taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna taarifa gani kuhusu JKT kwa kujitolea?

    Nimepata fununu kua mwaka huu JKT raia walioomba ni wengi wanaangaika kuwapunguza. Ndugu zangu, nyinyi mna taarifa gani?
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni 3 zapigwa faini ya Tsh. Milioni 158.8 kwa kutumia vibaya Taarifa Binafsi za Wananchi

    Kampuni hizo ni pamoja na Mulla Pride Ltd, iliyopigwa faini ya Tsh. 50,404,970. Taasisi hii inamiliki 'App' za kutoa huduma za Mikopo za FairCash na KeCredit, imebainika kutumia Taarifa Binafsi za Wateja ili kudai Madeni . Pia, kuna Klabu ya Starehe ya Casa Vera Lounge ambayo imekutwa na Kosa...
  3. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Kiintelijensia: Magonjwa 10 yatakayosababisha kifo cha TTCL

    1. Hapo zamani mtaji wa TTCL uliporwa na kina Mwandosya na kupelekwa kampuni mpya ya Airtel, ambayo sasa ni kubwa kuliko TTCL, na mshindani wa TTCL. 2. Kuna wakati, kila mwaka serikali ilikuwa inaleta bilioni 1.8+ kwa ajili ya network operations and maintenance, kazi inayosimamiwa na Head of...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni makosa Serikali kumdhalilisha mtoto mitandaoni kwa kumwita muongo bila hata kumsikiliza

    Kuna taarifa za mtoto kudanganya au kuibiwa matokeo ya kidato cha nne zinasambaa mitandaoni Serikali imejibu malalamiko kwa press tatu hadi sasa lakini kati ya wote walioripoti hakuna mtumishi wa umma au wizara iliyokiri kuhojiana na mwanafunzi anayelalamika. Means wizara zetu m halmashauri...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yatolea ufafanuzi taarifa ya nafasi ya masomo ya kidato cha 5 ya mwanafunzi Sifika Ruben kupewa mtu mwingine

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi Wilayani Same, Kilimanjaro kupangwa Shule ya Sekondary Namwai kwa masomo...
  6. JamiiForums Tanzania Uwazi ni kanuni ya msingi kwa Waandishi wa Habari wakitarajiwa kutoa Taarifa kwa Umma ili Wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi

    Waandishi wa habari mara nyingi huandika matukio ya kisiasa na matendo ya wanasiasa, na wanasiasa hutegemea utangazaji wa vyombo vya habari kuwasiliana na umma. Hata hivyo, kudumisha tofauti ya wazi ya majukumu ya waandishi wa habari ni muhimu kwa utendaji wa demokrasia yenye afya, ambapo...
  7. JamiiForums Tanzania Wadukuzi wa Ukraine wadukua mfumo wa Urusi na kupata taarifa zote za safari za ndege

    Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote... Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained...
  8. JamiiForums Tanzania Taarifa mpya ya NHIF kuhusu Toto Afya Kadi

    Ujue ukweli kuhusu Toto Afya Kadi.
  9. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Jimbo la Musoma Vijijini

    (1) BARABARA 1a. Musoma-Makojo-Busekera TANROADS wako kwenye utaratibu wa manunuzi kwa ajili ya uwekaji lami kwenye barabara hili ambalo Serikali imeamua kulijenga kwa awali mbili. Nimewasisitizia (Mbunge wa Jimbo) kwamba ujenzi unaotafutiwa Mkandarasi uwe wa kuendeleza ujenzi wa Lot 2...
  10. JamiiForums Tanzania Kuwashwa Kwa kiganja cha mkono na kucheza Kwa jicho kunakupa taarifa itakayotokea

    KUWASHWA KWA KIGANJA CHA MKONO NA KUCHEZA KWA JICHO KUNAKUPA TAARIFA ITAKAYOTOKEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nafsi yako inañamna mbalimbali za kuwasiliana na wewe(mwili wa nje) Kwa namna mbalimbali. Namna maarufu ni pamoja na ndoto za Usiku ukiwa umelala. Hutumia ndoto kuwasiliana na...
  11. JamiiForums Tanzania Taarifa fupi ya utekelezaji wa mapendekezo ya kikosi kazi kilichoshughulikia masuala ya demokrasia ya vyama vingi nchini

