tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tafadhali Sikiliza Sauti ya Watu wa Mungu

    1. Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunakutambua kama kiongozi wa nchi yetu, mama wa taifa, na muendelezaji wa juhudi za maendeleo. Tunakupa heshima yako kama mkuu wa nchi. 🇹🇿 2. Lakini tunakuomba kwa unyenyekevu, usikilize kilio cha viongozi wa dini ambao kwa nyakati mbalimbali wamekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kwa anayefaham kutengeneza website

    Jamani kama Kuna IT anaweza mambo ya mifumo vizuri,naomba msaada Kuna web nataka nianzishe sijui pakuanzia naomba anicheki Dm nitajieza vizuri, na Kwa upana zaidi Asante.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mwigulu , Yanga tutakupa Urais 2030, tafadhali Tufungie haya Makolo Leo, Piga Hao watoto wa TFF/TPBL

    Kwakuwa Yanga tunaipenda Tanzania, NA tunaipenda Timu yetu Singida Black stars, basi kwakuwa sisi yanga population yetu ni kubwa kufikia asilimia 75 ya population ya nchi, na ukizingatia Sisi yanga ndo Wananchi wenyewe, basi sisi tuna ushawishi mkubwa, japo tunaonewa na TFF na Bodi ya Ligi ambao...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Wakenya ugomvi wenu na Samia usiwe ugomvi kati yetu sisi na nyie

    Sisi wananchi wa Tanzania hatuna ugomvi na Wakenya na hatujawasema vibaya wakenya na majirani wengine kama Uganda, Burundi, nk. Aliyewasema vibaya mnamfahamu, tafadhali shughulikeni naye na sio sisi wananchi. Sisi wananchi tunahitaji kufanya biashara zetu ndani ya nchi ya Kenya na nyie...
  5. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijui ni kwanini Simba SC, Serikali, TFF, CCM na Wanachama wa Simba SC walikuwa wanalazimisha Fainali ya CAFCC ipigwe kwa Mkapa

    Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
  6. JamiiForums Tanzania Mwenye mawasiliano ya mbunge wa uyui msaada tafadhali

    Am sorry kama kuna mtu anamawasiliano ya mbunge wa uyui naomba anitumie kwa namba hii 0614922509
  7. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tafadhali Siku zingine msirudie tena huu Ushamba ambao pia ni Hatari kama Ndege ikiwa Angani na hairuhusiwi

    Hairuhusiwi popote pale Ndege ikiwa Angani Watu (Abiria) kuanza Kucheza Dansi huku wengine Wakiruka Sarakasi katika Viti vyao na wengine wakirandaranda na Vinywaji vyao (Vilevi) kana kwamba Wote wako Baa wakati kumbe wako Futi 65,000 Usawa wa Bahari wakiitafuta Morocco. Na nimeshangaa sana tu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Habari zenu wakuu. Naomba niende kwenye mada. Mim ni mkulima natokea Mpanda Katavi. Nimelima mwaka juzi zao la papai na kila mwaka wa mavuno hutokea hili tatizo la kuweka vidoti. Wakati papai linaanza kukua kisha hua kama kibarango ikifikia papai kua kubwa na huanza kuoza kabla halijakomaa...
  9. JamiiForums Tanzania Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

    Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa. . Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories

    Poleni na majukumu wakuu. Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu. Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
  11. JamiiForums Tanzania CCM msije mkatufikisha huku tafadhali

    Polis wamepata ajali wananchi wamegoma kuwasaidia kisa ni polisi kutumika na serikali kukandamiiza wananchi...Uganda
  12. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Upande wa Sekta ya Madini Tanzania tunaambulia 16% kwenye Mikataba na Madini ni Yetu? Naomba nieleweshwe Tafadhali Uenda nikaelewa

    Wakuu naomba mtu mwenye uelewa na mambo ya Madini pamoja na Mikataba anieleweshe ili nami nipate kuelewa ! Tanzania imebarikiwa Kuwa na Madini tofauti tofauti ambayo bila shaka yangetutoa kwenye Umasikini watu wetu wakaishi maisha mazuri na Kuwa na kipato kizuri ! Nimejaribu kudodosa na...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Nilimuachisha chuo, Mke wangu kagundua, ana Mimba mapacha watatu! Msaidie afungue biashara huko kwao! Nahisi kuchanganyikiwa na sijui nifanye nini, kuna huyu binti niko naye kwenye mahusiano kwa miaka 5 au 6 sasa. Wakati nakutana na huyu binti alikuwa yuko chuo, na mimi nilikuwa nataka mtu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mamlaka tafadhali tunawasihi mtoe ruhusa daladala Mbezi....Muhimbili

    Jambo hili lichukuliwe kama dharura,,,,Kwa sasa mwendokasi si rafiki kwa watu wenye changamoto za kiafya na wengi wetu hatuna mbadala wa usafiri toka maeneo husika uelekeo Muhimbili. Kwa kweli tunawaomba, tena tunawasihi... si kuangalia ! bali kuruhusu,si daladala tu,...bali hata usafiri...
  15. JamiiForums Tanzania Kero ya Nzi,Nijulishe Tafadhali.

    Tafadhali nakuomba yeyote unayepajua popote penye kero kubwa ya nzi Nijulishe Ili nilete ufumbuzi wa haraka.
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji Series ya THE OVAL uanzia season 03 tafadhali

    Hii series nimeipendea confor ya Mr President. ila pia malezi yawatoto mwenye nayo naomba usiku huu huuu Tyler Perry's The Oval - Season 3 hii link sio rafiki
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO X Wamefunga account yangu msaada tafadhali hii ya A current, dated and signed statement on official company letterhead conforming that you're an autho

    Mnisaidie nitoke kwenye hii kitu wazee nilibadilishaga profile picture ndo yote haya yakatokea nimeshatuma email kibao bila mafanikio Kwa anaeweza kunisaidia tafadhali wakuu
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC: Chama kisichosaini kanuni za maadili ya uchaguzi, hakitashiri Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi. “Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu…”...
  19. JamiiForums Tanzania Tuna tatizo kama jamii na taifa maana sielewi mantiki ya watu wazima na akili zao kukubali kuita au kuitwa au kujigeuza chawa

    Kwa sasa, chawa amegeuka superstar katika siasa za majitaka za nchi yetu. Kila aliyekaribu na watawala ima ni chawa au anatafuta kuwa chawa. Je kwa uchawa na uzwazwa huu tutegemee nini? Afugaye chawa na chawa wanaofugwa naye, wote wanahitaji ukombozi. Hii inanikumbusha kauli ya marehemu Mtikila...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Heri Mchina anaepunguza ukali wa maisha kuliko mzawa anaetupiga, usumbufu wenu unatufanya tuzidi kujaa kwao, Mchina haendi popote, HERE TO STAY !

    Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha. Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa mpaka elf 30, mchina anakuja kuuza kwa bei rahisi mnaanza kulia Uzalendo, ni uzalendo gani huo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…