Ili mtu au taasisi iweze kuomba donation kwa Tanzania inatakiwa kuwa na sifa zipi?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
14,945
2,000
Habri wakuu. Kwa wenzetu mtu amaweza kuanzisha kitu na akahitaji donation kwa wale walioguswa kuchangia. Kama vile wana CHADEMA walivyochangia kupata pesa ya faini. Au kama tulivyomchangia Tundu Lissu alipopatwa na yale majanga. Au watu wanapoamua kuichangia yanga.

Lakini nafikiri michango yote hiyo inakuwa haifuati utaratibu wa kisheria.

Naomba kujua ni utaratibu gani wa kufuata ili mtu au taasisi iweze kuomba michango kisheria?
 

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,716
2,000
Unatakiwa uwe na kibali cha kuomba michango kutoka ofisi ya dc wa. eneo unalotaka kuomba mchango
Ila kwa utashi wangu nafahamu mambo ya kuchangia ni mambo ya hiari haya mautaratibu ya vibali naona yamepitwa na wakati
Siku hizi watu wanaomba michango kidigitali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom