taarifa binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi ahoji kuhusu Usalama wa Taarifa zilizokusanywa na Sarafu Mtandao ya 'Worldcoin'

    Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) na Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Data (ODPC) wameelezea kutoridhishwa kwao kuhusu mradi wa Sarafu Mtandao "Crypto" unaoenezwa na mtandao wa Worldcoin. Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa leo Agosti 2, 2023 na Taasisi mbili za Umma, zimeangazia wasiwasi wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Unajua nini kinaweza kutokea ikiwa mtu ana alama yako ya dole gumba au utambulisho wa mboni ya jicho lako?

    Alama ya dole gumba au utambulisho wa mboni yako ni utambuzi wa kibaiolojia ambao hutumika kama njia ya kumtambua mtu na kuruhusu kufikia au kufungua vitu fulani. Ikiwa mtu au kampuni yenye nia mbaya inapata nafasi ya kufikia alama zako za utambulisho, taarifa zako binafasi kama miamala ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Bila kuwa na Sheria nzuri kwenye Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha tusahau uwekezaji wa maana nchini

    Kadiri teknolojia inavyoendelea kusonga mbele na dunia inavyozidi kukua kidigitali, umuhimu wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha unazidi kuongezeka. Hili ni jambo muhimu sana, hasa katika biashara, hususani katika upande wa miundombinu. Kushindwa kuhakikisha Ulinzi wa Taarifa Binafsi na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania FARAGHA: Waziri amwagiza Mganga Mkuu wa Serikali kufuatilia suala la Taarifa Binafsi za Mgonjwa kuanikwa Mtandaoni

    Kufuatia tukio la mwanaume mmoja anaesemekana kuwa na mataizo ya akili kukata uume wake, ambapo toka tukio hilo limetokea mpaka baada ya matibabu waandishi wametoa taarifa zote juu ya hali yake, ikiwemo jina, umri, jinsia, makazi na ugonjwa wenyewe. Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Maneno 'Usalama wa Taifa' kutumiwa kwenye Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi bila kupewa tafsiri yanaweza kutumiwa vibaya kwa uonevu

    Kwa mujibu wa Kanuni za Usalama wa Taifa, Uhuru wa Kujieleza na Upatikanaji wa taarifa za Johannesburg 1996; zuio kwa misingi ya 'Usalama wa Taifa' haliwezi kukubalika endapo lengo halisi ni kulinda maslahi yasiyohusiana na Usalama wa taarifa. Zuio kwa misingi ya kulinda Usalama wa Taifa...
  6. OLS

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Idara ya Haki na Katiba yapigwa faini kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi

    Mamlaka ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Afrika kusini (Information Regulator) imeipiga faina ya Randi millioni Tano (Tsh milioni 108) Idara ya Haki na Maendeleo ya Katiba “Department of Justice and Constitutional Development” DoJ&CD. Kabla ya kupigwa faini DoJ&CD ilipewa notisi ya siku 30...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Microsoft na OpenAI zafunguliwa kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 7.24 kwa kuiba Taarifa Binafsi za Watu Mtandaoni

    Kampuni ya OpenAI inayoendesha mfumo wa Akili Bandia (AI) wa 'ChatGPT', inadaiwa kuchukua 'Bila Ridhaa na Kutumia Vibaya' Taarifa Binafsi za Watumiaji Mtandao kwa lengo la kutoa mafunzo katika mfumo wake wa AI. Katika hati ya Mashtaka yenye kurasa 160, OpenAI na Microsoft zimeshtakiwa kwa...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania META yapigwa faini ya Tsh. Trilioni 3 kwa kuhamisha Taarifa Binafsi za Watumiaji Facebook

    Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU) inayosimamia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutoka Nchini Ireland (DPC) imechukua uamuzi huo baada ya META kukiuka agizo la kutohamisha #Data za watumiaji wa #Facebook kwenda Marekani. DPC ilitoa miezi 5 kwa #META kusitisha uhamishaji wa Taarifa Binafsi za Watumiaji...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Kampuni ya Mikopo yapigwa faini kwa kuaibisha na kunyanyasa wateja kupitia taarifa zao binafsi

    Kampuni ya kutoa Mikopo kwa Njia ya Mtandao ya #WhitePathLTD, imepigwa faini ya Ksh. 495,614 sawa Tsh. Milioni 8.6 kwa madai ya kuingilia na kutumia taarifa binafsi za wateja kufuatilia wadeni wake. Ofisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ilisema ilipokea takriban malalamiko 150 dhidi ya kampuni...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Ina Maana Gani Kwako Kama Mwananchi?

