Timu 3. Juma Kaseja Kocha wa Makipa Kocha Mkuu Kim Poulsen hatufai ila awe Mkurugenzi wa Ufundi wa Timu za Taifa na atafutwe Kocha mwenye Viwango wa Kimataifa na anayejua Kucheza Soka la Kimalengo na siyo Soka la Hamasa, Siasa na Upuuzi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye hamasa ya Tsh 1.4 Bilioni ya Serikali ya Rais Samia kwa Taifa Stars yafanikisha waende tu kutalii na Bombardier Madagascar wikiendi hii

    Tanzania ndio kwaheri World Cup 2022 atakaye songa mbele kwenye hili kundi ataamuliwa Kinshasa siku ya jumapili kati ya Congo DR na Benin. Atakayeshinda mechi hiyo ndio ataenda kwenye playoff na wakitoka sare Benin itafuzu kwenda playoff. Mechi ya Tanzania na Madagascar itakuwa ya kukamilisha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania wapenda Michezo hasa Soka na Timu yao ya Taifa ya Taifa Stars

    Hivi kama tu Wachezaji wa Kikongo ambao Kutwa tunawaimba, tunawasifu na Kuwakuza mno akina Yanick Bangala, Fiston Mayele, Ducapel Moloko, Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Herritier Makambo na Shaaban Djuma hawapati namba, hawaitwi, hawajulikani na hata wakiitwa wanachoma tu Mahindi Benchini...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Serikali inaahidi nini endapo Taifa stars itashinda?

    Sote tutambue kwamba penye motisha mtu anapambana kikwelikweli je serikali inaweza ikanena lolote kwa vjana hata bodaboda mojamoja au mabati au cementi na hakika watapambana mpira kwa nguvu zote Mimi nahahidi mfuko mmoja wa cementi Kila mchezaji
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ni wiki ya Taifa Stars, uzalendo kwanza!

    Achana na Aseno, Man U, Man C, Chelsea, Spurs. UZALENDO KWANZA!
  6. Labani og

    JamiiForums Tanzania Utabiri wako kwa mechi ya Taifa Stars dhidi ya Democratic Republic of Congo

    Magwiji wa footbal tukutane hapa leta utabiri wako dhidi ya mechi la kimataifa baina ya Taifa stars vs DRC nikianza mm utabiri wangu ni kama ifuatavyo. Taifa stars anashinda 3.1DRC Wafungaji 1 Fei toto wa yanga 2 Saimon msuva 3 Fei toto anafunga tena CONCLUSION ; DRC anakufa goli tatu...
  7. demigod

    JamiiForums Tanzania Ninaipenda Taifa Stars Ila Nasikitika Kusema kuwa Inaendwa kufungwa na DR Congo pale pale Kwa Mkapa

    Taifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani. Kwa mfano inaweza kukupa matumaini mazuri kuwa wako fit na wako poa lakini inangoja kipindi kizuri ambacho kila mtanzania anaiaminia. Hiko ndiko kipindi ambacho Taifa Stars inaenda kuvunja mioyo yetu. Mimi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimefunga kwa ajili ya Taifa stars

    Mzuka wanajamvi! Kwaanzia usiku huu hadi kesho jioni nimefunga kwa ajili ya timu yetu pendwa ya taifa stars ishinde mechi zake zote zilizo salia na ifuzu kombe la dunia. Sitakula, kunywa wala kuvuta hadi kesho jioni.
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars yachangiwa Bilioni 1.6 ili wafuzu kombe la dunia

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote iliyobaki ili kufuzu kushiriki kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar 2022...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Captain Mbwana Samatta nakuomba tusamehe Watanzania, Taifa Stars ikifungwa mbaya Wewe ila ikishinda Sifa wanapewa Wengine

    Najua unavyoumia Mdogo wangu ila GENTAMYCINE nasema Watanzania tutakutusi, kukashifu na kukuona huna lolote ila hapo hapo ulipo tambua kuwa Wewe ndiyo Shujaa yetu namba Moja ndani ya Kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania ya Taifa Stars. Najua kuwa Taifa Stars ikifungwa basi Sisi Waswahili...
  11. avogadro

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Michezo ipige marufuku mashabiki maarufu wa Simba na Yanga kushangilia Taifa Stars

