tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wengi waliopoteza maisha au kupata majeraha kwenye maandamano hawakuwa na tahadhari au walishindwa kuiona hatari mbele yao kwa kuchukulia poa

    Warning: kwa yule yeyote ataekwazika kwa uzi huu naomba tusamehane sijaandika kwa ajili ya kukashifu au kusema baya kwa yeyote na wote mliofiwa na ndugu zenu mungu awape faraja kwenye hichi kipindi kigumu ,wale majeruhi wanaojiuguza wapone haraka na wote walipoteza maisha mungu( sisi wote wa...
  2. Ninja

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

    Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana. Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani. Kwenye...
  3. Username 20

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwanza kabla ya madhara

    Kwanza kabisa natoa pole za dhati kwa ndugu zetu wote walioondokewa na wapendwa wao, sote njia yetu ni moja. Tulitoka kwake na kwake tutarudi Naomba kuwatahadharisha na hawa watu, roho yangu inaniambia sio watu salama Mange kimambi amekuwa mstari wa mbele sana kuibua uozo wa serikali ikiwemo...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, watumia Zoom? Chukua tahadhari namna ya kujilinda na mambo kama ya kurekodi na kupeana picha na pia hatua za kiusalama security settings control .

    Taarifa za uhakika kabisa za kijasusi zilizopo ni kwamba jeshi la polisi chini ya kamanda Mafwele wapo kazini kuwatafuta, kuwabaini na kuwatambua wale wote walohusika na kuandaa mikutano ya kupanga maandamano ambayo kwa namna fulani yamefanikiwa kufikisha ujumbe. Ujumbe wa maandamano hayo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari wanaukombozi

    Ndugu zangu wote wenye nia njema na Taifa hili,naona kuna JUHUDI za makusudi kuonyesha hii hali tuliyomo sasa imesababishwa na mgogoro baina ya lissu na Samia au CCM na CHADEMA Wanataka kujifanya kumuachia lissu ili mambo yaishe turudi kule kule tulipotoka,tusikibali hata kidogo kufanyiwa...
  6. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchini

    Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari. Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
  7. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Kama unapinga udhalimu wa CCM hapa JF Kuwa makini, Kuna makachero wa utekaji. Usitoe namba yako ya Simu humu

    Habari wana JF. Siku imekucha na makucha yake. Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno. Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Toka kwa tahadhari, iwe ni kwenda kutiki ama kwenda kuandamana

    Salaam! Hizi ni sababu za kwanini utoke kwa tahadhari. 1. Muriro na Mafwele ndio wanaotoa kibali Cha maandamano kama walinda waandamanaji, na wamegoma kulinda waandamanaji. 2. Muriro na IGP na Mafwele ni watuhumiwa wa utekaji ambao waandamanaji wanaupigia kelele. 3. Wanaotoka kutiki na...
  9. Clean Energies Group

    JamiiForums Tanzania Mnaouza gesi msihifadhi mitungi ya gesi mnazouza ndani ya nyumba mnazoishi kwa usalama wenu

    Wafanyabiashara wa gesi, kumbukeni jambo hili la msingi kwa usalama wa familia zenu na wateja wenu: msihifadhi mitungi ya gesi mnazouza ndani ya nyumba mnazoishi. Mitungi ya gesi ni bidhaa yenye hatari kubwa ikiwa haitahifadhiwa kwenye mazingira sahihi. Gesi ikivuja ndani ya nyumba inaweza...
  10. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Msichokujua CHADEMA ni kwamba Polepole anapigania reforms za chama chake na wala hapiganii maslahi yenu, chukuweni tahadhari

    Ndio nimeona nilisema hili maana nimeona wanachadema kina MMM, Sativa na Sarungi wakiunga reli ya Polepole bila kujua kuwa jamaa anataka reform za chama Chake na siyo maslahi ya CHADEMA kwenye uchaguzi huu. Chukueni tahadhari sana huyu mtu siyo mtu mzuri na kumbuka sana enzi za Lowassa...
  11. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Operesheni Dudula huko Afrika Kusini, Watanzania kaeni kwa tahadhari