    Nimeambatanisha Ripoti ya mapendekezo ya Kamati. Lakini nitayaorodhesha mapendekeo hayo hapa:- Kuhusu Mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani ya Vyama vya Siasa Kuhusu demokrasia ndani ya vyama vya siasa Kuhusu ruzuku kwa vyama vya siasa inayotolewa na Serikali. Kuhusu uhuru wa Tume ya Taifa...
  12. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum kwa Jamii Kuzingatia Sheria ya Mtoto kudhibiti Mmomonyoko wa Maadili

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, leo Septemba 12, 2023 amezungumzia wajibu wa familia na jamii kwenye kudhibiti mmomonyoko wa maadili dhidi ya watoto kupitia Sheria ya Moto, Sura ya 13 mahsusi kifungu cha 158 cha Katazo la Jumla. Dkt...
  13. JamiiForums Tanzania Gari T887 CKW imeibwa, atakayeiona atoe taarifa kituo cha polisi

    Kwa masikitiko napenda kutoa taarifa kuwa gari inayoonekana pichani imeibwa. Aina ya gari: Nissan Gloria No za usajili T887 CKW Rangi: Nyeusi, iliibwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam. Yeyote atakayeiona atoe taarifa kwa jeshi la polisi. Ahsante kwa ushirikiano. Wako Mmiliki, Bemendazole
  14. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Hai

    Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Mafuwe tarehe 05 Septemba, 2023 katika Mkutano Mkuu wa Jimbo la Hai Aliwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Makamu Mwenyekiti wa (CCM) Bara Ndugu Abdulrahman Kinana Mkutano Mkuu Maalum wa Jimbo la Hai ulilenga sana...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Bunge laambiwa kuna Wananchi wamepata shida za Kiafya baada ya kuchukuliwa Taarifa Binafsi na Worldcoin

    Ni taarifa kutoka kwa Mbunge wa Kisumu Mashariki, Shakeel Shabbir ambaye amelieleza Bunge kuwa amepokea Malalamiko ya Wananchi 5 waliodai kupata shida za Kiafya ikiwemo maumivu ya Macho. Akijibu hoja hiyo, Waziri wa Afya, Susan Nakhumicha amekiri Kifaa hicho hakikufanyiwa majaribio ya uchunguzi...
  16. JamiiForums Tanzania Unaweza kupata Tsh. bilioni 12.5 ukitoa taarifa za waliolipua Ubalozi wa Marekani mwaka 1998

    Miaka 25 baadaye, tunakumbuka milipuko ya kutisha ya mabomu katika balozi za Marekani nchini Kenya na Tanzania. Tunaheshimu na kuwakumbuka watu 213 waliopoteza maisha Agosti 7, 1998, na tunaapa kuwafikisha wahusika mbele ya sheria. Tufahamishe habari yako; unaweza kustahiki tuzo. Ooh...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Mfanano wa taarifa za habari za ITV na UTV (Azam). Je, kuna kuvujishiana habari ili kuimarisha Ushindani?

    Ukiondoa TBC, taarifa za habari za saa mbili usiku za ITV na UTV zinafanana karibia kila kitu. Habari zinazotangazwa ni zilezile. Kuna habari sio mbaya kufafanana kama vile habari iliyotoka kwa Rais, Mawaziri nk. Sasa shida ni kufanana hadi habari ndogondogo. Katika zama hizi za upatikanaji...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Taarifa ndani ya week hii na ijayo je itashangiliwa au itanuniwa?

    Kakaa Kimya si kwamba hana cha kusema Ila ameupima upepo Naona kuna memo nyingi anapitia moja moja, Nyingine anakuwa kaweka upande wa zilizosomwa na kuirejea wakati hajamalizana na zilizopo Safu ya ushindi inapangwa wale wale wanarejea kukipa chama nguvu Pili wale wasaidizi mshahara...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge laishutumu Ofisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kushindwa kuwalinda

    Bunge la Kenya limembana Kamishna wa Ofisi hiyo, Immaculate Kassait na kumweleza kuwa amewaangusha Wananchi kwa kushindwa kuchunguza na kuhakikisha Taarifa Zao Binafsi zinalindwa dhidi ya kampuni ya Worldcoin. Hatua hiyo inafuatia Kamishna kuieleza Kamati ya Bunge ya Habari na Mawasiliano kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania TRA: Hatuhusiki kwa namna yoyote ufungaji wa 'The Cask Bar' jijini Mwanza

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuujulisha Umma kuwa, haijahusika kwa namna yoyote na ufungaji wa Bar ya THE CASK iliyopo Jijini Mwanza. Tunaomba wahusika na Umma wawasiliane na Mamlaka husika juu ya jambo hilo. - Pia soma Mwanza: Baa ya The Cask yafungwa kwa tuhuma za ukwepaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…