    Imeibuka tabia ya watu kujifanya wao wanaujua zidi mpira ama kwa kutoa kauli tata za kukatisha tamaa timu yetu ya Taifa, wachezaji na makocha pale kwa bahati mbaya inapokosa matokeo mazuri Kuna watu ambao huonekana kwenye michezo ya Simba na Yanga wakiongea hovyo huku ama wamejipaka mdude gani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuliochoshwa na Taifa Stars pamoja na Usimba na Uyanga huku tukiiombea Kesho ifungwe Benin tafadhali tujitokeze tujuane

    Kesho navalia kabisa na Jezi yangu ya Benin hivyo mliopo katika Kibanda Umiza Tegeta Nyuki ole wenu Kesho mniguse mtanitambua. Na nimetoka kupata Mkanda wangu Mweusi wa Karate pale kwa Warusi Sea View Upanga na kwa Mwezi sasa Kocha wake Twaha Kiduku alikuwa akinifundisha Kupiga Ngumi za...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kiungo Zawadi Mauya Kuitwa Taifa Stars kumezingatia Ufundi au ni Kubalansi tu Usimba na Uyanga wetu ndani ya Taifa Stars?

    Kwanini asingeitwa Himid Mao Mkami au Said Ndemla au Majogolo au Salum Aboubakary kuchukua nafasi ya Kiungo Punda Muzamiru Yasin Said Selemba na akaitwa Kiungo Mbovu na Mvivu Zawadi Mauya kutokea Yanga SC? Kwahiyo Mauya ameitwa Taifa Stars kwakuwa aliifunga Simba SC mwaka huu au? Huu Usimba na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars ibadili mwonekano wa jezi zake

    Inashangaza kuona kuwa wakati timu za Mataifa mengine, hata ya Kiafrika, kuja na mwonekano mpya wa jezi za timu zao za Taifa, Taifa Stars imekuwa ikija na jezi za mwonekano huo huo kwa miaka zaidi ya minne mfufulizo. Inasemekana kuwa TFF ilimpa tenda Kassim Dewji kuivalisha Taifa Stars, lakini...
  15. demigod

    JamiiForums Tanzania Kuna pengo kubwa sana la Zawadi Mauya Taifa Stars

    Yule dogo Nivatus ni Mzuri ila anahitaji kuoneshwa namna mpira unaotakiwa kuchezwa. Na mtu pekee hapa Tanzania mwenye uwezo wa kumfundisha mpira dogo Novatus ni Zawadi Mauya. Pia pengo la zawadi Mua limeonekana kwa kuwa ni aina a mchezaji ambaye hakatiki pumzi kama Mzamiru Yasini. Ombi langu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars tafuteni kipa mahiri na siyo Manula

    Leo nimeshuhudia mtanange baina ya Taifa Stars na Benin kupitia luninga. Kusema ukweli Taifa Stars wamecheza vizuri kuliko wapinzani wao aliyewaangusha ni kipa Manula. Namshauri Kocha wa Taifa Stars kutafuta kipa mahiri badala ya Manula. Kipa gani anashindwa kudaka mpira uliopigwa mita 30...
  17. demigod

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis amemzidi nini Ditram Nchimbi?

    Leo sikuwa na ratiba ya kutazama mechi ya Taifa Stars dhidi ya Benin. Ila baada ya kusikia watu wakiwa na hamu na shauku ya kumuona Kibu Denis, nikaona nayo ni fursa ya kuweza kumtazama. Lengo pia ni kutazama ni kipi ambacho Taifa kama Taifa tumekiona kwa Kibu Denis hata tukafikia hatua ya...
  18. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Timu ya taifa haina chama, tumuige Zitto Kabwe

    Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!
  19. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Je, mpira wetu upo salama? Mwenye CV ya Almasi Kasongo

    Jana nimemsikiliza huyu sijui ndio mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi alivyokuwa anaongelea msimu mpya wa Ligi kuu, ukweli nimepatwa na hofu sana. Anasema wanaendelea kutafuta wadhamini zaidi ya Azam na zimebaki siku chache sana sasa sijui hao wadhamini kwanini hawakutafutwa mapema. Naomba mwenye...
  20. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Taifa Stars Kombe la Dunia 2022

    Twende sawa, Jumla ya nchi 52 za Afrika ziligawanywa makundi mawili Kundi moja kwanza ni la nchi 26 zilizo juu kwenye viwango vya fifa na kundi la pili nchi 28 walioko chini kwenye viwango vya fifa Raundi ya kwanza hii haikuwahusu wale wakali 26 bali ilizihusu zile nchi 28 za chini...
Back
Top Bottom