tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, kwa tabia hii ya Wanaume ni kwamba tuna 'Uweledi' mkubwa au ndiyo tuna 'Ujuha' ulioshindikana?

    Leo hii ( Siku hizi ) ni Jambo la Kawaida sana Kumkuta au Kumsikia Mwanaume ( Mume au Mchumba wa Mtu ) akiwa tu ana Mahusiano na Mwanamke wa Pembeni ( wa Nje ) akimsema vibaya Mkewe / Mchumba ( kiasi cha mpaka Kumdhalilisha ) kwa kutoa Siri zake pamoja na Madhaifu yake. Kuna Mwanaume Mmoja...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Wilaya ya Sengerema walalamikiwa kwa tabia ya kuwapa wanafunzi ujauzito

    Sengerema wanafunzi wapatao 254 wa shule za msingi na Sekondari Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wamekatishwa masomo kwa kupatia ujauzito kwa mwaka Kati ya mwaka 2020/21. Hayo yamebainishwa na mkuu wa dawati la Jinsia Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza Insepectar wa Polisi Martha Silvesta...
  3. JamiiForums Tanzania Hadithi: Tabia

    JINA: Tabia. MWANDISHI: Chiamaro Mokiri. Umri wake ulikuwa ni miaka 19. Alikuwa hazidi hapo. Labda kama ni chini ya hapo. Na kama ingelikuwa ni kampuni ya bima, basi wangempatia miaka mingine 60 ya kuishi. Ila mimi nilikadiria labda masaa 36, au dakika 36 ndizo alikuwa nazo kama mambo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wapinzani hasa CHADEMA kusifia wastaafu wa CCM inatukanisha upinzani

    Kumekuwa na kautamaduni ka viongozi na mashabiki wa upinzani kuwasifia viongozi wa CCM pindi wanpokuwa wamestaafu toka kwenye majukumu yao ya kiserikali/chama. Utamaduni huu unawachanganya wananchi hasa wale wenye uwezo mzuri wa kutunza kumbukumbu, kwani mara nyingi unakuta huyu mstaafu wanae...
  5. JamiiForums Tanzania Tabia ya usiri inawafanya wanaume washindwe kutoa taarifa pale wanaponyanyaswa

    Ukizungumza unyanyasaji wa kijinsia wengi huwaza wa upande mmoja, kwamba ni dhidi ya mwanamke lakini uhalisia ni tofauti kwani hata wanaume hunyanyaswa isipokuwa si wepesi kuzungumza. Hayo yalielezwa mapema wiki hii wakati wa kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia lilioandaliwa na Norwegian...
  6. JamiiForums Tanzania Taifa letu linaharibiwa na watoto wa vigogo wa CCM waliorithiswa madaraka na wazazi wao. Tabia za kulifanya taifa letu la kisulutani inatugharimu

    Kasumba ya chama cha CCM kuwarithisha madaraka watoto wa viongozi inaligharimu taifa letu. Yawezekana huko nyuma wazazi wao walikuwa na uzalendo wa kweli lakini hawa watoto baada ya kuona kuwa siasa inalipa hasa baada ya CCM kuingiwa na na kubadilika kukumbatia ufisadi wazazi wao wakawalithisha...
  7. JamiiForums Tanzania Zifahamu tabia 10 za mtu mwenye wivu

    Mara mtu apatapo mafanikio mambo mengi hutokea au hubadilika. Moja kati ya mambo ambayo hutokea ni mabadiliko kwa watu wanao mzunguka mtu huyo. Wengine humpenda, wengine humheshimu, wengine humchukia au hata kumwonea wivu.Wivu umekuwa ukitesa na kurudisha maendeleo ya watu nyuma hasa wale ambao...
  8. JamiiForums Tanzania Tabia ya wamiliki wa channel za youtube kuweka maneno ambayo mtu hajazugumza kwanini haipigiwi kelele

    - Uso kwa uso -Huwezi Amini -Atoboa siri Watupiana maneno Afichua mazito Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y. Pia picha zina editiwa ili kudanganya watu waminye hio video. YouTube ni ajira, kuna mfumo wa malipo na hili lipo wazi kabisa, kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu nahisi ana matatizo ya akili, haachi tabia ya kucheza cheza hovyo

    N i aina ya wale watu ambao kitendo ha masikio yao kusikia mziki unakita basi mwili utashawishika kucheza. ni age mate, ana miaka 31, tunafanyia kazi shirika moja la kiserikali ila yeye alihamishiwa kituo kingine, kwa hio sikua nae karibu kwa mwaka hivi zaidi ya kuwasiliana kwenye simu...
  10. JamiiForums Tanzania Unachukuliaje tabia ya watu kubeba vyakula au vinywaji toka kwenye masherehe na kurudi navyo nyumbani

