taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Tony Blair Tanzania: Tunaweza kufaidikaje na Taasisi yake The Tony Blair Institute for Global Change?

    Rais Samia wa Tanzania akiagana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair, Ikulu ya Tanzania leo Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair, amemtembelea Rais Samia wa Tanzania leo. Wameongea mengi na tamko la ikulu tayari limetoka. Blair kwa sasa ni kiongozi wa The Tony Blair...
  2. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ili mtu au taasisi iweze kuomba donation kwa Tanzania inatakiwa kuwa na sifa zipi?

    Habri wakuu. Kwa wenzetu mtu amaweza kuanzisha kitu na akahitaji donation kwa wale walioguswa kuchangia. Kama vile wana CHADEMA walivyochangia kupata pesa ya faini. Au kama tulivyomchangia Tundu Lissu alipopatwa na yale majanga. Au watu wanapoamua kuichangia yanga. Lakini nafikiri michango yote...
  3. Richard

    JamiiForums Tanzania IMF na Benki ya Dunia ni taasisi kubwa ambazo hujidhihirisha na watu wanoteuliwa kuwakilisha nchi katika masuala ya fedha

    Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha. Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani. Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania lazima iwatambue Watanzania wanaopokea fedha kutoka taasisi ya NED ya Marekani kuchagiza harakati za kisiasa

    Taasisi ya NED au National Endowment for Democracy ni taasisi ya kimarekani. Taasisi hii iliundwa kushughulikia harakati za kisiasa duniani baada ya shughuli hizo kuondolewa ndani ya idara ya ujasusi ya CIA. CIA imekuwa ikishughulikia harakati za kisiasa zenye malengo ya kuleta vurugu, au...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Elimu yakanusha taarifa zilizoenea kuhusu sababu za kuahirishwa kwa somo la Historia ya Kiswahili

    Salaam Wakuu, Taasisi ya Elimu Tanzania TET yaibuka na kukanusha habari zilizoenea kuwa waliahirisha somo la historia ya kiswahili kwa sababu vitabu vilivyoandaliwa kwa somo hili vilijikita kusifia watawala. Soma: Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanza kujipenyeza kwenye Taasisi, yapiga hodi CCT

    Naona CHADEMA wamerudia ule utaratibu wao " mkongwe" wa kuchomeka watu wao kwenye Taasisi mbalimbali za kijamii Nadhani sasa hata Vyuo Vikuu siasa itarejea kwa kasi. Hongereni CCT kwa uchaguzi wa Haki na Amani. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  7. F

    JamiiForums Tanzania Taasisi za dini hasa za Kikristo zipo kibiashara zaidi

    Imani ni jambo ambalo hupaswi kuigiza au kuingiza siasa ndani yake. Zaidi ni ukweli wa kiimani unajengwa ndani ya roho kwakuamini bila kuwekwa ushahidi wa dhahiri juu ya Hilo. Ukienda kanisani siku ya Jumapili, utakutana na msululu wa michango kwa mwanajumuiya na harambee ambazo wengine...
  8. mgt software

    JamiiForums Tanzania TEC na Taasisi nyingine mnalialia kuwa mnasaidia elimu bora kumbe ndio mnasujudu umaskini

    Wana JF, Nimeona sehemu wakuu wa vitengo kidini wakijitetea kupunguziwa kodi wakijinasibu kuwa wanasaidia sana kwenye sekta ya elimu, kumbe ndio wanyonyaji wakubwa. Kwa sasa shule za Romani na KKKT ni ghali mno. Kuna shule zilianzishwa kama za kusomesha watoto yatima lakini zimekuwa...
  9. kidereko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taasisi za Dini zinazotoa huduma ya Afya na Elimu baadhi zinatozwa kodi kwa sababu zinafanya biashara

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameeleza kuwa Serikali inazitoza kodi taasisi za dini zinazotoa huduma za afya na elimu kwa sababu baadhi zinafanya biashara na si kutoa huduma. Rais Samia ameeleza hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 wakatia akifungua mkutano mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo: Siyo haki kutengeneza sanamu kama ishara ya kumkumbuka marehemu, ingejengwa taasisi ya huduma za kijamii

    Mbunge wa Musoma vijijini, Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumike kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa. Chanzo: Tanzania Abroad tv
  11. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania TCRA Taasisi ya umma inayowakandamiza wadau wake kwa makusudi

