taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kifo cha Sheikh Abdallah Rashid Sembe May 1999

    TAARIFA YA KIFO CHA SHEIKH ABDALLAH RASHID SEMBE MAY 1999 Nimeweka hapa historia ya dua iliyofanywa Mnyanjani mwaka wa 1958 ka ajili ya kutaka msaada wa Allah katika tatizo kubwa lilikokuwa linaikabili TANU katika Uchaguzi wa Kura Tatu. Kisa chote kile cha dua hii ya Mnyanjani kuanzia Mwalimu...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Polisi inapodanganya kuhusu sababu za kifo cha mahabusu

  3. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Jumanne Sagini: Serikali haihusiki na matukio ya moto

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amesema kuwa serikali haihusiki na matukio ya moto yaliyotokea katika baadhi ya mikoa nchini na itawachukulia hatua watakaobainika kuhusika na matukio hayo. Chanzo: itvtz Endeleeni kudhani wote tu hatuna Akili. Nitakuwa wa mwisho...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe, wauzaji wengi wa pembejeo za kilimo hawana utaalamu wa kilimo na mifugo

    Mh Bashe , wewe ni miongoni mwa mawaziri mnaochapakazi na zinaonekana, hongera sana. Ombi langu kwako nalielekeza kwenye maduka ya pembejeo za kilimo na mifugo...kwakweli kumejaa makanjanja wengi sana. Wauzaji wao wengi hawana utaalamu wa kilimo au mifugo. Na wale walio na wataalamu basi ni...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unapomtaarifu mwanamke kuwa mume wake ana mahusiano pembeni unamuharibu kisaikolojia

    Kuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari, shopping ya nguo za kazini akifanyiwa. Kwakua alikua mzuri alipendeza sana. Sasa kuna mazee mafisi...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Data: Sheria zinalenga kuwapa watu binafsi uwezo wa kujua jinsi Taarifa zao zinavyotumiwa

    Faragha ya Data/Taarifa limekuwa suala muhimu siku zote, lakini kadri Taarifa zetu zinavyozidi kuwekwa kidigitali na kutolewa zaidi Mitandaoni, umuhimu wake umezidi kuongezeka Kampuni moja inaweza kuwa na Mamilioni ya taarifa za wateja ambazo inapaswa kuzilinda. Sheria za Kulinda Taarifa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Luteni Urio alitoa taarifa ya tukio au baada ya kushtukiwa mpango wake akawageuka?

    Kuna kila dalili Luteni Urio alikuwa na mpango wa kula hela za Mbowe kupitia wale vijana na wakati huo huo alikuwa na matarajio kuwa CHADEMA ingeshinda angepata ukubwa Jeshini. Hilo lina asilimia kubwa ya ukweli. Luteni Urio baada ya kuona mambo yamebadilika aliamua kugeuka ingawa inavyosemwa...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa taarifa ya askari aliyejinyonga Mtwara

    Aliyeandaa ile taarifa kama hakukurupuka basi ana agenda ya siri ama hakuwa timamu kiakili, tangu kuiandaa mpaka kuisoma na pengine sasa anajutia makosa ya wazi yanayoacha shaka kubwa! Jamii, wazazi na ndugu wa marehemu wana hamu ya kujua ni nini hasa kilimaliza uhai wake! Baadhi wanatuhumu...
  9. Sajo

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Ndugai: Bunge ladaiwa kufuta taarifa kwa umma ilizochapisha katika tovuti yake na ukurasa wake wa Twitter

    Kufuatia kuibuliwa mahakamani kwa barua ambayo inadaiwa iliandikwa na Job Ndugai aliyekuwa spika wa bunge kwenda kwa Katibu wa Bunge ikimtaarifu kuwa anajiuzulu uspika kuanzia tarehe 06.01.2022, bunge la JMT limefuta taarifa kwa umma iliyozitoa tarehe 07.01.2022 kukiri kupokea nakala ya Barua ya...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

