taifa stars

The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ngozi nyeusi ni laana, mfuatilie refarii anayechezesha Taifa stars na Moroco

    Kidogo nivunje tv yangu ili nimtandike mangumi refa anayechezesha Anatoa kadi zusizostahili, anaacha makosa ya warabu kwa kuogopa rangi yao Anaruhusu goli la kuotea kwa kuogopa rangi Ngozi nyeusi ni laana kuu duniani Tungekuwa tunachezeshwa na refa ngozi nyeupe, isingekuwa hivi kama...
  2. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania Tanesco wamekata umeme Dar, wapi unacheki Taifa Stars vs Morroco AFCON 23?

    Je, ni njama ya wenye mabanda ya mpira na mabar?
  3. DIDAS TUMAINI

    JamiiForums Tanzania Ijue Asili ya jina Taifa Stars

    Majira ya saa mbili usiku wa leo, timu yetu ya taifa, Taifa Stars, itakuwa na kibarua dhidi ya Morocco kwenye AFCON. Wakati tunaisubiri mechi hiyo muhimu, si vibaya tukafahamu asili ya jina la TAIFA STARS. Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Paul West Guivaha, ndiye aliyetunga jina la timu...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Uzi special kwa ajili ya Kuijadili Taifa Stars AFCON

    "Leo inaanza match ya kwanza kwa kupokea kichapo kutoka Morocco." Haya si maneno yangu ni maneno ya mdau mmoja ambaye alikuwa anaongea kwa kutabasamu kabisa akijinasibu kuwa yeye anashabikia Morocco. "Litimu letu halina mori kabisa. Wacha lifungwe tu maana halijitambui. Lingeangalia wenzao...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Taifa Stars Kuchukiwa na kuchangia kufanya vibaya

    Kumekuwa na hili swali watu wengi wamekuwa wakiuliza kuhusiana na team yetu ya Taifa. Ambayo imekuwa mara nyingi ikichukiwa na baadhi ya watu. Kwa nchi nyingine teams zao za Taifa zimekuwa chanzo cha upatanisho kwa wananchi. Yaani inapocheza wanasahau tofauti zao za kisiasa, kiimani, kiitikadi...
  6. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Bora Taifa Stars icheze Leo tuone wachezaji wa Simba

    Dah jamaa zetu Yanga Mara tumuone Aziz Ki first eleven ya Burkina Faso Mara Diarra First eleven ya Mali. Sisi makolo mpaka Leo hatujaonekana. Timu kubwa kubwa Africa Kama Mamelody, Al ahly wachezaji wao washaonekana. Basi na Sisi ngoja Stars icheze tuonekane kidogo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hongera kocha wa Taifa Stars kwa kuwa mkweli. Taifa stars haijaenda AFCON kushindana

    Ukweli lazima usemwe na ukweli humuweka mtu huru. Kocha wa taifa stars anajua uwezo wa wachezaji wa taifa stars, hivyo ameamua kusema ukweli...."kwamba kwa kikosi hiki, taifa stars haitoboi. Hivyo tumekuja kutalii na kuwapa changamoto wachezaji kwa manufaa ya baadaye". Tujifunze kuwa wakweli...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uzalendo: Tundu Lissu aibuka Ivory Coast kushangilia Taifa Stars

    Huu ndio uzalendo tunaoutaka, Ukitaka kujua mtu ni Mkereketwa wa Timu ya Taifa basi Mwangalie huyu Jamaa. Yaani katumia hela zake binafsi kwenda kuishangilia Timu ya Taifa lake, Uzalendo mtupu.
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Timu ya hamasa AFCON mnasemaje kuhusu jezi ya taifa stars?

