Inaonekana Serikali imeumizwa sana na Documentary ya CNN

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,806
Reaction score
63,115
Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea.

Imejaza watu mitandaoni kumshambulia mwandishi wa CNN utadhani aliandaa peke yake, serikali ilidhani CNN ni Channel 10 au ITV na Larry Madowo ni Millard Ayo.

G6eBDlpWAAAuoLt.jpg

Mashirika ya habari ya kimataifa ya BBC, Deutsche Welle na Al Jazeera yalikuwa ya kwanza kutoa habari ya mauaji lkn hatukuona serikali ikipanic kiasi hiki.
 
CNN ina audience kubwa, pia ina ushawishi sana. naona wamejifunza kuwa kwenye Digital world kuzima internet sio kuficha vitu ni sawa na kuongeza nguvu kuwa mlikuwa mnania mbaya…leo mambo yote yapo uchi.
 
Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea.

Mashirika ya habari ya kimataifa ya BBC,Deutsche Welle na Al Jazeera yalikuwa ya kwanza kutoa habari ya mauaji lkn hatukuona serikali ikipanic kiasi hiki.
Wanaendelea kuhakiki taarifa ya CNN, aisee nimecheka sana eti Msigwa nae anataka haki...
 
Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea.

Mashirika ya habari ya kimataifa ya BBC,Deutsche Welle na Al Jazeera yalikuwa ya kwanza kutoa habari ya mauaji lkn hatukuona serikali ikipanic kiasi hiki.
Na bado documentary nyingine iko jikon imekaribia kuiva
 
Si walijifanya majeuri wanapigiwa simu hawapokei, ndio report imetoka eti sio haki waulize kwanza serikali na wkt yalikuwa hayapokei simu lbd walidhani ni mallard ayo hahahaha na bado wapigwa kwenye mshono tu *****
 
Larry alisema Tanzania walitaka kuzuia min documentary yake isitoke

Sasa sijui walitaka kumuhonga kibunda, hatujui

Wameshindwa kuzuia, sasa mambo hadharani worldwide, wameanza kupanick

Walidhani CNN ni kama Wasafi
 
Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea.

Mashirika ya habari ya kimataifa ya BBC,Deutsche Welle na Al Jazeera yalikuwa ya kwanza kutoa habari ya mauaji lkn hatukuona serikali ikipanic kiasi hiki.

Wanalalamika kuwa hawakupewa nafasi ya kujibu. Sasa Msigwa aombe airtime CNN ajibu tusikie.
 
Back
Top Bottom