    Kama utambulisho unavyoeleza, hii tabia imeonekana kuzoeleka na hata kuonekana ni jambo la kawaida kwa jamii nyingi za kiafrika na huwezi kuona vitu kama hivyo katika nchi za wenzetu kwani kwa kufanya hivyo wao wanaona ni kutokustaharabika. Je, kwako binafsi inauchukuliaje tabia hii? Je...
  11. JamiiForums Tanzania Dada yangu ananipa hasira, alikimbia ndoa baada ya mwaka sasa yupo kwa wazazi

    Ni dada yangu wa tumbo moja. Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku ndoa kwa sababu ambazo hadi leo zinaonyesha alimsingizia tu mme wake wazi wazi ilomradi aondoke...
  12. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi, Scotland: Rais Samia ametuangusha

    Wanabodi, Kama mtanzania, inawezekana umepata nafasi kufuatilia yanayojiri nchini Scotland kwenye mkutano unaohusu mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huu umehudhuriwa na viongozi wengi akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alihutubia mkusanyiko huo. Tofauti na nchi kama China, Marekani na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahutubia mkutano wa tabia nchi, asema 30% ya pato la Taifa sio endelevu

    Leo Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amehutubia mkutano wa Tabia nchi unaofanyika Scotland, katika hotuba yake fupi na kuongelea Tanzania ilivyoathirika na mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo kuongezeka kwa kina cha bahari na kutafuna ardhi yenye rutuba, kuyeyuka kwa barafu ya mlima Kilimanjaro pia...
  14. JamiiForums Tanzania Tabia ya viongozi wa Serikali kufanana na kambale

    TABIA YA VIONGOZI WA SERIKALI: Wiki iliyopita nilimsikiliza Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akielezea namna wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali wanavyopandishiana mabega, nikakumbuka maisha ya kambale ambayo kila mmoja ana sharubu zake. Rais Samia Suluhu Hassan anapaswa kuwa mkali sana...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hizi tabia wana matatizo gani?

    1. Wanawake ambao unaweza kumtongoza leo, akakukataa, tena kwa mbwembwe, vijembe na kila aina ya kujidai hadi unaona wewe si loote kwake. Ukatulia zako ukaendelea na mambo yako. Ghafla baada ya miezi 6 au mwaka hivi anakuja kama mbwa aliyemwona chatu, mpole mnyenyekevu yaani yuko tayari kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi tabia zao hubadilishwa na rafiki zao wa kike

    Asilimia kubwa ya wanawake ambao wengine ni wake zetu, wapenzi wetu, dada zetu, mama zetu, ndugu zetu n.k. Ila kwa uzoefu nilionao wanawake wengi ukiona kabadilika kwa mazuri au mabaya basi tambua akili yake au ufahamu wake unashikiliwa na mwanamke mwenzake, haijalishi ni ndugu, rafiki, jirani...
  17. JamiiForums Tanzania Tabia gani hupendi au unapenda ukiwa safarini?

    Je, ni Tabia Gani hupendi au unapenda ukiwa safarini Binafsi Napenda kukaa na binti nikiwa safarini ila asiwe na Smartphone kubwa kunizidi. Utakuta wewe una Tecno pop2 F harafu yeye ana iPhone 13. Yaani unakuwa unaona aibu hata kuitoa. Unakuta kabinti kanajikuta kako busy na Simu kameweka...
  18. JamiiForums Tanzania Tabia ya Kiasili ya 'Kijamaa' tuliyonayo Watanzania tunapokuwa nje ya nchi ina faida kwetu au inatufunga kimaarifa na kimaendeleo?

    Nimetembea nchi kadhaa (hasa za Afrika) na nikiri tu kuwa huko sijui Majuu (Ulaya na Marekani) sijafika bado na kama ni kufika Kwangu basi ni ama tu kupitia ITV Daima au Facebook, Instagram na Twitter pekee. Kuna 'Katabia' nimekaona kwa Watanzania wengi wakiwa tu katika hizo Nchi na...
  19. JamiiForums Tanzania Kileleni kuna uchizi, una tabia ipi unapofika kileleni

    Sex ni moja kati ya starehe ambayo inafanya baadhi ya watu kuwa na hisia kali sana mpaka kufikia kushindwa kuweza kujihimili na kufanya vitu vya kushangaza, bila kujali cheo, umri, jinsia, n.k 1. Kuna kulia machozi pale mambo yanapokolea 2.Kuna kuanza kupiga kelele kwa lugha zao za makabila...
  20. JamiiForums Tanzania Makundi ya Watoto kutokana na tabia zao

    1. Mtoto mtulivu, mkarimu Huyu ni mtoto anayewaamini wazazi na watu wanaomzunguka. Utulivu wake unasababishwa na kujiona yu katika mazingira salama na hivyo hana wasiwasi. Kutokuwa na wasiwasi kunamfanya asiwe mgomvi wala msumbufu na hivyo hana tabia kulia lia bila sababu. Kulia kwa watoto mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…