taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika aliesema ofisi yake haina taarifa ya wanaoitwa wa CHADEMA kuvuliwa Uanachama, kumbe alikuwa muongo?

    Siku chache zilizopita, Naibu Spika, Tulia alisiika akisema Bunge halina taarifa rasimi ya wanaoitwa Wabunge wa CHADEMA kuvuliwa uanachama, akimanisha wao kama Bunge hawajapata barua kutoka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuwavua uanachama. Sasa kauli tata ya Spika ya leo ya kutaka vithibitisho...
  2. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

    Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa...
  3. JamiiForums Tanzania Umegundua nini kuhusu taarifa za habari na vipindi vya TBC?

    Habari wadau..! Hii inaitwa kutesa kwa zamu,upepo sasa umechange mambo yote bomba. Kiufupi TBC walikuwa hawaripoti sana habari za Zanzibar lakini kwa sasa mambo fifty fifty habari za Zanzibar zinapewa nazo airtime tofauti na zamani, zamani Chato ndio ilikuwa haikauki masikioni .
  4. JamiiForums Tanzania Taarifa huishwa kuhusu kimbunga Jobo

  5. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa: IGP Simon Nyakoro Sirro Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Nyakoro Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini David Concar. Wawili hao walikutana ofisini kwa IGP Sirro na walibadilishana uzoefu kwenye masuala mbalimbali ya kiusalama
  6. JamiiForums Tanzania Watu wa Mitandaoni walioambiwa wajitokeze kutoa taarifa za kuisaidia Serikali, wakishajitokeza waripoti kwa nani?

    Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote wanaotokea Mitandaoni kama wanao ushahidi wa taarifa zao hizo ili waisaidie serikali. Hili kwangu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu taarifa binafsi unazotoa zinatunzwa wapi?

    Iwapo Sheria ya Ulinzi wa Data itakuwepo Tanzania, Watanzania watafahamu taarifa binafsi kama jina, namba ya simu au mahali anapoishi anazozitoa anapoingia kwenye ofisi fulani, zinakuwa kwenye mikono ya nani na zinatunzwa vipi Hii itasaidia kutoa muongozo kwa mtu kujua anatakiwa kwenda kwa nani...
  8. JamiiForums Tanzania Taarifa juu ya Miradi ya Mendeleo iliyotekekezwa awamu ya tano ilijaa upotoshaji mkubwa kwa Wananchi

    Wananchi wengi walikuwa hawaambiwi ukweli na uhalisia wa miradi iliyotekelezwa awamu ya tano. Kiasi cha Wananchi kuwa taarifa zisizo sahihi juu ya miradi hiyo huku wengi wakidhania ilikuwa imekamilika kwa 100%. Mfano ni kweli vituo vya afya 460+ na Hospitali za Wilaya zaidi ya 65 zilijengwa...
  9. JamiiForums Tanzania Stanlaus Nyongo, ameipongeza Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknoloji , kwa usimamizi na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kwa Ufanisi

    TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na maendeleo Ya Jamii, Mh. Stanlaus Nyongo, ameipongeza Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknoloji , kwa usimamizi na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kwa Ufanisi. Akizungumza katika kikao cha pamoja, kati ya uongozi wa Wizara...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya mtaani kwako hutoa taarifa za mapato na matumizi ya fedha?

    Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha mwaka wa fedha kinapoisha. Ni wajibu wa kila mwananchi kufuatilia taarifa hizo ili kulinda maendeleo...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi kufanyika Aprili 30, 2021

    Tafadhali soma maelezo hapo chini
  12. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma. Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ulinzi wa taarifa binafsi (Personal Data Protection)

    Ulinzi wa taarifa ni mchakato wa kulinda taarifa muhimu dhidi ya kuibwa, kutumiwa vibaya, kuharibika au kupotea. Taarifa hizi ni zile ambazo mtu anajaza, anaandikisha au zinakusanywa kutoka kwake kupitia nyenzo za kidigitali au nje ya mtandao Ingawa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna taarifa za wasanii wetu wa muziki na wanasoka kwenye mitandao?

    Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwanini wasanii wetu maarufu hapa Tanzania huwezi kupata taarifa zao kwenye mitandao kama Wikipedia ili angalau ujue historia zao. Ni ajabu kwamba hata wanamuziki wetu wakongwe huwezi kupata taarifa zao zote hasa kwenye mtandao maarufu wa Wikipedia. Mitandao...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi

    Taarifa kamili ya mazungumzo ya Viongozi hao imeambatanishwa hapo chini
  16. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Bondia Dula Mbabe na Twaha Kiduku Kuzipiga Juni 29, 2021

    Taarifa kwa Umma: Bondia Dula Mbabe na Twaha Kiduku Kuzipiga Juni 26, 2021. Hii ni taarifa rasmi ya mpambano huo wa kukata na shoka nchini baina ya mabondia hao ili kukata mzizi wa fitina. Bondia Dulla Mbabe bado hajakubali.kipigo cha awali katika pambano liliopita.
  17. JamiiForums Tanzania Hatimaye Watanzania waanza tena kufuatilia taarifa za habari za TV Majumbani mwao

    Hili ni jambo lililonishangaza sana! Raia wa Tanzania ambao waliachana na masuala ya kuangalia Taarifa za Habari za local TV zote na kuamua kuangalia tamthilia mbalimbali ikiwemo ile ya Sultan, sasa hivi angalau wametenga muda wa kuangalia na kufuatilia Taarifa za habari za TV za ndani...
  18. JamiiForums Tanzania CAG isiwe na kazi ya kutuletea taarifa ya majizi na pesa waloziiba serikalini ni bora watafute mbinu ya kuzuia wizi, hili pendekezo

    Ndugu wana jamii Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu ya watendaji. Ikiwa kazi ya CAG ni kutowa ripoti kila mwaka juu ya wizi ulifanyika kila mwaka jana...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wabunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu. Spika amesema kwa mfano Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL imepata hasara ya bilioni 60 na kuuliza; je ni sahihi kuendelea kununua ndege...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo si Rais kama mtu, bali tatizo ni "vetting system" kuwa corrupted & compromised

    Kila mtu makini naamini hushangaa na kutatizwa sana pale ambapo mamlaka ya uteuzi ya viongozi iwe Rais ama Waziri ama yeyote ili mradi ni mamlaka ya uteuzi inapofanya uteuzi muda huu, kisha in less than 24hrs inatengua uteuzi huo huo... Hili lilijitokeza mara kadhaa ktk utawala wa Rais Hayati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…