taifa letu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanzania, Wazalendo wa Kweli wa Nchi Yao, na Wenye Mapenzi Mema na Taifa Lao, Tumuombe Rais Samia!, Tuliombee Taifa Letu!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la mwananchi la leo, https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/tumuombee-rais-tuliombee-taifa-5362604 Pia soma Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao?. Na...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Rweyongeza: Ujinga umelifikisha taifa letu kubaya sana

    Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, ametoa onyo kali dhidi ya kile alichokiita "ujinga na maigizo" ya baadhi ya viongozi wanaojaribu kuingiza siasa ndani ya Kanisa Katoliki. Akizungumza kwa ukali kuhusu taratibu za kikanisa, Askofu Rweyongeza amewashangaa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha wananchi wa ulaya waliwahi kuwanyonga watawala wakuu wawili Kwa sababu baadhi nazoziona kwenye taifa letu ikiwemo umaskini

    Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni Umaskini na njaa Kodi kubwa Kokosekana Kwa haki na usawa Kuupuuza matatizo ya wananchi Kwa upande wa kiongozi wa...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni kesi ya ICC na nyinginezo tu dhidi ya Samia na wenzake zitakazolibadilisha kiukweli Taifa letu na mifumo yake yote

    Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na washirika wao wote kufikishwa kwenye Mahakama ya Makosa ya Jinai ya Kimataifa pale ndipo Serikali ya Tanzania itaanza kuongozwa kwa akili na sio ujinga na upumbavu wa ki ccm. Baada ya Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura, CDF Mkunda na...
  5. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hawatoshi kutufanya vijana tukavuruga Taifa letu

    Habari zenu wazalendo na wale wasiokuwa wazalendo!!? Naamini mpo salama kabisa. Sasa ipo hivi, vijana tunapenda sana mabadiliko. Lakini pamoja na kuhitaji mabadiliko, hatuhitaji kuvuruga nchi yetu kupata mabadiliko hayo. Hatuhitaji wanaharakati uchwara kutupeleka kwenye mabadiliko...
  6. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

    Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
  8. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bodaboda: Desemba 9 hatutoki amani yetu taifa letu

    Bakari Shingo, mbunge wa Ukonga kupitia ACT-Wazalendo, akizungumza na wanabodaboda katika kata ya Ukonga, amewahakikishia kuwa hawatashiriki maandamano Desemba 9, akisisitiza kuwa amani yetu ni mali ya taifa letu.
  9. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9: Wengine watatoka kwa hasira za kuuawa na kutekwa kwa Ndugu zao. Eeh MUNGU turehemu taifa letu

    Poleni Sana Ndugu zangu watanzania wa dini na Imani zote zilizopo katika Taifa hili kwa kupoteza Ndugu, jamaa, rafiki zetu wapendwa pamoja na wale waliotekwa Ndugu zao poleni pia. MUNGU akawe mfariji katika kipindi hiki kigumu mnachopitia. Roho za Marehemu zilale mahali pemq peponi
  10. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania WITO WA KITAIFA: Taifa letu linajivua gamba, tuvumiliane

    Nyakati kama hizi haziepukiki. Taifa linazeeka na linahitaji Reforms. Kama waasisi wa Reforms walidhani itabakia kwenye tafsiri zao, basi walikosea sana. Reforms ni OVERHAUL. Hakuna cha Ceteris paribus. Mabadiliko yasipowagusa ni kazi bure. Sio suala la mvinyo mpya, chupa ya zamani. Hata baadhi...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je tunaweza kuanza mchakato wa kubadili jina la taifa letu?

