Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima.
Andiko hili litalenga zaidi kuzuia UPOTOSHWAJI WA TAARIFA MITANDAONI na UDUKUZI katika Nchi yetu ya Tanzania.
Nitazungumzia mambo yafuatayo:
Nini chanzo cha upotoshwaji wa taarifa...
Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi
Usipange kukosa kufuatilia
Mtaarifu mwenzako
Nilibahatika kuitwa kwenye usaili wa kazi, kielimu nimehitimu mafunzo ya Udaktari mwaka 2018, na endapo ningefaulu usaili ule basi ningekuwa mkuu wa kitengo cha afya kwenye taasisi hiyo. Nilifanya maandalizi ya kutosha. Katika maswali niliyoulizwa nijieleze lilikuwa, “how well are you connected...
Kumekuwa na kasi ya usambaaji wa taarifa na propaganda nyingi kuhusu ugonjwa wa Corona, chanjo na virusi vipya vinapoibuka ulimwenguni. Propaganda hizo zimeibua nadharia nyingi na taharuki miongoni mwa jamii.
Shirika la Afya ulimwenguni limefanya jitihada mbalimbali katika kudhibiti ueneaji wa...
Unaweza fuatilia mahubiri haya kupitia Hope Channel au Mitandao ya Kujamii ya Facebook au Instagram
Karibuni Wapendwa Wana JF Mpate neno la uzima
Mungu kwanza mengine baadaye
Tunapokea taarifa nyingi maishani mwetu:
masomo shuleni
stori kijiweni
habari magazetini
mahubiri ibadani
nk.
Hizo zote ndizo software zinazoendesha hardware - ambayo ni mimi na wewe.
Tunachosikia, kitaamua tutakachotenda.
Kama taarifa ni ya kweli; ni sahihi - tutatenda kwa namna...
Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) linasema ni vyema watu wazima wakawa na taarifa sahihi kabla ya kuzungumza kuhusu chanjo ya COVID-19 na watoto
Inashauriwa pia kusikiliza maoni na mitazamo yao na kuzingatia hofu zao
Ni vema wakaona wapo huru kueleza mitazamo yao kwa watu wazima...
Kwenye usafiri wowote kunaweza kutokea hatari au dharura yeyote..Nakumbuka nikiwa Kwenye safari fulani ya gari moshi ilitokea sintofahamu ndani ya mabehewa abiria wakawa wanataka kwenda kutoka nje huku treni iko kwenye mwendokasi lakini bahati nzuri treni ikasimama katikati ya pori na hiyo...
Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi.
Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni.
Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
Ipi imekaa ki weledi zaidi?
Mie naona 'Taarifa kwa Umma' kwa sababu unatumikia umma na unaitaarifu umma, lkn kusema Taarifa kwa Vyombo vya habari naona ni makosa makubwa sana beyond repair (ni kukosekana weledi katika kufahamu who is your boss and who should you report to).
Vipi mtazamo wako...
Wadukuzi wanaojiita Sangkancil wamedai kudukua taarifa binafsi za zaidi ya watu milioni 7 nchini Israel.
Wadukuzi hao wamesema wamedukua taarifa hizo kutoka kwenye tovuti ya CITY4U ambayo hutumiwa na mamlaka za Israel kushughulikia malipo mbalimbali kama bili za kawaida, faini, kodi nk...
Wakati Ujerumani ikijiandaa na Uchaguzi wa Bunge unaotarajiwa kufanyika Septemba 26, ripoti mpya ya Taasisi isiyo ya Kiserikali nchini humo ya Avaaz imeonesha kuongezeka kwa matukio ya upotoshaji wa taarifa.
Ripoti ya Taasisi hiyo imemtaja mgombea wa Chama cha Green, Annalena Baerbock kuwa...
Taarifa binafsi ni taarifa zozote zinazohusiana na Mtu na ambazo zinaweza kumtambulisha Mmiliki wa taarifa hizo. Hizi ni taarifa ambazo Mtu anapaswa kuwa makini katika Matumizi yake ili kuepuka uwezekano wa kutumika vibaya
Taarifa hizi huusisha Majina, Anwani ya Nyumbani (location), Barua pepe...
Askofu Gwajima yuko mubashara Rudisha Online tv anatoa ufsfanuzi na kujibu yale yaliyosemwa na kamati e maadili ya bunge.
Updates;
Niliitwa na kamati ya maadili ya bunge na kunihoji yale niliyohubiri Kanisani nami nikawaambia wao hawana mandate ya kuhoji kile kilichotokea Kanisani ambapo...
📍 Taarifa📍
Katibu Mkuu wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @wizaraMTH Dkt. Zainab Chaula anawakaribisha kwenye uzinduzi wa vituo vya HUDUMA PAMOJA(ONE STOP CENTER) Utakaofanyika jijini Dar es salaam tarehe 06/09/2021 saa 5:30 Asubuhi kwenye viwanja vya @posta_tz
Naangalia Azam News hapa(UTV live) ambapo taarifa ya habari ndio inaendelea. Katika taarifa yao, wameripoti kesi ya Mbowe inayoondelea Mahakama Kuu ila katika picha za Mahakamani, sijaona uwepo wa Wawakilishi wa Mabalozi waliohudhuria hiyo kesi.
Je, uwepo wao si muhimu, ni bahati mbaya tu au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.