tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiikabidhi Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) kitita cha shilingi milioni 20 (Goli la Mama) baada ya kuifunga Burkina Faso 2 - 0 katika ufunguzi wa Mashindano ya CHAN Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, ambazo zimetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kama alivyoahidi kila goli moja shilingi milioni kumi.
Soma pia: Prof. Kabudi sasa kuongoza Vyombo vya Habari vya serikali kushinda propaganda / information war kuelekea 2025 na mbele zaidi
Pia Prof. Kabudi nae ametoa shilingi milioni 20 pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila ambaye amewapatia kiasi cha Milioni 20.
Chanzo: Msemaji mkuu wa Serikali