taarifa binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Nashauri kazi ya kukusanya taarifa binafsi za watalii ibaki kwa wizara ya mambo ya ndani (Immigration)

    Kuna hizi taasisi zetu kubwa kama TANAPA/NCAA/WMA nk wameboresha mifumo yao na kuhusisha kukusanya taarifa binafsi za MTALII zilizopo kwenye Passport yake kabla hajafika Nchini. Nafikiri ifike mahala hayo majukumu yaachiwe Idara husika ambayo ni ya mambo ya ndani kwani sioni kwa nini Kampuni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zoezi la ukusanyaji wa taarifa za watu binafsi mitaani

    Nimeshuhudia baadhi ya maeneo nchini kuna zoezi la kimya kimya linalofanywa na watu wanaojitambulisha kwamba wametokea Serikalini kwa maelezo kwamba ni usajili wa makazi. Wanakufuata wakiwa na mwenyekiti wa kijiji chako au kiongozi mwingine wa kijamii kutaka uwatajie namba ya LUKU na namba ya...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PDPC: Leo ni Siku ya Mwisho ya Usajili wa hiyari kwa Wachakata Taarifa Binafsi

    Kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022 (Sura ya 44), taasisi au mtu yeyote anayeshughulika na ukusanyaji au uchakataji wa taarifa binafsi nchini Tanzania anatakiwa kujisajili na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC). Kushindwa kufanya hivyo ni ukiukwaji wa sheria...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makarani wa daftari la mpiga kura muwe na siri mnapayuka sana asee! Sasa miaka 18 ni kitu cha kutangazia kituo kizima?

    Makarani wanaotuandikisha kwenye daftari la mpiga kura wawe na siri wanapouliza taarifa zetu binafsi kama vile mahali pa kuzaliwa, namba ya simu, mwaka wa kuzaliwa n.k Karani anakuuliza mwaka wako wa kuzaliwa unamtajia halafu na yeye anaurudia kwa sauti kubwa ilhali watu wengine wapo kando hapo...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi: Ukitumia taarifa bInafsi za mtu bila idhini yake Faini Tsh. Milioni 100

    Dkt. Noe Nnko Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imezitaka taasisi na mashirika kuwa makini katika matumizi ya taarifa za watu, kwani mtu yeyote ambaye taarifa zake zitatumika bila idhini anaweza kudai fidia ya hadi Sh. milioni 100, kwa mujibu wa sheria. Akizungumza Machi 1, 2025...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ma-MC wanaosambaza picha za Watu bila ridhaa waonywa

    TUME ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), imesema washereheshaji wanaosambaza picha za washiriki wa sherehe mbalimbali wanapaswa kuwa makini kwa kuwa wanavunja sheria kwa kuwa hawajapata idhini ya mtu kusambaza picha zake akiwa anacheza au jambo lolote. Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na Madhara gani baada ya kumsajilia mtu laini ya simu?

    Kwa mujibu wa Kifungu cha 21 (1) cha Kanuni Za Mawasiliano ya Kielektroniki Na Posta Kuhusu Usajili wa Laini Za Simu mwaka 2025 ni kosa mtu kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa kitambulisho cha mtu mwingine au kuruhusu laini ya simu iliyosajiliwa kwa kitambulisho chake itumiwe na mtu mwingine...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Je, unazifahamu haki zako kama mhusika wa taarifa binafsi?

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi inatoa haki mbalimbali kwa mhusika wa taarifa binafsi ili kuhakikisha faragha na ulinzi wa taarifa zake. Haki hizi ni pamoja na: Kufahamishwa kuhusu ukusanyaji na madhumuni ya ukusanyaji wa taarifa hizo. Kukataa kutoa taarifa binafsi ikiwa mkusanyaji...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗸𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗻𝗮𝘃𝘂𝗷𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗦𝗶𝗿𝗶 𝘇𝗮 𝘄𝗮𝘁𝗲𝗷𝗮 𝘄𝗮𝗼

    𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗯𝗮𝗮𝗱𝗵𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗸𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗻𝗮𝘃𝘂𝗷𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗦𝗶𝗿𝗶 𝘇𝗮 𝘄𝗮𝘁𝗲𝗷𝗮 𝘄𝗮𝗼 Nazani kwenye simu yako kwa siku unaweza kupokea ujumbe mbalimbali za matangazo haswa matangazo ya kubashiri au kubahatisha (bahati nasibu) zikiwa zinakushawishi kucheza mchezo fulani ili ufanikiwe ni ujumbe ambao unakuja kwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha SAUT Mwanza kimeweka wazi taarifa nyeti za wanafunzi ambao hawajasajiliwa kwa mwaka mpya wa masomo

    Chuo kikuu cha SAUT Mwanza kimeweka hadharani taarifa za wanafunzi ambao hawajasajiliwa kwa mwaka mpya wa masomo Taarifa hizo zinajumuisha Majina kamili, namba za simu , emails, tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa pamoja na namba za mitihani za kidato cha nne Hayo yote yamechapishwa katika mfumo...
  11. w0rM

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Taarifa tunazoandika kwenye Madaftari ya Lodge, Hotel au Ofisi zinatumiwa na kutunzwa vipi?

