Ofisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaishutumu Worldcoin kuingilia Faragha za Wakenya, Inataka Mahakama Kuingilia kati

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1692070111863.png


Ofisi ya Ulinzi wa Data inasema kuwa uchakataji wa Taarifa Binafsi kupitia mradi wa Worldcoin haukuzingatia kanuni za ulinzi wa data kama zilivyobainishwa katika kifungu cha 25 cha Sheria.

Ofisi hiyo sasa imeitaka Mahakama kuingilia kati ili kutoa mwongo wa hatua za kuchukuliwa dhidi ya Kampouni hiyo inayodaiwa kushindwa kueleza inalindaje data binafsi za Wakenya zilizochukuliwa wakati wa usajili wa wanaotaka kujiunga na biashara ya sarafu Mtandao ya Worldcoin.

Katika hati ya kiapo, Naibu Kamishna wa Data Oscar Otieno anasema baada ya kukagua shughuli za mradi wa Worldcoin nchini, ameridhika kuwa si salama kwa Wakenya, akiongeza kuwa bado wanafanya uchunguzi wake.

============

The Office of Data Protection says that the processing of the personal data through Worldcoin project does not adhere to the principles of data protection as set out in section 25 of the Act.
The office has now asked the court to intervene failure to which Kenyans' personal data mined during the World coin project will be erased and modified.

In an affidavit, Deputy Data Commissioner Oscar Otieno says that having reviewed the Worldcoin project operations in the country, he is satisfied that it is not safe for Kenyans, adding that they are still doing its investigations.

“The Applicant is undertaking investigations in relation to Worldcoin operations in Kenya by the Respondents. The Worldcoin project, a matter of great public interest, is described by the Respondent on its website as a project ‘aimed at establishing universal access to the global economy regardless of country or background. It is designed to become the world's largest human identity and financial network, giving ownership to everyone,” reads court papers.

Otieno further says that the commission commenced assessment of Worldcoin in May 2022 and in the course of the assessments, they suspended their operations for 60 days to ascertain the lawful basis of process and safeguards adopted by the respondents.

“The applicant believes that the respondents is likely to tamper with erase , modify or further process the personal the personal data contrary to the data protection Act 2019 thereby frustrating the investigation currently being conducted by the applicant,” reads the affidavit.

The commission seeks preservation orders from court, saying it will assist in the investigations being carried out and will enable them preserve the personal data collected from Kenyans.

The orders, it adds, will facilitate the ongoing investigations which are meant to assist them deduce whether or not the personal data is being processed in a manner contrary to the Act.

In the papers the commission wants the court to issue orders stopping further collection of data from Kenyans.

“Despite the suspension and directive to cease processing of personal data, the respondents continued to process the said personal data. It took the public directive by the CS Interior to halt their operations on August 2,”says Otieno.

CITIZEN DIGITAL
 
According na maelezo ya worldcoin, hiyo orb ima scan mboni ya jicho, kisha inazalisha msimbo wa kipekee ambao ndio unakuwa kama kitambulisho chako na hizo picha mhusika ndiye ataamua zibako au zifutwe. Huo msimbo wa kipekee unaitwa World ID kwa Kiswahili Kitambulisho cha World. Halafu ni open source project.
 
Back
Top Bottom