Habari wapambanaji wenzangu,
Natumai mko salama.
Naomba ushauri na mawazo yenu ya kibiashara. Mimi ni Full Stack Developer mwenye uzoefu wa kufanya/kushiriki project tofauti tofauti ndani na nnje ya nnchi, ikiwemo,
Mfumo wa PQCS(Process Quality Control System)– Kenya (AVA & ISUZU), Pia custom...
The System Administrator will be responsible for the day-to-day management, support and maintenance of the company’s IT infrastructure. This role involves ensuring that servers, systems and related infrastructure run efficiently and securely to support business objectives.
The ideal candidate...
Serikali, through NTSA, imeanza digital traffic enforcement system mpya inayotumia smart cameras kukamata makosa barabarani. Kama umeenda kasi, hukufunga seatbelt, au umevuka lane ovyo, system itakurekodi instantly na kukutumia SMS notification ikiwa na details za offence na fine unayotakiwa...
The National Curriculum development Center(NCDC) is on final stages as they prepare to launch the new A-Level grading system for Advanced Secondary Curriculum.
Gilbert Gift Siima manager secondary Department at NCDC reveals that the system is shifting from the current A B C D E O F to A B C D...
Government is set to relaunch the Express Penalty System(EPS) and Fine Issuance System(FIS) following a public outcry motorists that caused it to be suspended.
According to an article in the Nile Post, The governmnet under the Ministry of Works and Transport is set to begin fresh consultations...
Kila mvua ikinyesha Nairobi, the city exposes how bad the drainage system is. Maji yanajaa kwa barabara, estates zinafurika, na mitaro mingi imeziba au haipo kabisa. Instead of water flowing away, inabaki kila mahali na kufanya maisha kuwa hatari kwa wakazi. Kila mwaka tunashuhudia watu...
Simamia Stock za Dawa, Mauzo, Expiry & Ripoti za Kifedha kwa Urahisi (BEI RAFIKI)
Wamiliki wa pharmacy / duka la dawa,
Hebu niulize swali la kweli 👇
👉 Umewahi:
Kukuta dawa zime-expire bila wewe kujua?
Kukosa stock ya dawa muhimu wakati mteja yupo?
Kupata hasara kwa sababu ya dawa kupotea au...
Wakati akizungumza na Radio 47, Robert Alai ameeleza kuwa shida si Rais Samia bali ni mfumo mzima uliopo hivyo ili kufanikiwa ni lazima ung'olewe. Amesisistiza kuwa anaamini kwamba shida siyo Samia, shida ni CCM.
Mkiwa CCM tukiongelea haki mnatuona mafala
Shetani akiwataka na kuwateka mnaanza kutaka huruma yetu wapenda haki na Chadema
Sisi kwakuwa ni Watanganyika, nyie ni wenzetu tunawatetea tu
1. Polepole
Alikuwa mwenezi wa CCM ila Sasa katwekwa, hakuna mtu wa CCM anayeshiba ufisadi ana habari nae
2...
Ukisikiliza mazungumzo yao inaonekana hawa watu ni wauaji wazoefu kanisa, issue ya tesha iweje wajue kuwa tesha hayupo nchi na amekimbilia nchi za nje?? Hii inaleta taswira ya kwamba hadi jeshini kuna watu wao huko .
Kwamba captain Tesha sio lofoten kwao asleep
Maandamana ni haki yetu ya...
Wakuu, leo tudiscuss kuhusu mfumo mzima wa suspension.
Kwa uzoefu wangu, wengi tukisikia suspension tunachojua ni “shocks” peke yake, kumbe ni mfumo mkubwa unaojumuisha vitu zaidi ya kumi vinavyofanya gari lisitetemeke, liwe stable barabarani na kuzuia vibration isiingie ndani ya cabin...
Nafanyaje chuo changu nilichosomea Diploma hakionekani Ajira Portal Mpya.
Chuo ni Al Maktoum College of Engineering and Technology (AMCET) - Registered by NACTE as REG/EOS/039 (Full Registration) kipo Mbezi Beach.
1. Nimejaribu kupiga chuoni: Wanasema shida sio yao ni ya Ajira Portal.
2...
Mwaka 2010, AU(African union) ilipitishiwa wazo bora sana kuanzisha miundo minu kwa ajili ya internet ya kiafrika, wazo hili lililenga afrika kujitoa kwenye makucha ya internet ya kikoloni, kwa wale ambao hawaelewi internet ya kiafrika namanisha ivi
fikiria afrika ikaanzisha mtandao mpana wa...
Salaam!
Unaanzaje kumjibu Pole Pole anayeongea Pole Pole kwa tahadhari na kwa kutumia lugha rahisi ya kidiplomasia namna Ile?
Gwajima unaanzaje kumjibu, maana alichoongea Kiko wazi na ametoa ushauri mzuri kabisa kwa tahadhari kubwa.
Sasa kuliko kuwajibu ukajikuta unatoka nje ya mstari na...
Magari ya umeme (EV – Electric Vehicles) ni magari yanayotumia umeme badala ya mafuta (petrol/diesel). Badala ya injini ya mwako wa ndani (internal combustion engine), yanatumia electric motor na betri kubwa kuhifadhi nishati.
Vipengele Vikuu vya Mfumo wa Gari la Umeme
1. Battery Pack
Hii...
Wasalaam ndugu zangu,
KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona?
Mfumo wa utoaji wa document za dharura kwa ajili kusafiri ( Emergency Travel Document) haufanyi kazi toka...
Salaam!
Haya ni maono.
Nimmekuwa nikilisemea hili tangu May 2022, kwamba,
Year 2026 ni mwaka mpya, mwaka wa kipekee ambao, mfumo mzima wa kutawala ,na mifumo yote muhimu juu ya nchi yetu unakwenda kubadilika.
Ni mwaka ambao, Rasimu Ile ya Warioba kabla ya kuchakachhuliwa itarudishwa mezani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.