tafiti

Tafiti was an animated search engine launched by Microsoft Corp. and TrappsInteractive to showcase the Silverlight animation and video player.
It was launched in 2007 and was discontinued in 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tafiti ya IMF yashauri Crypto-currency kutotumika kama fedha halali (Legal tender)

    Utafiti wa IMF kuhusu Malipo ya Kidigitali - Sub Saharan Afrika, imeshauri kutotumia Crypto Currency kama fedha halali ya malipo. Suala hili linakuja wakati ambapo duniani Crypto Currency zinaongezeka kila uchao na baadhi ya nchi zikiwa zinaitumia fedha hizo kwa malipo ya kawaida. Suala la...
  2. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania TAFITI: Wanaume walio single wanafanikiwa haraka

    Utafiti mpya unaonesha wanaume wengi walio chini ya umri wa miaka 30 ni Hawako kwenye mahusiano ya kimapenz na wengi hawatafuti kabisa,na kwa sasa wanaume wengi wanaishi bila shinikizo la mahusiano wala ndoa sasa kutokana na hilo wanasaikolojia wanasema mwanaume anapokuwa single anapata muda...
  3. OLS

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Matumizi ya fedha taslimu yanasababisha mfumko wa bei

    Utafiti uliochapishwa katika Jarida la Advanced Research in Economics and Business Strategy umeonesha matumizi ya fedha taslim yanaathiri jamii katika mipango ya kuunda bei na kusababisha mfumuko wa bei. Utafiti huo uliofanywa na Francis Nyonzo, Mchumi ambaye pia alikuwa mshiriki wa moja ya...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tafiti mpya yabainisha ubora wa kinywaji kijulikanacho kama mbege!

    -UTAFITI UNAPINGWA NA UTAFITI-- Utafiti mpya uliofanyika nchini Tanzania na kuchapishwa na jarida kubwa la Nature Medicine la nchini Uingereza, umebaini kuwa lishe ya asili ya Kiafrika ina faida kubwa kwa afya ya binadamu ikilinganishwa na lishe ya Kimagharibi. Utafiti huo uliofanywa na...
  5. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Tafiti Zinaonesha,Nzi Watakuwa Wanatengeneza Asali Kama Nyuki Ifikapo Mwaka 2400

    Kutoka kwa nzi ambao wamejulikana kwa kusambaza magonjwa na kuwa kero kubwa kwa jamii, hadi kuwa viumbe wanaozalisha asali,hili linaweza kuwa mabadiliko yasiyoweza kuaminiwa, lakini tafiti za kisasa zinatoa dalili za mabadiliko makubwa ya kijenetiki. Ikiwa mabadiliko haya yataendelea, je, dunia...
  6. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tafiti zangu wabunge rahisi kurudi/ ngumu kurudi bungeni 2025-2030

    Wadau mambo? Naomba twendeni kwenye mada. Shughuli zangu zinanipa fursa kufika mikoa na wilaya mbalimbali za nchi yetu ya Tanzania. Na katika kufika huko niliamua kufanya UTAFITI WA KAWAIDA kuhusu wabunge wa majimbo ambao ni ngumu kurudi bungeni 2025-2030 na wale ambao kurudi ni mteremko...
  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Tafiti zaonesha kuwa wanawake wanahitaji usingizi wa kutosha

  8. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonesha vijana wengi wa Africa hawajitambui

    Ni tafiti tu sijui za kweli au ni figisu tu za kutudhoofisha waafrica
  9. President of China

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas afanya ziara TAFORI, ahamasisha watafiti kufanya tafiti za kimaendeleo

    Na Mwandhishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amewahamisisha Wataalamu wa utafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), kuandaa miradi mbalimbali ya utafiti yenye kuleta maendeleo chanya ndani ya Taasisi na katika sekta ya Misitu na ufugaji...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua katika tafiti wangu kuhusu kinachoendelea chadema

    Baada ya kumsikiliza Lissu ktk mahojiano yake ya vybombo vya habari kabla na baada ya kuchukua fomu na kurudisha. Pia baada ya kumsikiliza Mbowe , Nimepitia faceboook, twitter ambayo X ya sasa, instagram, Jf kwa account maarufu za kisiasa, na mijadala mbali mbali Nimdgundua yafuatayo Wengi...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ofa ya kuchapisha (publish) maandiko ya tafiti kwenye jarida la nishati bure kabisa (MDPI)