    Hatimaye Tanzania imepata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, sheria ambayo imekuwa ikipigiwa chapuo na wanaharakati wengi wa masuala ya haki za binadamu waliokuwa wanataka sheria hiyo iwepo ili taarifa binafsi za watu ziweze kuwa salama. Mnamo Januari 31, 2023, Spika wa Bunge Tulia Ackson...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Miongozo bora ya ukusanyaji na matumizi ya Taarifa binafsi za watu

    Mbinu za Taarifa za Haki ni seti ya miongozo ya ukusanyaji na matumizi ya data. Miongozo hii ilipendekezwa kwa mara ya kwanza na kamati ya ushauri kwa Idara ya Afya, Elimu, na Ustawi wa Marekani mwaka wa 1973. Baadaye ilipitishwa na Shirika la Kimataifa la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi ni Haki ya Msingi ya Binadamu

    Siku ya Ulinzi wa Faragha ya Taarifa Binafsi (Data Privacy Day) inaadhimishwa kila Januari 28 Haki ya Faragha inawezesha Raia kufurahia Haki nyingine kama: - Uhuru wa Mawazo - Uhuru wa Kujieleza - Uhuru wa Kukusanyika Ni Msingi wa Jamii ya Kidemokrasia Katika Nchi nyingi, Faragha...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WhatsApp yapigwa faini ya Tsh. Bilioni 13.9 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Tume ya Kulinda Data ya Ireland (DPC) imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini Ukiukaji wa Majukumu yake na Kutoweka Wazi Matumizi ya Taarifa Binafsi inazokusanya kutoka kwa Watumiaji wake. DPC ambayo inafanya kazi kama Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Umoja wa Ulaya, imeitaka WhatsApp kujitathmini jinsi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni muhimu kulinda simu yako ukipeleka kwa fundi kwa ajili ya matengenezo

    Habari za hivi majuzi za mwanafunzi ambaye picha zake za faragha zilifichuliwa baada ya kutuma iPhone yake kwa ajili ya matengenezo ni ukumbusho kwa watumiaji kufunga data zao, wataalam wanasema. Apple ilisuluhisha kesi na mwanamke mwenye umri wa miaka 21 baada ya kutuma iPhone yake kwenye...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuilinda simu yako inapoibwa

    Ikiwa miaka michache iliyopita, kuwa na simu yako kuibiwa tayari ilikuwa hasara ya kifedha, leo inaweza kuwa kubwa zaidi. Teknolojia inapoimarika - na pia ujuzi wa wahalifu - upotezaji wa kifaa unaweza kuwa hasara ndogo ikilinganishwa na kile genge linaweza kufanya ikiwa wana ufikiaji wa hati...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Facebook na Instagram zapigwa faini ya Tsh. Bilioni 961 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Faini imetolewa na Umoja wa Ulaya (EU) dhidi ya Mitandao ya #Facebook na #Instagram iliyobainika kulazimisha watumiaji wa Nchi za EU kupokea matangazo yanayoendana na wanachokifanya Mitandaoni. Uamuzi huo wa Nchi 27 zenye watu karibu milioni 450, ni utekelezaji wa Sheria ya...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Marekani: Tiktok yashtakiwa kwa kudanganya kuhusu Usalama wa Taarifa Binafsi za Watumiaji

    Mwanasheria Mkuu wa Jimbo la Indiana amesema mtandao huo unawapotosha watumiaji wake hasa watoto kuhusu kiwango cha Maudhui Yasiyofaa na Usalama kwa Mtumiaji. Katika malalamiko yaliyowasilishwa na Todd Rokita ambaye ni Wakili Mkuu wa Republican amesema kuwa Tiktok inakusanya maelezo nyeti na ya...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Haki ya Kusahaulika ni nini? Kwanini ni muhimu?

    Mnamo Novemba 21, 2022, The Chanzo ilifanya mahojiano maalum na Mkurugenzi wa JamiiForums Maxence Melo kuhusiana na haki ya msingi ya binadamu ambayo watu wengi hawaifahamu: haki ya kusahaulika. Melo, ambaye ni moja kati ya wadau wakubwa wa haki za kidijitali nchini Tanzania, amesema haki hiyo...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mjadala wa Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 uliosomwa kwa mara ya pili

    Leo 01/11/20220 muswada wa sheria ya ulinzi wa Taarifa binafsi wa mwaka 2022 ulisomwa Bungezi na Waziri Habari mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye. Mswada huo unajadiliwa wakati huu bungeni fuatana nami kufatilia mjadala huu. ===== Zahoro Muhamadi Haji: Malengo ya kudhibiti, yapo...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 unasomwa kwa mara ya pili Bungeni

    Muswada huu unasomwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Lengo la kutunga sheria hii ni kuweka kiwango cha chini cha masharti ya matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzishwa tume ya ulinzi wa taarifa binafsi, kuimarisha ulinzi wa...
Back
Top Bottom