taifa letu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi uliofanyika mwaka 2020 na kupitisha Wabunge wa CCM kwa mizengwe unalighalimu taifa letu. Hawa sio wabunge ni Wapigaji wa pesa za umma.

    Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu. Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani. Msukuma hovyo kabisa... Bunge hili ni lile ambalo...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili Taifa letu litoke kwenye mkwamo huu?

    Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake wana jf popote mlipo. Rejea mada tajwa hapo juu. Taifa kwanza Mengine badae wakuu. Mambo yamekuwa mengi kwa muda mchache katika Taifa letu, bila kujali itikadi zetu za vyama, tufanye nini ili taifa letu kutoka katika mkwamo huu...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tutalinda amani, umoja na usalama wa taifa letu Tanzania kwa nguvu na gharama yoyote ile licha ya matusi ya majirani waandamaji na masufuria vichwani

    Tutakua wa mwisho kujibu matusi yenu dhidi ya Taifa letu na tutakua wa mwisho kuchukua hatua dhidi ya uchokozi wenu wa kichochezi dhidi ya amani yetu, but ni vizuri mkafahamu, Kwa vivu mkubwa na uzalendo wa kiwango cha juu sana, tutailinda amani, umoja na usalama wa Taifa letu Tanzania bila...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Taifa letu linaendekeza masihara kwa faida ya nani?

    Wakuu ! Wasalaam wote nawasalimu kwa jina la Jamiiforums mahali ambapo tunathubutu kuzungumza kwa uwazi mitazamo na mawazo yetu. Shukrani zimwendee Kaka Maxence Melo kwa kutuleta hapa pamoja, watu wenye mawazo, hoja, fikra na maono tofauti. Nimelazimika kuanzisha huu uzi kwa lengo la kuyasema...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Hizi chokochoko za KIDINI zinazo endelea zinachochewa zaidi na matamko ya TEC, kwa maslahi ya Amani ya Taifa letu naomba tuache.

    Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema Nchi yetu wanaweza kutumia faida ya malumbano na matamko kutuingiza kwenye machafuko. Nchi ikichafuka...
  6. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania MAKAMU WA RAIS: Philipo mpango mama bikira Maria ni mama wa taifa letu la TANZANIA, ni msimamzi wa taifa letu Tanzania

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU MWENYEZI aliye juu sana , aketiye mahali pa juu palipoinuka, yeye aliye mwenze enzi, aliye ziumba mbigu na nchi, BABA mwema na mkarimu sana na mwenye huruma nyingi kwa watu wake yeye ambaye alimtuma mwanae wa pekee aje atukomboe Jana nikiwa nasikiliza habari...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue Maadui Wa Haki wa Taifa Letu

    Taifa letu linapitia nyakati ngumu za ugandamizaji wa haki, demokrasia na uhuru wa maoni. Mambo haya hayakuanza ghafla bali yamekuwa yakizidi kuongezeka na kuota mizizi. Leo mtu anayeikosoa Serikali au Rais, kutekwa, kupotezwa, kuuawa au hata kubambikiwa kesi mbaya, imekuwa ni jambo la...
  8. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Maadai wapya wa Taifa letu ni hawa

    Uchawa! huu umekuwa mfumo mpya wa watu maarufu na makundi mengine ya watu wenye ushawishi hapa nchini kujitafutia kipato baada yakuishiwa maarifa katika taaluma zao husika.Uchawa umegeuka mfumo hatari zaidi wa watawala kueneza propaganda zao zakipumbavu na kijinga. Nyege! Nchi imegeuka...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Nuru na Mwanga wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Huyu Mama Mwenye moyo wa Upendo,huruma, Ukarimu, Unyenyekevu, Uzalendo na Moyo wa kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania katika kuleta matumaini na tabasamu kwa watu wote. Amekuwa ni nuru na Mwanga wa Taifa letu katika mioyo ya...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kwa macho ya mwanadamu Dr. Mpango anaonekana ni mcha Mungu

    Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo (vinavyoonekana na visivyoonekana), kama itakupendeza mtumie mwanao Dr. Mpango kuliokoa taifa letu. Umaskini wakutengenezwa unatuumiza sana. Watanzania tunaumia, 😭😭😭 Watanzania hatuna furaha kabisa,😭😭😭 Mioyo yetu imekufa ganzi 😭😭😭...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila kujali chama au cheo tofauti na Nyerere ni kiongozi gani nchini ana ueledi, unyenyekevu, uwajibikaji na utekelezaji?