    Naona aibu Naona haya Naona soni Naona taabu Napata kigugumizi cha kujitambulisha kama Mtanzania baada ya haya yote yaliyotokea kwenye uchafuzi wa 2025.. Kuanzia kupika matokeo, wizi wa kura mpaka mauaji ya kutisha ya waandamanaji Wanaoitwa wasomi wametusaliti na kutufedhehesha mno.. Hata kama...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu huru juu ya Taifa letu; Tusibeze mbele ya Mungu wangu halazimishwi mtu

    Wakuu leo sina mengi ila amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja wetu katika haki na usawa. Rejea mada tajwa hapo juu, Taifa hili letu wote na ndo sie wa kuliponya au kulipa majeraha, hivyo nimeona ni vyema shauri yafuatayo na sio lazima kukubaliana nayo. 1. Uchaguzi usitishwe Rais aliepo...
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa CCM kuhusu utekaji, uuaji na machafu katika taifa letu

    1. Utekaji na Uuaji Kwa nini viongozi wa upinzani, wanaharakati na waandishi wa habari wanapotezwa au kutekwa, halafu serikali yenu inakaa kimya bila majibu ya wazi? Mnaogopa nini hadi kufikia hatua ya kuua na kuteka watu wanaohoji mfumo wenu? 2. Utawala wa Sheria Kama kweli mnajivunia...
  14. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuiunge CHADEMA kwa nguvu zote, Taifa letu limechezewa sana

    Tafsiri ya INTEGRATION ni kuwa NIDA ipo connected na mfumo wa NEC + CCM maana yake hata mfumo wa migration kwenye passport upo connected , upo connected na mfumo wa Utumishi and likely na mfumo biashara kupitia Brela. Ukisafiri kwenda nje .. ukiweka tu fingerprint...system ya airport inasema...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tuungane kuliombea taifa letu Tanzania

    Kadiri tunavyokaribia uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, ni muhimu kama Watanzania kuungana kwa sala, maombi na mshikamano tukiliombea taifa letu. Tuombe uchaguzi uwe: ✅ Wa amani – Usio na vurugu wala chuki ✅ Wa haki na uwazi – Haki ya kila Mtanzania iheshimiwe ✅ Wa mshikamano na upendo – Kila mmoja...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo ,tungehairisha Uchaguzi kwa mstakabali mwema wa taifa letu.

    Mh POLEPOLE ameshamwaga ugali na mboga kidogo anakaribia kumaliza kabisa kumwaga mboga zote. Wananchi waliyompenda hayati JPM ni kama wanahisi kuna mchezo ulichezeshwa kulingana na taarifa ya Mh POLEPOLE, Wananchi hawa wanaweza kuwa na chuki moyoni isiyoisha. La pili ni kwamba wapinzani wa...
  17. Ernst kipire

    JamiiForums Tanzania Nyerere alibainisha maadui wa Taifa letu kuwa ni Ujinga,umaskini na maradhi.Mimi naongeza na uchawi

    Nawasalimia wanajamvi Kwa jina la Mungu wetu mkuu(Yahweh). Iliwahi nikuliwa juu ya kauli ya mwasisi wa Taifa letu hayati Julious kambarage Nyerere,ambapo alisema,tukitaka kupiga hatua kama Taifa tunatakiwa Kuwa piga vita maadui zetu watatu (3) ambao ni Ujinga,maradhi na umaskini. Leo...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

    waTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu. Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula...
  19. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuendelee kushiriki mchakato wa uchaguzi mkuu ili tupige kura za uchafuzi mkuu wa taifa letu!!?

    Kushiriki Mchakato wa Uchaguzi kwa Mtanzania yeyote si jambo linaloepukika hasa kwa sababu huu ni msimu na wakati hasa wa uchaguzi, na kusema kweli kila siku ya kila wiki, ya kila mwezi, kwa kila mwaka tunafanya uchaguzi kwenye mambo mengi; isipokuwa uchaguzi Mkuu wa Taifa letu ilipaswa...
  20. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu na taifa letu Tanzania

    Tulipo sio tulikotoka kisiasa, kielimu na hata kiuchumi. Yapo mazuri yamefanyika lakini yapo mabaya yamefanyika na kuacha majeraha katika mioyo na fikra zetu. Hatuna taifa lingine isipokuwa Tanzania tunayoweza kujivunia na kuona fahari kwayo. Nini kifanyike angalau kufanya mioyo yetu iwe na...
Back
Top Bottom