    Historia: Operesheni Dudula ni harakati iliyoanza kama kikundi cha kijamii kilichoanzishwa Soweto, Johannesburg na kisha kujigeuza kuwa. Jina "Dudula" linamaanisha "kusukuma nje" au "kugonga chini" kwa lugha ya Kizulu, likirejelea lengo la kikundi hicho la kuwafukuza wahamiaji wasio na hati za...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tetemeko Kuu lapiga Mashariki mwa Urusi, Tahadhari ya Tsunami yatolewa Japan, Hawaii na Visiwa vya Pasifiki

    Mapema Julai 30, 2025, imeripotiwa tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 Magnitude lilikumba bahari ya Pasifiki karibu na pwani ya mashariki ya Urusi, likiathiri zaidi eneo la Kamchatka na Visiwa vya Kuril. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Chuo cha Sayansi cha Urusi, hili ni tetemeko kubwa...
  13. dist111

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Arusha Home Design ni Matapeli Wapya Mjini

    Naandika huu Uzi kama tahadhari, Hawa Jamaa " Arusha Home Design" wanaojinasibu kwa kutengeneza TV cases za kisasa na Majiko ya kisasa ni matepeli, Niliwalipa 2.5M wanitengenezee TV cases, huu ni mwezi wa 3 wameshindwa kukamilisha kazi Yao, Nikasema niwaase Wana Arusha na watanzania kwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mzee wa Msoga kuna siku utazomewa

    Naomba nikwambie kuwa ukiendelea na hii tabia yako ya kupuuza maoni na matakwa ya wengi, kuna siku utakuja kupingwa kwa kuzomewa hadharani na heshima yako itashuka vibaya sana. Mwaka 2015 ulipindua matakwa ya wanachama wenzako kwa kumpiga chini Marehemu Mzee wa watu na safari hii unafanya yale...
  15. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, huduma za kifedha kupitia simu za mkononi zimekuwa mkombozi mkubwa kwa watu wengi. Applikesheni kama M-Pesa zimeleta urahisi wa kufanya miamala, kulipia bili, kutuma na kupokea pesa, kwa haraka na salama — angalau ndivyo inavyotarajiwa. Hata hivyo, kuna...
  16. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa watanzania kuhusu kikundi cha Siib na viashiria vya utapeli

    Great Thinkers, Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa za kuwapo kwa kikundi kinachojiita SIIB kinachodai kuhusika na mradi wa Pi Network hapa Tanzania. Napenda kuwatahadharisha Watanzania wote—hasa wastaafu—kuwa makini sana, kwani kikundi hiki hakijasajiliwa kisheria hapa Tanzania...
  17. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Tahadhari za kuchukua uingiapo nyumba za wageni

    Ukiingia nyumba ya wageni yeyote na popote fanya yafuatayo kwa usalama wako: 1️⃣Kagua uvunguni kwa umakini usije kutana na kamera, kichwa cha mtu-matunguri au msukule. 2️⃣Toa shuka kitandani, kagua godoro, chaga na mto wa kulalia ili kuepuka kulalia mikojo, vinyesi au hirizi kwene...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa tafariji na tahadhari kutoka kwa kiongozi wa kanisa

    Ndugu wapendwa katika Kristo, Ni nani anayeweza kujidai kuwa na mamlaka ya pekee ya kuifahamu kweli yote ya Mungu? Ni nani anayeweza kudai kusikilizwa kwa sababu ya utakatifu wa nje, huku moyo wake ukiwa mbali na upendo wa kweli wa Kristo? Tunasikitika na kutafakari kwa uchungu juu ya majeraha...
  19. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania UKIMWI: Hali na Tahadhari

    Audio: UKIMWI: Hali na Tahadhari Chanzo: Aise wakuu UKIMWI ni noma
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Serikali: Msipuuze sauti ya wananchi – “no reforms, no election”

    Katika kipindi hiki muhimu kwa mustakabali wa taifa letu, sauti ya wananchi inazidi kuwa wazi na isiyoweza kupuuzwa: “No Reforms, No Election”. Hii si kauli ya jazba bali ni ujumbe wa kizalendo kutoka kwa Watanzania wanaotaka misingi imara ya demokrasia, uwazi wa uchaguzi, na uongozi wa haki...
Back
Top Bottom