Mkiwa CCM tukiongelea haki mnatuona mafala
Shetani akiwataka na kuwateka mnaanza kutaka huruma yetu wapenda haki na Chadema
Sisi kwakuwa ni Watanganyika, nyie ni wenzetu tunawatetea tu
1. Polepole
Alikuwa mwenezi wa CCM ila Sasa katwekwa, hakuna mtu wa CCM anayeshiba ufisadi ana habari nae
2...
Ukisikiliza mazungumzo yao inaonekana hawa watu ni wauaji wazoefu kanisa, issue ya tesha iweje wajue kuwa tesha hayupo nchi na amekimbilia nchi za nje?? Hii inaleta taswira ya kwamba hadi jeshini kuna watu wao huko .
Kwamba captain Tesha sio lofoten kwao asleep
Maandamana ni haki yetu ya...
Wakuu, leo tudiscuss kuhusu mfumo mzima wa suspension.
Kwa uzoefu wangu, wengi tukisikia suspension tunachojua ni “shocks” peke yake, kumbe ni mfumo mkubwa unaojumuisha vitu zaidi ya kumi vinavyofanya gari lisitetemeke, liwe stable barabarani na kuzuia vibration isiingie ndani ya cabin...
Nafanyaje chuo changu nilichosomea Diploma hakionekani Ajira Portal Mpya.
Chuo ni Al Maktoum College of Engineering and Technology (AMCET) - Registered by NACTE as REG/EOS/039 (Full Registration) kipo Mbezi Beach.
1. Nimejaribu kupiga chuoni: Wanasema shida sio yao ni ya Ajira Portal.
2...
Mwaka 2010, AU(African union) ilipitishiwa wazo bora sana kuanzisha miundo minu kwa ajili ya internet ya kiafrika, wazo hili lililenga afrika kujitoa kwenye makucha ya internet ya kikoloni, kwa wale ambao hawaelewi internet ya kiafrika namanisha ivi
fikiria afrika ikaanzisha mtandao mpana wa...
Salaam!
Unaanzaje kumjibu Pole Pole anayeongea Pole Pole kwa tahadhari na kwa kutumia lugha rahisi ya kidiplomasia namna Ile?
Gwajima unaanzaje kumjibu, maana alichoongea Kiko wazi na ametoa ushauri mzuri kabisa kwa tahadhari kubwa.
Sasa kuliko kuwajibu ukajikuta unatoka nje ya mstari na...
Magari ya umeme (EV – Electric Vehicles) ni magari yanayotumia umeme badala ya mafuta (petrol/diesel). Badala ya injini ya mwako wa ndani (internal combustion engine), yanatumia electric motor na betri kubwa kuhifadhi nishati.
Vipengele Vikuu vya Mfumo wa Gari la Umeme
1. Battery Pack
Hii...
Wasalaam ndugu zangu,
KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona?
Mfumo wa utoaji wa document za dharura kwa ajili kusafiri ( Emergency Travel Document) haufanyi kazi toka...
Salaam!
Haya ni maono.
Nimmekuwa nikilisemea hili tangu May 2022, kwamba,
Year 2026 ni mwaka mpya, mwaka wa kipekee ambao, mfumo mzima wa kutawala ,na mifumo yote muhimu juu ya nchi yetu unakwenda kubadilika.
Ni mwaka ambao, Rasimu Ile ya Warioba kabla ya kuchakachhuliwa itarudishwa mezani...
Habari wataalamu wote. Kuna mfumo unaitwa STUDENTS INFORMATION SYSTEM (SIS) Unaoweza Kuwa na features kama vile;
1. Students admission
2. Staff management
3. Classroom management
4. Communication (SMS)
5. Parent management
6. Online admission
Mwenye nao Tafadhali tuwasiliane 0754004189
We’re looking for qualified and passionate Assistant Team Lead – IT (Network and System Security) – (Re-advertised)
Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you a tech-savvy individual with a passion for making a difference? Are you eager to bring your IT...
At Vodafone, we’re not just shaping the future of connectivity for our customers – we’re shaping the future for everyone who joins our team. When you work with us, you’re part of a global mission to connect people, solve complex challenges, and create a sustainable and more inclusive world. If...
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kimoja hapa Dar es Salaam, ninasomea Stashahada Mwaka wa Pili..... nilikuwa na changamoto au kero kuhusiana na usajili wa Vyuoni na NACTEVET ambapo hata mimi nimekutwa na hiyo changamoto na mpaka sasa haijafanyiwa kazi.
Vyuoni humu wanatabia ya kutusajili Wanafunzi wa...
Anonymous
Thread
ajira
ajira serikalini
diploma
mfumo
mifumo
nacte
serikalini
system
taarifa
vyuo
wanaosoma
🔬 Title: Nodal and Least-Cost Analysis on the Optimization of Natural Gas Production System Constraints to Extend the Plateau Rate of a Conceptual Gas Field
📘 Published in: Geoenergy Science and Engineering (Elsevier)
📌 In this study, we explored how adjusting production system parameters like...
Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa...
1. Msg haziji kwa wakati zinapofanyika au kungiza transaction.............zinachelewa sana , one day sometimes compared to other banks
2. Salary, pension advances, nisogeze hazifanyiki kazi hadi leo
3. ATM ni moja kwenye miji mingi. shida tupu!
SHIDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA TUHAMIE WAPI?
Habarini wakuu
Naomba msaada wenu, nahitaji kupata OS ya Kali Linux au toleo lingine la Linux kwa ajili ya PC yangu. Ningependa nijifunze zaidi kuhusu cybersecurity na command line tools, lakini sijui ni wapi salama pa kudownload na jinsi ya kuiweka.
Kama kuna anayejua sehemu salama ya...
Nakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza Kukucheka japo juzi, Jana na leo watakuona Shujaa.
Najua katika huu Uzi wangu nitashambuliwa mno na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.