    Katika miaka ya hivi karibuni, Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni muhimu sana maana taarifa za mtu zinaweza kutumika vibaya muda wowote bila ya muhusika kujua. Leo nimewaza sana zile Hotel, Lodge, au Guest ambazo tunaenda na kuambiwa tuandike taarifa zetu kwenye daftari Mapokezi. Hivi zile taarifa...
  12. AmKATRINA

    JamiiForums Tanzania Wana JF narudia tena, haribu kabisa tiketi au karatasi yenye taarifa zako kamili

    Jamani, Jamani Wapendwa wa humu narudia tena, Chana au haribu kabisa tiketi au karatasi yoyote yenye taarifa zako sahihi kwa usalama wako. Niko hapa Police Kimara, rafiki yangu wa kiume amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya tiketi yake ya ki-electronic ya basi moja kutoka Arusha kuja Dar...
  13. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Hawa wanaojiita mawakala wa TRA wanauza electronic EFD Machines wanatoa wapi namba zetu?

    Kumekua na tabia za kupigiwa simu na watu wanaojiita mawakala wa TRA wakitangaza biashara zao za kuuza electronic efd machines kwamba unaweza kutoa efd receipt kupitia simu ya mkononi. Natambua kwamba hilo linawezekana lakini, swali langu ni kwamba wanatoa wapi hizi namba zetu? na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania acheni kuruhusu mtu abadili PIN bila kigezo chochote

    Ndugu wanabodi. Mimi binafsi ni mtumiaji mzuri wa mtandao wa Airtel. Lakini pia ni freelancer na agent wa mitandao yote ikiwemo na Airtel. Kitu kilichonistua mpaka kuandika hii thread. Ni baada ya wateja wangu kama wawili walikuja Kwa mda tofauti. Mmoja alikuja kifanya SIM SWAP, baada ya...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC ) yaongeza muda wa usajili kwa Taasisi hadi 30 Aprili, 2025

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeongeza muda wa mwisho wa usajili kwa taasisi zote za umma na binafsi ambazo hazijajisajili kabisa na ambazo hazijakamilisha hadi kufikia tarehe 30 Aprili, 2025 baada ya muda wa usajili wa hiari kumalizika tarehe 31 Desemba, 2024 kama ilivyoelekezwa na...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uganda: JamiiForums Yashiriki Kongamano la Afrika Kuhusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Desemba 4, 2024

    https://www.youtube.com/live/JA35HedbKJA JamiiForums na ADRH (Africa Digital Rights Hub) wanaendesha Kongamano la Afrika kuhusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi jijini Kampala, Uganda ambapo Mwaka huu wa 2024 Kongamano hilo linaangazia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kama nyenzo muhimu katika ukuaji...
  17. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yashirikiana na DPDC kuendesha Mafunzo ya Uelewa wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Mahakimu Wakazi wa Mikoa 29

    Taasisi ya JamiiForums kwa kushirikiana na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) iliendesha Mafunzo ya Uelewa wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Mhimili wa Mahakama ili kurahisisha mazingira ya Utekelezwaji wake katika Mashauri mbalimbali yanayofika Mahakamani. Mafunzo hayo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zidhibiti taarifa za watu kutumika kama vifungashio

    Mara kwa mara, ninapofanya manunuzi madukani au kwa mama ntilie, nimekuwa nikishuhudia jambo linalonitatiza: bidhaa kufungiwa kwenye makaratasi yaliyoandikwa taarifa nyeti kama vile mitihani ya wanafunzi wa kidato cha nne, kidato cha pili, na darasa la saba. Maandishi hayo yakiwa na majina...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Application za kukopesha za simu, kuhack majina ya simu za mteja bila ruhusa tofauti zile ambazo umewapa kama wadhamini

    Udharura wakati mwingine hutupata sisi binadamu hata wakati mwingine uwe na mali za wingi wa kiasi gani lakini Udharura ipo siku utakupigia hodi. -My question is that, wakati unapoazima fedha kwenye kampuni hizi, hukuomba namba yako ya simu, na namba mbili, za watu ambao huwa kama wadhamini...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Benki ziache kutoa taarifa za wateja kwa mtu asiyehusika

    Mtu mmoja ananidai pesa; nimekuwa nikimlipa kidogo kidogo na karibu namaliza deni. Ajabu jana kanipigia simu kuwa amefuatilia katika akaunti yangu na kuona nimetoa fedha bila kumlipa. Taarifa hii kaipewaje hapo Bank ilihali akaunti siyo yake? Je, benki mnatoa taarifa za wateja wenu kwa mtu...
Back
Top Bottom