    Akiongea na Azam News, Baba mzazi wa askari aliyejinyonga anasema hajaridhishwa na taarifa za kifo cha mwanae! Anasema alipigiwa simu na kuambiwa mwanao tumpeleke akazikwe wapi? Akawaambia mleteni nyumbani kwangu Tabata, Dar Ea Salaam. Pia soma Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Data: Wakusanya taarifa wengi hawana namna nzuri ya kuzitunza

    Wakati mwingine Taarifa hukusanywa kwa nia njema, lakini Changamoto ni kwamba wengi hawana namna ya kuzitunza Kwa mfano, mara nyingi unatakiwa kusaini kabla ya kuingia Ofisi mbalimbali. Je, taarifa zako zinahifadhiwa wapi? Kuwepo Sheria ya Ulinzi Wa Data kutasaidia kufahamu taarifa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Rais Samia Kufanya Mahojiano na TBC Januari 27, 2022

    Salaam Wazalendo Wote Tafadhali soma Taarifa yote Kama ilivyoambatanishwa hapo chini
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CHADEMA hulipana posho za mamilioni kila wanapohudhuria kesi ya Mbowe?

    CHADEMA sasa ni kama haina uongozi, imekatwa kichwa, Mwenyekiti Yuko gerezani, Makamu anakula kuku ubeleji. Kuna taarifa kwamba viongozi hulipana posho za mamilioni Kila siku wanapohudhuria kesi ya Mbowe, kama taarifa hizi ni za kweli, basi Kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea. Nashauri...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI. - Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan. - RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa taarifa potofu kuhusu COVID-19 na Chanjo zake

    Kadiri janga la Virusi vya Corona (COVID-19) linavyoendelea, ndivyo pia wingi wa habari zinazohusiana na kusababisha kile kinachoitwa "infodemic'’ unavyoongezeka. Taarifa potofu na za uongo kuhusu COVID-19 zinasambazwa kwa haraka sana mtandaoni na zinaweza kuathiri watu wengi. Hakuna chanzo...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa Kufanya Ziara Zanzibar kuanzia 24-27 Januari 2022

    Wazalendo Wote Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Taarifa imeambatanishwa Chama kipo kazini Kazi Iendelee
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Taarifa binafsi huweza kuleta madhara zikiwa mtandaoni pasipo kulindwa

    Taarifa binafsi kama Jina lako, Namba ya Simu, Anwani na zile za malipo ya kifedha huweza kuleta madhara zikiwa mtandaoni pasipo kulindwa, kwani ni rahisi kudukuliwa Kuwa makini unapofungua tovuti au 'Links' ambazo kwenye "https" hakuna 'S' yaani inasomeka "http" pekee. Weka nywila (Password)...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Epuka kujitibu mwenyewe kwa taarifa za mtandaoni. Muone mtaalam wa afya kila unapopata dalili mbaya za kiafya

    (Picha: The Sheriff) Umewahi kupata dalili ya afya ambayo haijawahi kutokea hapo awali na ukaanza kujiuliza ni nini kinachoweza kuwa tatizo? Of course, huenda jibu lako ni kama langu pia, "Kabisa!" Sasa basi, inapotokea hivi hatua ya kwanza inayopaswa kufanyika ni kuwasiliana na mtoa huduma wa...
  19. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Zimamoto: Taarifa za Soko la Karume kuwaka moto hatukuzipata mapema

    Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Ilala Elisa Mugisha, amesema kwamba taarifa za kuungua kwa soko la Karume walichelewa kuzipata kwani wangezipata mapema wangeweza kuokoa athari iliyojitokeza. Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 18, 2022, wakati akizungumza kwenye kipindi cha...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Hali ya umeme hapo ulipo ipoje? Tupeane taarifa

    Kiukwel awamu hii hatutaacha kuiona rangi juu yankukatika kwa umeme Pia mods tunaomba thread hii isiunganishwe na uzi wa tanesco Kwan hakuna msaada tuupatao kwa kadhia hii yakukatika kwa umeme Naanza mm muda huu mbezi beach umeme umekatika yaan unakuja baada ya muda fulan unarud Asubuh...
Back
Top Bottom