Tafiti za kisayansi

fredyyboy

Member
Jan 26, 2021
23
40
Habari zenu wakuu

Nimekuja kwenu nikiamini hapa Kuna wataalamu Wana sayansi bomba wenye ujuzi na maarifa mengi
Nilikua naomba ushauri kwenu nipo chuo na nimetumia muda mwingi kufanya tafiti na Moja ya tafiti ninayoifanya ni namna Gani nitafanya niweze badili Karatasi kuwa mbolea? Kwenye karatasi kuna carbon nyingi hapa naitaji mbinu ya kuongeza ammonia kwenye hayo makaratasi Kuna watu hapa wametengeneza Kwa kuchanganya makaratasi na mikojo mbolea yao ndo inaongoza kusifika Kwa saivi me nataka nije na kitu kipya!

huku Kuna watu wamebuni kutengeneza biskuti za asali
Sabuni za maji na kipande
Wengine wamegundua hormone za kuangualia mayai ya samaki
Water cycling
Mafuta ya parachich
Soya meat
Automated sperm collector

Vitu vingo hivyo ninachoitaji kutoka kwenu Wana jamii muweze kuchangia mawazo yenu je ni tafiti Gani ya sayansi tunaweza buni na kutengeneza kitu Mniambie tu Mimi ntafanyia kazi Kila mawazo yenu muhimu tuunde kitu cha kueleweka na chenye manufaa kwa jamii yetu.

Ahsante.
 
Kama uko seriously na tafiti waone Bright and Genius Editors ni kiboko ya haya mambo ya tafiti. Wana passion na mambo ya tafiti.
www.bgeditors.com
bandg.editors@gmail.com
+255687746471
 
Back
Top Bottom