Ali Mayai: Kikosi cha Taifa Stars kufichwa Kutajwa ni kuwanyima Haki Watanzania na ni Upuuzi mkubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
"Watanzania hata kama wanakosoa au wanapongeza Kikosi cha Taifa Stars bado wana Haki ya Kutajiwa Kikosi cha Wachezaji kila Kocha Mkuu akikiteua"

"Kama Serikali inayoigharamia Taifa Stars haifichi lolote kwa Watanzania ambao ndiyo walipakodi Wakubwa kwanini Kikosi cha Taifa Stars kifichwe Kwao?"

"Nimeiomba TFF kuachana na huu utaratibu wa hovyo ( wa Kipuuzi ) na Kuurejea utaratibu wa Kawaida uliozoeleka na unaofanyika katika Mataifa yote duniani"

Nukuu zote hizi za Kaimu Mkurugenzi wa Michezo BMT Ali Mayai Tembele nimezisikia kutoka Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM usiku huu ( kilichopo Hewani sasa ) baada ya Kuzungumza na Waandishi wa Habari za Michezo nchini.

Wiki iliyopita GENTAMYCINE nilipinga mno huu Upuuzi na Ushamba wa Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche uliobarikiwa na TFF na sikueleweka ila nashukuru leo Ali Mayai Tembele nae ( kama Boss ) Kukerwa nayo na kutaka iachwe mara moja.

Asante sana Ali Mayai Tembele ama hakika sijutii Kukukubali kwa Uongozi wako wa Kiuweledi, Uchambuzi wako wa Soka na Umakini wako ( japo Wewe ni mwana Yanga SC lia lia ) na GENTAMYCINE kama Mdau mkubwa wa Michezo ( hasa Soka ) nitafurahi sana ukija kuwa Raia Mpya wa TFF baada ya Rais wa sasa Wallace Karia kumaliza muda wake.
 
Nafikiri tuheshimu mbinu za kocha, kuficha kikosi inasaidia wapinzani wetu pia wasifanye homework ya namna ya kukabiliana na kikosi chetu kwa kumuangalia mchezaji mmoja mmoja anavyocheza , ni mwendo wa sapraiz tu.

Nadhani ndio maana Mwalimu Mkuu Adel kawaacha tena Tshabalala na Kapombe maana wanajulikana Africa jinsi wanavyocheza na uchochoro zao! Rejea goli la Uganda kwa Mkapa!

Huyu kocha akiachiwa tu afanye yake tutafika mbali kwa mtazamo wangu maana bongo Kila mtu kocha kuzidi Guardiola!

Japo inajulikana Kuna timu imewauma sana vijana wao kuachwa Taifa Stars na Bado inakiwasha sana na hata walipopewa nafasi tulikandwa kwa Mkapa na Uganda na Algeria, virusi walipotolewa tumefuzu Afcon!

Yanga oyee!
 
Rubbish and Nonsensical.
 
Oyeeee......Yangaaaaa....
 
"Watanzania hata kama wanakosoa au wanapongeza Kikosi cha Taifa Stars bado wana Haki ya Kutajiwa Kikosi cha Wachezaji kila Kocha Mkuu akikiteua"

"Kama Serikali inayoigharamia Taifa Stars haifichi lolote kwa Watanzania ambao ndiyo walipakodi Wakubwa kwanini Kikosi cha Taifa Stars kifichwe Kwao?"

"Nimeiomba TFF kuachana na huu utaratibu wa hovyo ( wa Kipuuzi ) na Kuurejea utaratibu wa Kawaida uliozoeleka na unaofanyika katika Mataifa yote duniani"

Nukuu zote hizi za Kaimu Mkurugenzi wa Michezo BMT Ali Mayai Tembele nimezisikia kutoka Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM usiku huu ( kilichopo Hewani sasa ) baada ya Kuzungumza na Waandishi wa Habari za Michezo nchini.

Wiki iliyopita GENTAMYCINE nilipinga mno huu Upuuzi na Ushamba wa Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche uliobarikiwa na TFF na sikueleweka ila nashukuru leo Ali Mayai Tembele nae ( kama Boss ) Kukerwa nayo na kutaka iachwe mara moja.

Asante sana Ali Mayai Tembele ama hakika sijutii Kukukubali kwa Uongozi wako wa Kiuweledi, Uchambuzi wako wa Soka na Umakini wako ( japo Wewe ni mwana Yanga SC lia lia ) na GENTAMYCINE kama Mdau mkubwa wa Michezo ( hasa Soka ) nitafurahi sana ukija kuwa Raia Mpya wa TFF baada ya Rais wa sasa Wallace Karia kumaliza muda wake.
Ngoja Watetezi wa Boss Msomali wakushukie.
 
Back
Top Bottom