tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimamoto latoa tahadhari ya uwepo wa majanga, Wakazi wa mabondeni watakiwa kuwa makini

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita...
  2. Bra-joe

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kuhusu wanaotaka kutuma fedha nje ya nchi kupitia airtelmoney

    Habari ba-Ndugu? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, nawatahadhalisha wale wenye mpango wa kutumia Airtelmoney kutuma fedha nje ya nchi kufikiri kutumia njia nyingine badala ya hii. Nilituma fedha SA tarehe 20 Jan mpaka ninavyoandika hapa fedha hiyo haijamfikia mlengwa, Nimewapigia Airtel jibu...
  3. kaputula

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuchukue tahadhari kuzuia wakimbizi toka Rwanda

    Kuna kila dalili kuzuka vita kati ya DR Congo na Rwanda. Nchi kubwa ya Congo inaweza kuamua kupigana vita na Rwanda ambayo ni ndogo kabisa kulinganisha na DRC. Mwanzo wa vita pamoja na kiburi na kujiamini kwa watutsi wenye kutawala Rwanda DRC inaweza kuwavuruga vibaya. Pamoja na uzembe ufisadi...
  4. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Wakuu wa Wilaya Wapya walioteuliwa tarehe 24.1.2025

    Katika siku chache, Jana tarehe 24.1.2025, wakuu wa wilaya wapya wamepata nafasi ya kuteuliwa, kuongoza wilaya mbali mbali nchini. Hata hivyo, ni muhimu kuchukua hatua za tahadhari ili kuhakikisha ufanisi wa uongozi wenu. 1. Mwangalizi wa Makatibu wa CCM: Makatibu wa CCM wa wilaya ni watu...
  5. W

    JamiiForums Tanzania usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  6. doctor mwanafunzi

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na ushauri

    Ndugu zangu nawashauri kuwa makini sana na kupenda kwenda hospitali kwanza kama unashida ya kiafya ambayo unahisi ukianzia duka la dawa hutopata matibabu sahihi. Hiyo picha ni picha ya majibu ya kipimo cha sphymomanometer kinachutumika kupima presha ya damu. Hapo kwenye picha chini ni majibu ya...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi Inahitaji Kusomeshwa Kwa Tahadhari Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/ofL3xgsRPgs?si=tDcubA7tdH0hsdlY
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar Inataka Tahadhari Kuisomesha - Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/bn9RRKMN9qA?si=u7CW5jq7ruUzOkH7
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Tatizo la Lissu ana "MUKU" ya MIUNGU Ukimdhulumu lazima ufe

    Wana bodi! Mimi kama Kuhani Katika Hekalu Jeusi ambaye ninaufahamu wa mambo mbalimbali ya Kiroho. Nimeona niwajulishe hili. Kwenye huu Ulimwengu kuna watu walichorwa Alama na miungu ambayo alama hiyo kwao ni ulinzi. Ukiwagusa unapasuka wewe. Kwenye Biblia mtu pekee aliyeripotiwa kuwekewa...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Mrindoko wa Katavi aitaka jamii kuchukua tahadhari ya mlipuko wa Kipindupindu

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ametoa mwezi mmoja kwa Katibu Tawala wa mkoa pamoja na wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Katavi kufanya ukaguzi wa kina kwenye maeneo ya biashara nakuchukua hatua za haraka Kuzuia magonjwa ya mlipuko ambayo tayari yameathiri maeneo mbalimbali ya mkoa wa...
  11. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Faida za kuathirika na HIV (UKIMWI

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Ndugu yangu leo ngoja nije na faida za kuwa muathirika wa HIV. Kama wewe ni muathirika wa HIV basi tafadhali soma hadi mwisho itakusaidia. Pia kama ulikuwa ukichukua tahadhari juu ya HIV (UKIMWI), yaani bado haujaathirika basi endelea kuchukua tahadhali maana...
  12. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Tetesi: WADUDU ni hatari: Chukua tahadhari unapokuja mapumziko maeneo ya Moshi na Arusha

