tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kauli Bi. Happiness Seneda ya kusema watakagua wasiopiga kura inaweza kuichonganisha Serikali na watumishi wa Umma. Rais tafadhali muondoe

    Uchaguzi wa Serikali za mitaa ukiwa umemalizika kwa amani na utulivu na tukiwa tunaendelea kusubiri matokeo kwa maeneo ambayo matokeo bado hayajatangazwa, tutumie muda huu kuijadili kauli ya katibu tawala wa mkoa wa Songwe aliyotoa siku ya jana, ya kwamba '....watawakagua wino watumishi ambao...
  2. Kermion

    JamiiForums Tanzania Msaada Nifikishe Views 500, Subscribers 100 Tafadhali

    -
  3. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Rais tafadhali kula kichwa cha RC Mtanda, kitendo alichofanya CCM Kirumba kimakuharibia kuelekea uchaguzi mkuu

    Kwa afya ya nchi yetu na chama chetu hususan katika kipindi hiki cha uchaguzi, alichofanya huyu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ni kama anataka kukuharibia. Ikikupendeza mpumzishe kwanza. Kwa sasa, mpira unaleta mchango mkubwa sana kwenye amani, furaha na ustawi wa maisha yetu na kwa bahati wewe umekuwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Android Masada tafadhali

    Habari wadau. Kuna hii simu yangu Aina ya Samsung, nahitaji msaada namna ninaweza kuondoa hii option ya message nibakiwe na moja. Ninayohitaji kuondoa ni hiyo niliyoweka alama ya X Asante
  5. MUCOS

    JamiiForums Tanzania Muongozo tafadhali wa pahali pazuri pa kuishi Dar es salaaam

    Salamu kwenu wakuu Wakuu baada ya kuishi mkoani kwa muda, sasa naona ni wakati mzuri wa mimi kuhamia jijini Dar es salaaam kutoka mkoani kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya kulisaka tonge. Ombi langu kwenu naomba mnipe muongozo wa sehemu ipi patanifaa kuishi/kupanga kulingana na mahitaji...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali; namtafuta Mc Egron Rweyemamu

    Naomba msaada wanajamii forum. Yeyote anayeweza kuisaidia kumpata mtu anaitwa Osward Rweyemamu au jina kingine Mc Egron Rweyemamu. Alikuwa anajihusisha Sana na mambo ya ujenzi. Hata Kama mawasiliano ya mke wake au ndugu yake. Nashukuru kwa atakaye nisaidia. Asante sana.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utumishi wa mahakama hizi fani Civil, plumbing, electrical, welding & fabrication zinaaply wapi

    Habari wakuu! Hivyi karibuni yametoka majina ya waliopata ajira utumishi wa mahakama, miongoni mwao wapo wahandisi kwa maana ya maengineer na mafundi kwa maana ya Technician ( civil, plumbing, electrical, welding & fabrication) naomba kujua utumishi wa mahakama hizi fani zinaaply wapi? Au wana...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

    Msaada kwa mwenye ushuhuda kupona bawasiri kwa upasuaji au dawa za asili
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa yeyote anayeweza kunisaidia, unahitajika tafadhali

    Ni matumaini yangu nyote mko salama. Ingawa nipo na ID mpya, mimi ni mwanachama wa muda mrefu. Mimi ni mwanaume, na nimejikuta katika hali ya kulea pacha ambao mama yao aliwaacha wakiwa na mwaka mmoja na nusu. Wakati huo nilikuwa Dar es Salaam kwa shughuli za kutafuta riziki. Niliamua...
  10. mambio

    JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

    Sitaki salamu na mtu! Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa. Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh 20500 Nimeenda voda kuwaomba walau wasimamishe riba sijawaelewa hawaeleweki. Sasa nnampango wa...
  11. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nina laki 1 nataka mashine moja ya kisasa ya kunyolea kampuni bora tafadhali.

    Sitaki hizi mashine za et 20k,25k,35k,sijui 50k hapana nimeona bora nichukue Mashine moja kali ambazo haipati moto kirahis. Nimeona fursa hapa mtaa ya saloon. Asanteni. Nielekeze kampuni bora ya mashine za kunyolea.
  12. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Jamani msaada Tafadhali

    Nacheti cha diploma ila haina usajili wa nacte una usajili wa veta ila sijasomea veta nimesomea chuo cha kati hapa nilipo so kama sasa vyuo vyote vya sasa vimesajiliwa na nacte kwakutumia cheti changu naweza kujiunga chuo kikuu ? Au kitakuwa hakitambuliki
  13. mapema

    JamiiForums Tanzania Napata changamoto hii nikiwa natumia X (Twitter) Msaada tafadhali!

    Toka 2021 nimekuwa nikitumia Twitter ku comment na ku like ku following, ila miaka ya hivi karibuni imenizuia kufanya hayo yote isipo kuwa ku like. Naomba msaada kama kuna namna ya kufanya niweze kutumia kwa ukamilifu, nimejaribu kuwasiliana nao inashindikana au sijajua namna nzuri ya...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

    Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali
  15. je parle

    JamiiForums Tanzania Waliomteka na kumuua Mzee Ali Mohamedi waajua kama watu wa Tanga wana nongwa?

    Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali. Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi bali alikuwa na impact katika maisha yake na watu wake waliomzunguka . Nipende kusema kwamba hawa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali nakuomba chukua muda wako leo na uupokee huu Ushauri wangu GENTAMYCINE, nina uhakika utakusaidia sana na Kunishukuru pia

    Pole na Majukumu yako ya Kiutendaji na hongera kwa yale mazuri unayofanya kwa Tanzania japo kwa kawaida changamoto za Kiutawala / Kiuongozi kwa Rais yoyote hazikosekani na kama hutozimaliza Wewe basi atakuja Kuzimaliza ajaye. Tafadhali Rais Samia nakuomba fanya yafuatayo ikikupendeza....... 1...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Anaomba msaada wa hii kozi tafadhali

    Kuna binti kamaliza form six mwaka huu kaomba chuo kapata vyuo viwili na alikuwa anasoma PCB kapata UDSM na UDOM lakini kozi aliyopata ndo haelewi kozi yenyewe ni Aquaculture vyuo vyote viwili kapata kozi iyo ss anauliza vp iyo kozi ajira zake zimekaaje
  18. cutelove

    JamiiForums Tanzania Hili neno "Umehonga" linawapa msongo wa mawazo wanaume. Tafadhali tusilitumie kwa wanaume wetu

    Wanawake tuliowengi kwa sasa tunaendeshwa na hisia tu badala ya uhalisia Kwa sasa tunaamini na kuhisi kwamba iwapo mmeo hakupi pesa ya matumizi ya kutosha au akakwambia hana pesa kwa muda huo basi neno litakalotamkwa na mke wake au mpenzi wake ni kuwa amehonga pesa wanawake na kumnyima mkeo au...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata nyaraka hizi tafadhali

    Habari, Husika na mada tajwa kwenye heading. Ninahitaji hizi nyaraka Nahitaji. 1. Circular Letters 1999 - 2020 2. Public Service Act & Regulations 3. Employment & Regulations act 2004. Kwa ajili ya marejeo na maarifa zaidi. Shukrani!!
  20. M.Rutabo

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Mzize asianzishwe kesho mechi na Kagera Sugar

    Speed ya Mzize ni habari nyingine uwanja wakaitaba vipimo vyake ni vidogo mno kesho mzize tafadhali hasianzishwe tusije kumkuta nje ya uwanja.
Back
Top Bottom