falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,158
- 9,239
Habari
Uzee na wingi wa majukumu unatufanya tusiwe na muda sana kushiriki mijadala humu.
Well kwanza nianze kusema mimi ni mdau sekta ya usafirishaji.
Thread yangu hii sio kwa lengo la kumsemea mtu au kuingilia mjukumu ya watu.
Kamanda Sirro kilichotokea Jana saa nane usiku ni uvamizi wa magari yaliyokuwa yanatumia njia hii ya kaskazini katika Kijiji cha kimange.
Sitaki kuandika mambo meeengi ila tunaosafiri usiku kipindi hiki cha sikukuu tujitahidi sana kuchukua tahadhali.
Pia naomba jeshi la polis liboreshe doria zagafla gafla katika njia zote zenye historia ya uhalifu pamoja na iguguno shamba na eneo zima la mkoa wa singida bado ni changamoto sana.
Usiku mwema