Taifa stars, kizazi hiki Cha kuanzia 2000 ndio tumeshuhudia stars bora kuwahi kutokea

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Kuanzishwa 1925
Mchezo wa kwanza
Uganda 3-10 Tanganyika

Baada ya Muungano 1969
Tanzania 10-1 Kenya

Ushindi mkubwa kwenye mechi ya mashindano
Tanzania 7-0 somalia,,,jinja Uganda 1/12/1995 na Kampala 1/5/2012..

Kipigo kikubwa ..
Tanganyika 8-9 Kenya 1956.
Baada ya Muungano
Algeria 7-0 Tanzania November 2915

Kufuzu Afcon 3.

1980
2019
2023..
Kufuzu chan 2.
2009
2021..

Ubingwa cecafa3
1974
1994
2010


Wachezaji twakimu.

Most appearance
Erasto nyoni
Active from 2006.
App:107

Mrisho ngasaa
2006-2020
App:100


Kelvin Yondan
2005-2021
App 97

John Bocco
2009-nw
App 92

Kapombe
2011-nw
App 91

Simon msuva
2012-nw
App 87

Juma kaseja
2002-2021
App 79

Mbwana samata
2011-nw
App 76.

Himid Mao
2010-nw
App 69.

Shaban Nditi
2002 -2013
App 64..


Waliofunga magoli mengi stars..

Ngasa 25
Samatta 22
Msuva 21
John Bocco 18
John Nteze 12
Danny mruanda 8
Jerry Tegete 8
Thomas ulimwengu 7
Rajabu Mohammed 7
Erasto Nyoni 7....

Magolikipa wenye cleensheet nyingi ni
Kaseja 27
Mapunda 21
Mwameja 19
Manyika19
Manula 17.........

Kaptain wa Muda mrefu Zaid samata miaka 8
 
Back
Top Bottom