TAARIFA YA MAKUBALIANO
Kati ya
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS)
Na
Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju
Tarehe: 11 Agosti 2025
Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
Rostam kwa rangi yake TU hawezi kuwa mzalendo wa nchi hii kamwe na nitakuwa wa MWISHO kumuita mzalendo muhindi yule.
Polepole leo amecheza clip ULITONESHA kundi la wahuni walivyopanga kulitafuna taifa ili huku wakimplekea Jakaya taarifa ya kumtaka agombee urais wa nchi.
Mtandao huu...
Wataalamu wa Shirika la Ujasusi la Kijeshi la Ukraine (HUR) wamefanikiwa kuvunja ulinzi wa Jeshi la Majini la Urusi na kupata nyaraka za ndani zinazohusu manowari mpya ya daraja la Project 955A Borei, Knyaz Pozharsky, iliyowekwa rasmi kwenye huduma chini ya wiki mbili zilizopita.
Kwa mujibu wa...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetangaza marufuku kwa Watoa Huduma Binafsi kujihusisha na utoaji wa taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu utekelezaji wa michakato mbalimbali ya Mradi wa BRT ikiwemo suala la mikataba na mipango.
Taarifa kwa Vyombo vya Habari, Agosti 4...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kupanga kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na upangiwa kituo ni kama...
Vipi kuna mtandao ambao tayari serikali ya samia imeshafunga mpaka sasa hebu tupeni taarifa kufichua madudu.
Suala la kufungia mitandao kwasababu watu wasiongee, linaminya uhuru wa kujielezea na haki za binadamu ungekuwa wewe ungejisikiaje ?
Ili kuimarisha utendaji kazi katika sekta ya umma, Serikali imedhamiria kuanzisha mfumo wa upimaji kwa kutumia mitihani ya lazima kwa maofisa walioteuliwa au kupandishwa vyeo vya uongozi.
Hatua hiyo mpya ni sehemu ya kuhakikisha watu wenye uwezo na uelewa thabiti wa shughuli za utumishi wa umma...
■ Faida baada ya kodi (Q2 2025): TZS 346 Bilioni, ikilinganishwa na TZS 275 Bilioni kwa Q2 2024.
📈 Imeongezeka kwa 26% – hii inaonyesha ukuaji mzuri wa faida ya kampuni.
■ Interest Income (Mapato yanayotakana na riba za mikopo) Yameongezeka hadi TZS 904 Bilioni kwa nusu ya mwaka (Jan-Jun 2025)...
Kwanini tunalinda Taarifa Binafsi?
Innocent Mungy, Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano - Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) amefafanua kwa kina kuhusu Swali hili wakati wa Mafunzo ya siku moja ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa Habari wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na...
Wasaalam wapendwa viongozi wa wafanyabiashara ndogondogo makundi yote.
Narejea vikao vyetu na viongozi wenu kuhusu ajenda zinazohusu maendeleo ya biashara zenu kuwa: leo Tarehe 22 Julai, 2025 saa 8 mchana kutakuwa na mkutano wa kidigitali (zoom) nchi nzima mikoa yote yaani kati ya Wizara ya...
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kimoja hapa Dar es Salaam, ninasomea Stashahada Mwaka wa Pili..... nilikuwa na changamoto au kero kuhusiana na usajili wa Vyuoni na NACTEVET ambapo hata mimi nimekutwa na hiyo changamoto na mpaka sasa haijafanyiwa kazi.
Vyuoni humu wanatabia ya kutusajili Wanafunzi wa...
Anonymous
Thread
ajira
ajira serikalini
diploma
mfumo
mifumo
nacte
serikalini
system
taarifa
vyuo
wanaosoma
Kwa wale wanaofanya publications za tafiti mbalimbali watanielewa nikisema "journals."
Nimeamua kuja ili tusaidiane tuepuke gharama na usumbufu unaoweza kuepukika kutokana na journals ambazo;
1. Wanataka malipo kwa kusaini fomu kibao.
2. Ukishalipa hawataki tena mazoea wala kukujibu kwa wakati...
Imekuwa ikitokea habari za Upinzani Tanzania au habari ambayo watu fulani hawaipenda basi ile TV online na Insta page haziwekwi isipokuwa kwa jf pekee.
Je, wadau, tu unfollow zile page ili tuwe na source moja ya jf.
Tutajieni majina ya kuachana nao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.