tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga umuonye Haji Manara, utoe tamko tafadhali hatutaki shida za Simba Yanga

    Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

    Wadau hamjamboni nyote? Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza. Mchana mwema
  3. frank mkweli

    JamiiForums Tanzania Wanasheria masuala ya kazi msaada tafadhali

    Habari wakuu vipi wazima? Mimi mzima nina swali naomba nikuulize. Hivi kuna Sheria ya kumshitaki mwajiri kama alikuwa haweki hela za NSSF na loan board ukamshitaki, na lingine kama bima yangu haifanyi kazi. Natakiwa nifanye nini na pia zile hela za helsb ambazo zimekatwa kwangu hazijaenda...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchomoa Betri Mzee Magoma asikilizwe tafadhali pamoja na kwamba tunamtishia Maisha na Kumroga pia

    Inawezekana vipi katika Mauzo ya Jezi zetu Yanga SC inapata Shilingi 1,300/= tu kwa Jezi moja huku Jezi zikiwa zinauzwa kuanzia Shilingi 35,000/= hadi 40,000/= hapa Dar es Salaam ila huko Mikoani kote zinauzwa kuanzia 80,000/= hadi 100,000/=? Tatizo tu ni kwamba Mafanikio ya Uwanjani...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Wakatoliki Wenzangu mliokomaa katika Ukatoliki naomba huu ufafanuzi wa nani hasa anatakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu Siku za Maombi

    Kama ni kweli kutokana na Mkatoliki Mmoja kuniambia kuwa anayetakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu / Mkate wa Bwana hasa Siku za Ibada za Jumapili na nyinginezo ni yule tu ambaye Kaungama dhambi zake Siku ya Alhamisi ya Wiki husika basi nina uhakika wa 100% Dhambi ambazo GENTAMYCINE ninazo mpaka...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi mlioko hapa JamiiForums tafadhali naomba neno sahihi la Kiswahili la 'Quarter Guard' nitawashukuruni sana

    Na nitaomba pia kama kuna Mwanajeshi yoyote yule hapa JamiiForums mwenye Kamusi Maalum ya maneno ya Kijeshi ya Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili aniwekee hapa au aniambie naweza kuipata wapia. Asanteni Maafande.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali nauomba Uongozi wa JamiiForums usifute hizi Threads za Posts zote za wana Yanga SC wanaobeza Usajili wa sasa wa Simba SC, kwani hawatoamini

    Yaani wenye Simba SC tumerejea na kuombana Msamaha na kulishana Yamini halafu Msimu ujao isibebe Vikombe?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Makonda tafadhali wana Arusha tunaomba mshawishi Mwamposa atuletee mkesha mkubwa na sisi na majirani zetu

    Pole na majukumu ya kikazi mkuu wetu wa mkoa na hongera kwa kuendelea kuipigania Arusha. Ninaiomba tumia ushawishi wako baada ya mimi kuhushudia mkesha mkubwa ulofana sana kule Dar ninaomba mkesha ule uje na hapa kwetu Arusha kwani mkoa huu unahitaji sana upako wa namna ile. Kuna roho...
  9. C

    JamiiForums Tanzania naomba kujua mishahara ya maafisa habari / wasemaji wa vilabu vya nbc premier league ukiondoa tu wanaolipwa vyema wa yanga, simba na azam tafadhali

    kuna wa klabu moja nasikia pamoja na mikogo yake yote popote pale alipo analipwa shilingi laki tano tu ya mafungu
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali upesi sana amueni moja katika hili kwani Msimu ukianza haya Mapungufu yaliyotuponza hatuyataki tena na tumeyachoka

    Uongozi wa klabu ya Simba umempa mkataba wa miaka miwili aliyekuwa kocha msaidizi wa Raja Casablanca, Fadlu David ambaye inaelezwa atatua nchini Ijumaa sambamba na wasaidizi wake. Kocha huyo ambaye amethibitisha ujio wake Tanzania baada ya kutumia ukurasa wake mtandao wa kijamii ‘Instagram’...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunachelewa nini kumalizana na huyu Elie Mpanzu ili asaini haraka Simba SC? Naomba ndani ya Siku Tatu zijazo muwe mmeshamalizana nae tafadhali

    GENTAMYCINE niliposema wenye Simba SC yetu sasa tumerudi Kundini na Kazini nilikuwa ninamaanisha. Kudadadeki.
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua ama Kanisa Wanalosali hawa Mawaziri Wawili au Waganga Wao wa Kienyeji wanaowatumia au Mizimu yao wanayoitumia tafadhali

    1. Waziri Jenista Mhagama 2. Waziri Dk. Mwigulu Nchemba Sitaki Kuulizwa Swali kwanini nimewataja hawa au nimeomba hivi kwani ukiwa na Akili Timamu tu utajua ipi sababu.
  13. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kujiunga na Alibaba

    Nimekuwa nikijaribu Mara kadhaa kujiunga na Alibaba lakini kila Mara naambiwa hivi.
  14. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mpatie supplier wako address yetu

    Ofisi zetu Tanzania zipo kariakoo mtaa wa Ndanda na Muhonda WhatsApp/Call +255 697 692 507 Rate yetu Kwa normal goods (mizigo isiyo na sumaku battery au majimaji ) ni USD 11.5 Kwa kilogram
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Saido Kanoute anasubiria nini kupewa 'THANK YOU' Simba Sports Club? Aachwe upesi sana tafadhali.

    Nimecheza mpira na naujua mpira na nauchambua mpira pia Saido Kanoute si Mchezaji wa Hadhi ya Simba SC yetu. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya...
  16. Doto12

    JamiiForums Tanzania Mtiririko wa vyeo..msaada tafadhali

    Kutoka teacher grade 2B ni cheo kipi kinafuata?
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kuelewesha: Uchumi wa buluu maana yake tafadhali.

    Mwenye uelewa wa neno "uchumi wa buluu". Nimekuwa nikisikiliza wenzetu,wa visiwani wakisema hili neno. Mwenye uelewa wake kwa kina,na ushiriki WA Hilo neno wa watanganyika
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watendaji wa Serikalini na Madereva wa Wakubwa huko Serikalini tafadhali acheni 'Kurogana' kwa 'Uchawi wa Ajali' mnakosea Mungu pakubwa sana

    Unaacha Kufanya Kazi kwa bidii huku ukimshirikisha Mwenyezi Mungu Wewe unachowaza ni Kumroga fulani ili Afe Ajalini ili uchukue nafasi yake. Na ninachofurahi Warogaji wengi wa Wenzao ili Wafe ( hasa Ajalini ) ikitokea kweli waliowalenga Wamekufa huko Ajalini baadae wala hawazipati hizo Nafasi...
  19. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania Anaejua muongozo wa ku renew NIDA iliyo expire msaada tafadhali

    Wale wenzangu wenye zile NIDA zetu za 2014 ambazo mwenda zake alizikataa zimesha anza ku-expire, naomba kujua kama kuna mtu amesha renew, utaratibu upoje? Je naweza kwenda ofisi yoyote ya NIDA au lazima niwe mkoa niliojiandikishia? Na maelezo yoyote ya ziada ni muhimu sana. Asante sana🙏
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji sana 'Critical Thinking' yako katika hii Taarifa tafadhali

    Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini unatarajia kumsafirisha kwa ndege Mtanzania Kulwa Hassan Twalibu, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Sterkfontein iliyopo Johannesbug- Afrika Kusini tangu mwaka 2018. Balozi James Bwana amesema Twalibu anarejea Tanzania ili akaungane na familia yake...
Back
Top Bottom