    Sandaland ndio inayoivalisha timu ya taifa. Wachezaji wetu ni vijana wenye akili timamu wanajua ni Brands zipi duniani zinatengeneza jezi Bora (prestigeous) na zipi zinatengeneza jezi hafifu (inferior) sokoni. Inafahamika kuwa Nike, Puma, adidas, umbro, nk ni kampuni bora kwa vifaa na jezi. Sisi...
  10. MENERIKI II

    JamiiForums Tanzania Ahadi yangu kwa Taifa Stars

    Habari wana JF wenzangu Mimi MENERIKI II naweka ahadi kwa timu yangu ya Taifa Stars, ikipata point 3 katika Kundi lake kila Mchezaji nitamnunulia SODA. Naomba ikiwezekana wafikishiwe hii taarifa ili wajitume walau waambulie hata SODA ya MENERIKI II.
  11. uran

    JamiiForums Tanzania Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

    Kuelekea AFCON 2024. Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast). Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana. Sisi Taifa Stars wameingia wakiwa wamevaa T-shirt za Sandaland Kikosi cha Taifa Stars Kikiwasili Waliowapokea...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars chini ya TFF yaunga mkono Kampeni ya 'Piga Mpira Usipige Mwanamke'

    Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ chini ya uongozi wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) wanaunga mkono Kampeni ya PIGA MPIRA SIO MWANAMKE. Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali THAMANI WOMEN TANZANIA (thamani.tz) inaendesha kampeni hiyo ya kupaaza sauti dhidi ya ukatili kwa wanawake na...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je, Taifa Stars ni mali ya TFF au Serikali?

    Unajua moja ya shida ya nchi hii ni serikali na wanasiasa kuwaonea donge watu na taasisi binafsi pale zinapoonekana kupata ushawishi, umaarufu na nguvu kuwazidi wao. Hili limekuwa ni tatizo kubwa kuliko wengi wanavyodhani au kufikiri. Matokeo yake wamekuwa wanatumia nguvu kubwa kutengeneza watu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi leo wamefurahia Taifa Stars kufungwa na Morroco, sababu kubwa ni TFF kuruhusu siasa kwenye soka

    Kila vijiwe watu wanachekelea tu Ziech ziech. Huu upuuzi umefanya stars kuchukiwa.👇
  15. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars ipo kwenye njia sahihi; jana nimeziona pasi mpenyezo na kukaba kwa kuwapokonya mipira mabeki wa timu pinzani

    Tuweke siasa pembeni, Hii timu tangu nchi hii ianze ilikuwa inatia aibu sasaivi naanza kuona mageuzi ya soka ktk timu yetu ya taifa. Wachezaji hawabweteki tena ukizingua hupangwi kila mtu anataka ufalme pia mpira wetu umekua wa kimkakati. Uzi tayari
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars ya sasa inanikumbusha kikosi cha "Kakakuona"

    Mageuzi ya kweli kwenye jambo lolote huwa yanahitaji kufanya maamuzi magumu. Wakati mwingine maamuzi hayo yanaweza kushtua watu, yanaweza kuogopesha wengine, yanaweza kukatisha tamaa kwa baadhi na utegemee lawama na shutuma nyingi. Nimependa ushujaa wa Kocha wa Taifa Stars Amrouche ambaye...
  17. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  18. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Ombi: Mechi ya Taifa Stars ioneshwe TBC 1

    Ahisante Mama Samia kwa kuwawezesha watu wengi waingie uwanjani kuishangilia Timu yao kwa kununua tiketi zote za mzunguko, hiyo ni hamasa kubwa kwa timu yetu ni deni wanalopashwa kulilipa wawakilishi wetu, ninaamini kila atakaye ingia atafanya uzalendo wa kuishangilia timu yetu big up sana...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nguzo ya Taifa Stars inashikiliwa na safu ya ulinzi ya Yanga

    Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Taifa stars haiwezi kushinda dhidi ya Morroco kwa kukata viuno uwanjani. Hata kama rais anununue tiketi zote leo ni kichapo tu. Hakuna siasa njaa

Back
Top Bottom