    Kwanza nianze kwa kuliweka wazi, namfahamu jamaa yangu wa karibu aliyewekeza kwenye FM Radio. Ni bora Mama Samia naye kalizungumzia tatizo la FEES a TCRA , tozo ambazo ni za juu mno bila sababu yoyote. FEES za mwaka ni Dola $3,070 (na zaidi ya hapo kwa leseni ya kanda au Taifa) na ukichelewa...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, mtumie Katibu wa Bunge kwa majukumu yanayomhusu

    Mh SPIKA, Bunge ni mhimili wenye idara na vitengo ndani ya ofisi ya Bunge. Mh SPIKA, Katibu wa Bunge anaweza kutolea ufafanuzi wa jambo la utendaji wa ofisi ya Bunge inapohitajika kwa waandishi wa Bunge. Mh SPIKA, Mambo ya malipo halali/si halali wajibu watu wa ofisi ya Bunge/Hazina au Katibu...
  13. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Watu, Taasisi, na Mifumo...

    Mifumo ni watu. Taasisi ni watu. Na vyote hivyo ni kwa ajili ya watu. Hakuna mfumo uliojiumba wenyewe tu na unaojiendesha wenyewe. Hakuna taasisi iliyojitengeneza yenyewe. Hakuna taasisi inayojiendesha yenyewe. Kumekuwepo na manung’uniko mengi sana kuhusu ukosekanaji wa mifumo bora na taasisi...
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania TEC waomba taasisi za kidini kufutiwa madeni yote

    Baraza la Maaskofu wa kanisa katoliki #Tanzania #TEC limeomba Serikali kuziondolea madeni ya nyuma inayozidai Taasisi zote dini nchini ili kuongeza ufanisi katika kutoa huduma za kijamii.
  15. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Majina ya wajumbe waliochaguliwa kuliwakilisha bunge kwenye taasisi mbalimbali

    MAJINA YA WAJUMBE WALIOCHAGULIWA KULIWAKILISHA BUNGE KWENYE TAASISI MBALIMBALI (A). TUME YA UTUMISHI WA BUNGE Wajumbe wanne wanaingia kwa mujibu wa nafasi zao ambao ni Spika (Mwenyekiti wa Tume), Naibu Spika (Makamu Mwenyekiti wa Tume), Waziri anayeshughulikia masuala ya Bunge na Kiongozi wa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu kuwepo Taasisi ya kusimamia NHIF

    NHIF kwa sehemu kubwa imekuwa ni imehodhi utoaji wa Huduma za Bima za Afya kwa Tanzania. Kwa bahati mbaya sana, serikali kwa mkono mwenyewe imekuwa ikiipa kiburi NHIF kwa kufanya kila namna kuua kampuni za bima za afya binafsi. NHIF imepewa ukuu mkubwa hadi wa kutengeneza package (wanaita Price...
  17. N

    JamiiForums Tanzania NSSF ni janga, Rais Samia itazame taasisi hii

    Wasalaam, Nimeachishwa kazi mwezi wa 3. Nimeenda kuangalia statement yangu ya michango inaonesha haijawasilishwa na mwajiri wangu kwa miezi 16. Nimefuatilia kwa mwajiri ananipiga tarehe tuu aliniambia atazipeleka. Sasa najiuliza NSSF kazi yao ni nini kama sio pamoja na kuwakagua waajiri na...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

    Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba leo Juni 10, 2021 katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Hii inakuwa bajeti ya kwanza kwa serikali ya awamu ya Sita na Waziri...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Chanjo ya Corona iliyoruhusiwa ni kwa wafanyakazi wa Balozi na taasisi za nje, kwa Watanzania bado hatujaamua

    Msemaji mkuu wa serikali Mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona. Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi za kigeni tu. Kuhusu chanjo ya Corona kwa wananchi serikali itafanya uamuzi baada ya kupitia kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya kiusalama vijitathmini

    Taasisi hizi zikiwemo Polisi, na Usalama wa Taifa zimekuwa hazifanyi kazi zao kukidhi mahitaji ya KATIBA ya Nchi wala matakwa ya Uanzishwaji wa vyombo hivi bali kufuata utashi wa Raisi aliye Madarakani. Maana yake ni kwamba vyombo hivi havitumikii Taifa bali Mtu. Mfano ni wa huyu aliyekuwa...
Back
Top Bottom