    Habari marafiki, Nimepewa ofa ya kupublish tafiti (papers) kwenye Journal ya Energies ya MDPI bure kabisa (free of chaji) katika topic zifuatazo: 1. Natural Gas Resources and Exploration 2. Natural Gas Reservoirs 3. Natural Gas Drilling Technologies 4. Natural Gas Processing and Optimization...
  12. emmarki

    JamiiForums Tanzania Mwani kutumika kama tiba, kuna utafiti wowote kuthibisha hilo?

    Mwani (sea moss) ni mojawapo ya mimea inayoota baharini na inalimwa sana zanzibar na mafia. Nimeona kutoka sehemu mbalimbali wauza dawa mbadala wakiusifia mwani kutibu magonjwa mengi na kuwa chanzo kizuri cha madini joto. Napata kigugumizi akilini kuamini bila kuwepo kwa tafiti kuthibitisha...
  13. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Tafiti za vyuo vikuu huishia wapi?

    Ukienda vyuo vikuu hapa Tanzania unakuta wasomi huko (hasa madaktari na maprofesa) wanaa maandikp mengi ya tafiti walizofanya katika masuala mbalimbali ya maemdeleo (kijamii, kiuchumi, kilimo, afya, elimu, uongozi, kisiasa n.k). Je, matokeo ya utekelezaji wa tafiti hizo nani anafuatilia...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia!

    Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia! Nina furaha kubwa kushiriki kwamba nimepokea cheti cha kuthamini mchango wangu kama mtoa tathmini wa tafiti (peer reviewer) kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia. Hii ni hatua kubwa na...
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Uzi wa tafiti na Saikolojia

    Saikolojia: Mtu akikutukana, kubaliana nae. Itamfanya ashindwe kuendelea kufanya hivyo! Mfano: 'Una sura mbaya' Jibu: Ndio, najua!
  16. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Uzi wa tafiti na Saikolojia

    Saikolojia: Mtu akikutukana, kubaliana nae. Itamfanya ashindwe kuendelea kufanya hivyo! Mfano: 'Una sura mbaya' Jibu: Ndio, najua!
  17. Smooth Criminal

    JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Wanaume au wanawake wajanja huoa au kuolewa na wenza wabovu sana

    Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo wa kuoa huyu mwanamke au amelazimishwa? Lakini nimeamini huo ni mfumo tu wa dunia unatak watu...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Vipande vya sigara ambazo zimetumika, ndio uchafu namba moja duniani unaoongoza kwa kufanywa na binadamu makusudi!

    1.Urahisi wa Kutupa: Wavutaji wengi wa sigara hawana mahali maalum pa kutupa vipande hivyo baada ya kuvuta, hivyo wanavitupa ovyo ovyo. 2.Ukosefu wa Uhamasishaji: Watu wengi hawajui madhara ya kutupa vipande vya sigara ovyo. Ukosefu wa uhamasishaji juu ya athari za mazingira unachangia tatizo...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonyesha 80% ya Wahalifu ikiwemo Wajambazi, wabakaji, wauaji, mashoga wamelelewa na Single Mothers yaani Fatherless

    TAFITI ZINAONYESHA 80% YA WAHALIFU DUNIANI IKIWEMO MAJAMBAZI, WABAKAJI, WAUAJI, MASHOGA WAMELELEWA NA SINGLE MOTHERS YAANI FATHERLESS Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Andiko hili halipo kwaajili ya kuwakandia single mothers bali lipo kwaajili ya kuonyesha matatizo ya u-single mother ambayo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tafiti Zimeonesha Matumizi makubwa ya viongozi, huchangia umaskini wa nchi za kiafrika.

    Utafiti hupingwa na utafiti Chuo kikuu hicho kimesema ikiwa wakoloni waliweza kufanya maendeleo makubwa kuliko tawala za wazawa. Watafiti wakasema " Usimamizi mbovu wa rasilimali za nchi za kiafrika ni tatizo jingine" Watafiti wanasema matumizi ya fedha nyingi Kwa viongozi hupelekwa kwenye mambo...
Back
Top Bottom