Udharura wakati mwingine hutupata sisi binadamu hata wakati mwingine uwe na mali za wingi wa kiasi gani lakini Udharura ipo siku utakupigia hodi.
-My question is that, wakati unapoazima fedha kwenye kampuni hizi, hukuomba namba yako ya simu, na namba mbili, za watu ambao huwa kama wadhamini...
Mtu mmoja ananidai pesa; nimekuwa nikimlipa kidogo kidogo na karibu namaliza deni. Ajabu jana kanipigia simu kuwa amefuatilia katika akaunti yangu na kuona nimetoa fedha bila kumlipa.
Taarifa hii kaipewaje hapo Bank ilihali akaunti siyo yake?
Je, benki mnatoa taarifa za wateja wenu kwa mtu...
Wateja wa Benki ya CRDB ambayo ndiyo mkopeshaji mkubwa wa Tanzania kwa mali na amana, wamepokea barua pepe za udanganyifu kutoka kwa matapeli wanaojifanya ni benki hiyo.
Katika shambulio hilo la hadaa, wateja wa Benki ya CRDB walipokea barua pepe zilizowataka kubofya kiungo (link) kinachotiliwa...
Kampuni ya TIGO imesema haihusiki na sakata la kuvuja Taarifa za Tundu Antipas Lisu
HONORA imesema kampuni mama ya Tigo haikuwa mmiliki Wakati Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu anashambuliwa
----
Dar es Salaam. Kampuni ya Honora Tanzania Public Limited Company ("TIGO")...
Hii ni sheria ya 2022 , lakini ni vyema kujifunza yafuatayo tunavyoelekea kwenye kesi ya Tundu Lissu vs Tigo kama mkusanyaji na mchakataji wa taarifa za Tundu lissu.
1. Kuna Tume ya ulinzi wa Taarifa binafsi
2. Mtu yeyote atakayebaini kuwa mkusanyaji au mchakataji amekiuka misingi ya ulinzi wa...
Kwenye Biblia Takatifu kuna andiko husomwa mara nyingi kwenye misiba na hasa wakati wa Mazishi, linaandikwa hivi' Msitake kuzijua habari za waliolala mauti, maana mkizijua Mtasononeka, Sina hakika kama nimepatia, kwa vile mimi si mjuzi sana wa mambo haya.
Wajuzi wanasema andiko hili...
Mkurugenzi Mtendaji wa Telegram, Pavel Durov, ameripotiwa kukubali kutoa anwani za IP na namba za simu za watumiaji app yake kwa serikali mbalimbali duniani ambazo zitaomba data za watumiaji wake.
Durov, bilionea mwenye uraia wa Urusi na Ufaransa, ambaye alikamatwa nchini Ufaransa mwezi...
Kwa masikitiko makubwa ni fedhea kwa kampuni inayojishughulisha na uuzaji wa Virutubisho (Supplements) na bidhaa za usafi kama NeoLife kushindwa kuhifadhi Tarifa binafsi za wateja wake kama inavyotakiwa .
Asubuhi nimenunua vitumbua maeneo ya Mwenge kituoni na kifungashio kilichotumika...
Mahakama yaiamuru Kampuni ya Safari Automotive Limited kulipa Fidia ya Milioni 10 kwa kusambaza video za mteja wao bila ridhaa yake.
Mahakama Kuu (Masijala ndogo ya Dar es Salaam) yaiamuru Kampuni ya Safari Automotive Limited kumlipa Godwin Danda fidia ya Shilingi Milioni Kumi (10,000,000/=) za...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amewapiga marufuku watendaji wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wenye tabia ya kuuza siri za wateja na kuwasababishia matatizo.
Amesema kuwa haiwezekani mtumishi wa BRELA akachukua data na siri za kampuni akaenda kuuza kwa watu...
'Application' and 'Device Update' ni kuruhusu toleo jipya la mfumo wa uendeshaji wa kifaa chako kuweza kuendesha programu au 'drivers'.
1. Kuongeza Ulinzi
Wadukuzi hutafuta njia mpya za kudukua kila wakati. Usasishaji (Updating) husaidia kuzuia mianya ambayo ingeweza kutumiwa na Wadukuzi hao...
Hapa chini ni nyaraka zenye taarifa binafsi za mtu ambaye anaonekana aliomba nafasi ya kazi mahali fulani, lakini baada ya nyaraka zake kuisha kuisha umuhimu wakazitelekeza kiholela. Sijui waliuza hizo karatasi au walitupa watu wakaokota, haieleweki. Ila sasa zinapatikana kwa akina mama wauza...
Rais Samia, kwanza nashukuru umemuondoa Nape Nnauye kwasababu TCRA na Tume ya Ulinzi wa Taaifa Binfsi(PDPC), ni taasisi zilikuwa chini yake na mpaka anaondoka, hatuijaona hizi taasisi zikiwa serious katika kuchukua hatua(sijaona wala kusika waliokamatwa kwa kudhalilisha watanzania).
Naomba...
Serikali imeitoza kampuni ya META faini ya Dola za Marekani Milioni 220 (takriban Tsh. Bilioni 583.8) ikiwa ni baada Mitandao ya WhatsApp na Facebook kukutwa na makosa ya ukiukwaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Haki za Wateja
Taarifa ya Tume ya Ushindani na Ulinzi wa Haki za Walaji...
Wakuu amani iwe nanyi.
Twende kwenye mada, ni namna gani naweza pata taarifa zote za namba yangu ya NIDA bila kufika NIDA?
Kwanini bila kufika NIDA?
Nimeona kabisa jamaa ananijaza i.e anasema taarifa zangu za education hazipo kwa mfumo hivyo natakiwa nimtafute nijaze fomu nifanye maombi upya...
📺KENYA| CS for Transport, Kipchumba Murkomen, proposes that Parliament should urgently introduce and pass a Lifestyle Audit Bill.
The Bill aims to ensure that state and public officers' living standards align with their lawful income, setting parameters for auditing and capping the maximum cost...
YAH: ONYO DHIDI YA KUFUNGA VIFAA VYA USALAMA (CCTV) KWENYE MAENEO YA FARAGHA
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi - PDPC inatoa onyo kali kwa Taasisi na kampuni zote zinazotumia kamera za usalama ikiwa ni pamoja na maeneo ya kazi kuhakikisha wanazingatia Sheria na Kanuni za Ulinzi wa Taarifa...
Kama sio mhanga wa hii kadhia basi moja wa ndugu au rafiki yako atakuwa amekutana nayo .Kumekuwa na utapeli unaoshika kasi hasa mtandao wa facebook .
Matapeli wanaweza kuingia kwenye account yako facebook kisha wanapost kuwa umejishindia promotion .Na walivyo wajinga wanaenda sehemu ya comment...
Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama
Branch, PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X. Bongopesa
Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na Kampuni hizi.
Nimejaribu kadhaa na hakuna ya afadhali, unakuta inakusanya taarifa...
Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya
Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili kufuatilia usahihi wa taarifa za ChatGPT imesema "Ingawa hatua zilizochukuliwa ili kuzingatia kanuni ya uwazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.