    Habari Wakuu wa JF, Niende moja kwa moja kwenye mada. Hii itaweza kuwa msaada kwa ndugu zetu wanaopanga kuja likizo ya sikukuu za mwisho wa mwaka maeneo ya Arusha na Moshi. Kuna mambo kadhaa ni muhimu kuweza kuyajua hasa kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri (magari) na wale wanaopendelea kwenda...
  13. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa tahadhari uwepo wa kimbunga CHIDO Bahari ya Hindi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwepo wa kimbunga ‘CHIDO’ katika Bahari ya Hindi, Kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Taarifa iliyotolewa na TMA imesema mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga hicho kinatarajiwa kuelekea maeneo ya Kaskazini mwa Msumbiji katika...
  14. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia Rais wa JMT ndiye Rais wa Tanganyika. Akiwa ametokea Visiwani tahadhari kubwa inahitajika ili kuulinda Muungano.

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una mambo ya SEBULENI na ya CHUMBANI. Mojawapo ya mambo ya chumbani ni kwamba Rais wa JMT hawezi akatokea Visiwani moja kwa moja. Na kamwe haitokaa itokee Rais wa SMZ akatokea Bara. Rais Mwinyi na Samia walipata ngekewa za kuwa Marais wa JMT wakati tu wa...
  15. Bams

    JamiiForums Tanzania Tuendavyo itahitaji kuwa na tahadhari gari la kupanda

    Hali ya wasiwasi wa kutekwa imetanda nchi nzima, hasa kama wewe ni mtu mwenye akili huru na una utashi wa kuchambua mambo na kuyapima. Tulishuhudia Ali Kibao akitekwa kwenye basi lenye abiria wengi. Watekaji walijitambulisha kuwa ni polisi, lakini baadaye polisi walikataa, na inaonekana hakuna...
  16. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Manchester City hatofungwa leo, msije mkasema sijawapa tahadhari

    Baada ya kuchezea vipigo mfululu, Man City leo yupo ugenini Anfield kucheza na vinara wa ligi Liverpool Mechi ya leo, Man City hatofungwa. Hesabu za kinyota zinaonyesha kabisa leo Liverpool sio siku yao pendwa. Tukutane baada ya dakika 90
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Siku ya Ukimwi Duniani: Tuzidi kuchukua tahadhari

    Desemba 1, 2024, Shirika la Afya Duniani (WHO) linaungana na wadau na jamii kote ulimwenguni kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Chagua Njia Sahihi: Afya Yangu, Haki Yangu!” Kauli hii inalenga kuwahamasisha viongozi wa dunia na wananchi kushiriki katika kuhakikisha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Simba chukueni tahadhari mapema ili kesho isiwe kama leo walivyofanywa Yanga

    Kwa vyovyote vile kesho yanga watataka simba afungwe ili tuwe sawa, naomba uwanja ukasafishwe na takataka zote zikatolewe uwanjani ili kesho Ateba Mbida ateleze tu Wanasimba kesho mapema tu uwanjani
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaume! Hakuna mahusiano ya kweli yanayo anza mwisho wa mwaka

    Wanaume heshima kwenu. WANAUME NI KUSANUANA,UKIENDEKEZA GENYE ZAKO UMELIWA. Haihitaji Utafiti lakini kwa uzoefu wangu katika kipengele hiki sasa hivi kila binti ama mwanamke ni mrahisi ajabu hata hapo awali alikuwa mgumu kiasi gani. Wanajirahisha ili wakupige boom apate hela ya sikukuu pendwa...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Life in the Movies

    "Warning, this is the chief of police speaking Do not steal police hate competition I repeat do not steal police hate competition. Where we gonna run, where we gonna hide? You've got the right to remain silent But forever they were brought here to protect us They were brought here not to hurt...
Back
Top Bottom