    Bila kujal chama au rank, tofauti na nyerere ni kiongozi gan katika historia ya taifa letu anatik box za ueled, unyenyekevu, uwajibikaj na utekelezaji Moja ya kitu cha kishujaa niliwahi kuona ni pale Nyerere alipo admit makosa yako katika hii interview aliyofanya tena akihojiwa na mtu alie...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!

    Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!. Lissu na Heche pamoja na kuwa watata wameonyesha utulivu wa hali ya juu na wame focus kwenye hoja ambazo sasa zimeanza kueleweka vizuri. Kwa muda mfupi sasa tayari agenda imenyooka kama panga. Hawa papara, hawatoi maneno mabaya na ya...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Wapo wanasiasa ndani ya taifa letu, kiu yao na tamaa zao na Furaha zao ni kuona watanzania wanauana, na kuchinjana, tuwaepuke!

    Can't leave my country to dog! Mwl. Jk nyerere. Nyumbani kwetu ni hapa Tanzania hatuna uraia wa popote pale kama wenzetu.... More infos to come!
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana CCM kwa kuliangamiza Taifa letu!

    Ukitaka kujua future ya Taifa lolote angalia vijana wake! Fikra zao na priorities zao! Yaani wana maarifa sahihi? Leo nimejaribu tu kufanya kautafiti kadogo kuhusu tofauti iliyopo baina ya vijana wa Tanzania na wa Rwanda ili niweze tu kubashiri Taifa gani lina vijana hodari wanaolifanya liwe...
  15. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Taifa letu wapinzani kutekwa limekuwa jambo la kawaida kijana wa BAVICHA mkoa wa Mwanza amefikisha siku 15 na hakuna taarifa yoyote

    Leo ni siku ya 15 kijana wa BAVICHA mkoa wa mwanza tangu amenyakuliwa na watu wasiojulikana hakuna taarifa yoyote ya maana iliyotolewa na viongozi wa serikali. Kwa sasa nchi yetu siyo mahali salaama kuishi hususani kwa wapinzani wenye ushawishi mkubwa kwenye jamii maisha ya wapinzani yamekuwa...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania A best way foward: Kwa yanayotokea na hatari iliyopo mbele yetu, tufanye haya kulikomboa Taifa letu.

    Kwa wenye akili, dalili si nzuri kuhusu mustakabali wa Taifa letu katika miaka michache ijayo. It's obvious, tumezidiwa nguvu na maadui watatu aliotutangazia Mwalimu nyerere hasa ujinga. Kushindwa kupambana vizuri na adui ujinga kumeliweka Taifa letu kwenye hatari ya kupotea na kuangamia...
  17. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa madeni ya taifa letu na urejeshwaji wake kupita wananchi maskini kwa kukandamizwa na kodi za ajabu, rushwa na unyonyaji

    wananchi masikini wanahangaika ila mabeberu wapo bize kununua magari ya milioni mia nne ++ wakiendelea kula rushwa na kurundika madeni nchini, mwisho wa siku wanaachia ngazi na madeni yakushiba
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri; Nipo njiapanda kuhusu mustakabali wa taifa letu

    Kwa heshima na taadhima naomba ushauri kwenu wadau.Mimi ni mwananchi katika nchi moja ya SADEC.Kwa hali ilivyo hivi sasa nchini kwangu,mwananchi yoyote anayeweza kusema siasa za taifa lake hazimhusu,huyo hajielewi kabisa. Hapa nchini kwetu,Siasa ndizo zinazotupangia karibia kila kitu kuanzia...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Lisu ni mtu sahihi Kwa Taifa letu ila Taifa letu Lina ushabaki wa wa upendeleo wa chama tawala

    Mwenyezi Mungu tupe Lisu awe Rais wa JMT
  20. G

    JamiiForums Tanzania Makocha wa timu za taifa letu

    Hemed Morocco Juma Mgunda Jamuhuri Kihweru Amri Kiemba Bakari Shime Ahmed Ally Je umegundua nini hapo kuhusu soka la bongo?
Back
Top Bottom