system

  1. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Wasabato maarufu hapa Tanzania kwenye sanaa, michezo, siasa, system, biashara, n.k

    Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Commerxial Bank ( TCB) wekeni system zenu vizuri

    1. Msg haziji kwa wakati zinapofanyika au kungiza transaction.............zinachelewa sana , one day sometimes compared to other banks 2. Salary, pension advances, nisogeze hazifanyiki kazi hadi leo 3. ATM ni moja kwenye miji mingi. shida tupu! SHIDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA TUHAMIE WAPI?
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kwenye hii translation ya wimbo wa vice versa (Madilu system)

  4. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye operation system ya kali linux au Linux ya kwenye PC

    Habarini wakuu Naomba msaada wenu, nahitaji kupata OS ya Kali Linux au toleo lingine la Linux kwa ajili ya PC yangu. Ningependa nijifunze zaidi kuhusu cybersecurity na command line tools, lakini sijui ni wapi salama pa kudownload na jinsi ya kuiweka. Kama kuna anayejua sehemu salama ya...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Unakosea, Unakosea na nasema tena Unakosea wenye Akili hawashindani na 'System' Kibwege (Kipumbavu) hivi..shauri yako!!

    Nakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza Kukucheka japo juzi, Jana na leo watakuona Shujaa. Najua katika huu Uzi wangu nitashambuliwa mno na...
  6. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Babylon System

    Yafutayo ni Mashair ya muda mrefu yanayoishi Hadi sasa.; Babylon System Lyrics We refuse to be What you wanted us to be We are what we are That's the way it's going to be, if you don't know You can't educate I For no equal opportunity (talkin' 'bout my freedom) Talkin' 'bout my freedom People...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa "system" kutumia mbinu zao zote kukwepa hii mitego miovu ya WEST (US) kuhusu nchi yetu.

    Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tax Dispute Resolution System within a progressive Tax Administration

    Introduction In the architecture of a progressive tax administration, a fair and efficient tax dispute resolution system stands as both a pillar of justice and a catalyst for fiscal growth. It not only fosters trust between taxpayers and the government but also strengthens voluntary compliance...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Biashara kichaa ya CCM na System yadoda: Mabilioni yapotea, Wameanza kuropoka ovyo huko

    Kila siku tunasema CCM na system uchwara hawawezi kupambana na wakati! Sasa kila kitu kipo wazi! wanaaibika waziwazi, mipango yao yote inawekwa wazi, wananchi wanayajua yote wafanyayo gizani, mabilioni ya pesa zao walizowekeza kuiua Chadema yanaliwa alafu matokeo sifuri🤣🤣🤣 Baada ya CCM na...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kutajengwa world-best irrigation system lengo ni kuondoa subsistence farming na kufanya contract farming

    Faida za kuwa na world-best irrigation system ni kilimo kitakuwa kinafanyika mda wote bila kutegemea mvua na kutatengwa budget ya Shilling Trillion moja kwa ajili ya kuzitengeneza
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuwashinda Chadema kwenye jicho la Kisheria, ndo mana mbinu zote za CCM na System zinakwama

    Unaposhindana na Chama kilichojaa manguli wa kisheria waliosoma Sheria ndani na nje ya Tanzania tena kwenye vyuo bora kabisa duniani vinavyofahamika kutoa Wanasheria bora kabisa ni vizuri uwe makini na smart sana. Hiki ndo kinachowakuta system na CCM kwa sasa. Kwa kuwa system haijawahi ku...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kukosa akili kwa CCM na System kunazidi kuthibitisha Uhalali wa Ajenda ya Chadema kuhusu No Reforms No Election.

    Wakati Tundu Lissu akikamatwa na kuswekwa Gerezani kwa tuhuma za hila dhidi yake na Chadema. Wakati viongozi na Makada wa Chadema wakitekwa, kuuwawa na kupotezwa. Wakati Maofisa wa System wakienda kumwaga vitu vya kemikali kwenye Ofisi za Chadema Mbeya kuwatisha Wanachadema na Wanambeya kuacha...
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Sasa basi! Hii system ya madharau na kunyonya maskini hatuihitaji tena!

    Yo, listen up! Manze tumevumilia sana, lakini sasa imefika wakati tuseme kwa sauti kubwa — tumechoka na huu mfumo kandamizi! Hii siyo tena serikali ya watu, bali imegeuka kuwa mtandao wa kifisadi unaonyonya walalahoi mchana kweupe! Tuna viongozi? Ndio wapo — lakini wako kama sanamu kwenye duka...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tumechoka na huu mfumo, Bunge limejaa vichwa feki, nchi inateketea!

    let me spit some real sh*t right now coz this ain't no joke! Tanzania tumewekwa ndani ya box la ujinga – system ni toxic, watu wanaongoza ni kama wana play video game na maisha yetu. Wanatuchezea kama watoto wa darasa la kwanza – and we sittin’ here acting cool? HELL NO! Tuna wabunge wanaojiita...
  15. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Payments system zinasumbua

    Wakuu System za malipo zinasumbua kuanzia transaction za lipa namba mpaka manununuzi ya Luku system zote zipo down Wakuu shida ni nini na TCRA wapo kimya
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo wengi

    Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la akina Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo Ni ngumu kuvunja rekodi ya Frankoo huyu alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba pasipo kuandika mashahiri, kupiga vyombo vya muziki hasa Guitar kwa...
  17. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Solar system ina sayari nne tu kuanzia leo ni vizuri ukalijua hilo

    Nikiwa Rais watoto watafundishwa mashuleni kwamba solar system ina sayari nne na sio vinginevyo na itakuwa ndo mwisho wa nadharia kwamba solar system ina sayari tisa
  18. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ili kudhibiti uhalifu, uanzishwe mfumo wa National Recognition System wenye kutunza DNA na fingerprint za watu wote

    Kwako Rais wa JMT, Waziri wa mambo ya ndani, Baada ya kutafakari kwa kina kama mtanzania ni kitu gani kifanyike ili kudhibiti uhalifu katika maeneo mbalimbali, Nashauri serikali iunde chombo mahususi chini ya wizara ya mambo ya ndani kitakachokuwa kinatumia mfumo wa NATIONAL RECOGNITION SYSTEM...
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania System Imetumaliza – Wasomi Tupo Mtaani, Tuna-survive Kama Madawg Walioachwa Kwenye Jungle!

    Yaani mnataka kuniambia haki ipo? Sheria iko? Utu unaheshimiwa? F*ck no! Hii system inatuchezea kama clowns. CCM kila siku wanapiga kelele majukwaani eti vijana ni taifa la kesho—yo, what tomorrow bruh? Wakati kesho yenyewe hawajui kama tutaamka na ugali. Mimi ni msomi bro, Master's holder in...
  20. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania System Imetumaliza – Wasomi Tupo Mtaani, Tuna-survive Kama Madawg Walioachwa Kwenye Jungle!"

    Yaani mnataka kuniambia haki ipo? Sheria iko? Utu unaheshimiwa? F*ck no! Hii system inatuchezea kama clowns. CCM kila siku wanapiga kelele majukwaani eti vijana ni taifa la kesho—yo, what tomorrow bruh? Wakati kesho yenyewe hawajui kama tutaamka na ugali. Mimi ni msomi bro, Master's holder in...
Back
Top Bottom