tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jina la huu wimbo tafadhali

    Habari ya jumapili wana wa Mungu. Huu wimbo nineusikia redioni nikaupenda, sasa tatizo sijui unaitwaje ili niupakue
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Fiston Mayele na Kibwana Shomary sawa Wasajilini kama Kweli, ila kwa huyu Ayuob Lyanga hakuna Mchezaji hapo na achaneni nae tafadhali

    Na uzuri pia wa Kibwana Shomary kwa Sisi wana Morogoro tunamjua kuwa ni mwana Simba SC lia lia hivyo atafaa tu.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali aliye na namba za hawa Watangazaji wa Kike wa Kipindi kilichopo Hewani sasa EA Radio awapigie na awape huu Ujumbe wangu kwa Lawama zao Kwetu

    Kwa atakayewapigia anifikishie huu ujumbe wangu muhimu Kwao kwani nawasikia tokea wameanza Kipindi chao leo ( ambacho huwa kinaanza Saa 3 Asubuhi hadi Saa 6 Mchana ) ni kama vile ama Wametendwa na Wapenzi wao au wana Hasira ( Usununu ) na Sisi Wanaume kuwa tunawapa Mimba Wanawake na Kukimbia...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chukua hii ya Usajili ujao wa Bongo na itunzeni tafadhali

    Huenda Mlevi wa upande Mmoja akamfuata Rafiki yake Mlevi HATARI wa upande mwingine au ikawa ni kinyume chake.
  5. BRO LEE

    JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali

    Kila nikijaribu ku - install app ambazo sio za play store zinakataa na nakutana na huo ujumbe , naomba namna ya kufanya, mf. Snaptube, you tube go nk
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye Tabia hii mbaya na inayoharibu Mahusiano yenu na inayowakera 99% ya Wanawake badilikeni tafadhali

    Yaani kabisa Mwanamke wako ( Mtoto wa Watu ) umempenda Mwenyewe na kuamua kuwa nae lakini cha Kushangaza uko nae Kwako Dar es Salaam ila Maelekezo yote ya Kuishi na Mkeo au Mpenzi wako ( Mchumba ) yanatoka Kijijini ( Mkoani ) aliko Mama yako Mzazi au Mlezi wako. Huu ni Ujinga wa Kiwango cha...
  7. arcoiris

    JamiiForums Tanzania Mradi wa NHC wa Safari City Arusha umetelekezwa?

    Vipi kuhusu mradi wa NHC wa safaricity arusha umetelekezwa? Anayejua muendelezo tafadhali atuhabarishe
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwenye kumjua zaidi huyu Atalaku ( Mghani / Rapa / Animateur ) wa Extra Musica ya Roga Roga aitwae Zaparo Degaire anichambulie tafadhali

    Dogo namuona ni Hatari sana na ndiyo Animateur ( Rapa / Mghani / Atalaku ) ambaye namuona anakuja kuwa Tishio kwa Atalaku bora kwa sasa Congo DR Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ) wa Bendi ya Wenge BCBG yake Jean Bedele Tshituka Mpiana na kwakweli ametokea Kunivutia na ana Sauti ya...
  9. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

    Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu. Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii...
  10. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa IGP Wambura, tafadhali fumua muundo wa Dawati la Jinsia nchini.

    Nianze Kwa kumuunga mkono Mbunge wa Viti maalum Iringa Jesca Msambàtavangu juu wa utendaji wa wizara ya Jinsia na watoto pamoja na Idara zake jinsi zilivyojikita kutetea upande mmoja WA wanawake na watoto wa Kike pekee. Afande IGP, ugonjwa huu umelikumba Kwa kiwango kikubwa Dawati lako la jinsia...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Aliyemuelewa Mzee Kinana tafadhali atusaidie kufafanua ili na sisi tuelewe

    Ukisikia kukurupuka ndio huku sasa. Watu washashindwa sasa unafafanua kitu gani? ======= "Katika mzunguko wao (CHADEMA) hapa nchini wamekuwa na hoja zifuatazo, hoja ya kwanza (1) wamezungumzia juu ya Katiba, hoja yao ya pili (2) wamezungumza sana juu ya sheria ya uchaguzi, hoja yao ya tatu...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me. Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne. Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri. Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa...
  13. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Mzazi kama una kijana South Africa hasomeki, Tafadhali mama mkanye mwanao

    Kuna wimbi la vijana wa hovyo panya road typical hatimaye wametinga kwa Kaburu. Kuna wimbi la vijana panya road type sasa wamevuka mipaka wameanza kuwakaba mpaka Watanzania wenzao na wengine wakishavuta bangi zao hujiona ni Wamarekani na kujipost wakiwa na silaha za moto. Sasa azimio ni moja...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Mwenye version ya the Latest STANDING ORDERS FOR THE PUBLIC SERVICE anisaidie hapa au inbox

    Nina shida na kanuni za uumishi wa wartumishi wa serikali. (STANDING ORDERS FOR THEPUBLIC SERVICE, ). Ya mwisho ilikuwa ya 2009. Kama kuna latest anisaidie
  15. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ijayo ilenge kukuza vipaji na ujuzi ili vijana waweze kujiajiri

    Tanzania Tuitakayo ni nchi yenye maono ya kipekee ambayo inalenga kuwa na jamii yenye uwezo wa kujiajiri na kujitegemea bila kutegemea serikali. Maono haya yanazingatia kuimarisha miundombinu wezeshi ambayo itawawezesha wananchi, hasa vijana, kukuza vipaji na ujuzi wao ili waweze kujiajiri na...
  16. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr Gwajima (Mb) waziri wa jinsia kwa kutatua kero kupitia mitandao usichoke tafadhali

    Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, .......napenda kuchukua nafasi hii kumpa mauwa yake waziri wa jinsia na watoto DR Dorothy Gwajima kwa kutatua kero za mtu mmoja mmoja ikiwemo udhalilishaji au ukatili wa kijinsia na kwa watoto pia. Dr huyu amekuwa akifanya hivi kupitia account yake ya X zamani...
  17. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Ni ipi tofauti kati ya Heshima na Nidhamu? Je mtu anaweza kuwa na heshima na akakosa Nidhamu?

    Habari za wakati huu waungwana, ni matumaini yangu nyote ni watu wazima na wenye uzoefu na haya maisha. Naomba kufahamu tofauti iliyopo katika mambo hayo mawili muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Epuka hili, tafadhali

    Jamaa mmoja alifungua duka basi marafiki zake, familia, na majirani walinunua bidhaa kwake na wengine wakikopa, Baada ya miaka kadhaa, hiki ndicho kilichosalia. Mara nyingine tunakubali ndio wakati tungepaswa kusema hapana. Unakubali ndio ukifikiria unawasaidia watu lakini kwa kweli unapoteza...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wenye Tafsiri ya video hii tafadhali

    Jionee mwenyewe.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Ktabu chochote au Chapisho lolote la Kumfundisha Mtu vyema Lugha ya Kiswahili aniwekee hapa ili 'Nikidanlodi' haraka sana

    Huyu Mrembo wa Kinyankole hapa Uganda sitaki nimkose na anapenda sana Kujua Kiswahili hivyo nisaidieni nisimkose.
Back
Top Bottom