E-Kesi Barabarani: Kenya Yazindua 'Instant Fines' System ya Traffic

E-Kesi Barabarani: Kenya Yazindua 'Instant Fines' System ya Traffic

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
502
Reaction score
298
Serikali, through NTSA, imeanza digital traffic enforcement system mpya inayotumia smart cameras kukamata makosa barabarani. Kama umeenda kasi, hukufunga seatbelt, au umevuka lane ovyo, system itakurekodi instantly na kukutumia SMS notification ikiwa na details za offence na fine unayotakiwa kulipa.

Jinsi itakavyofanya kazi:

· Ukikosea, SMS inafika instantly kwa driver au owner wa gari.
· Unapewa siku saba kulipa fine kupitia designated channels.
· Ukishindwa kulipa ndani ya siku hizo, penalties za ziada zitakuwa added, pamoja na interest.
· Pia, utakuwa blocked kufanya NTSA transactions kama ku-transfer ownership au renewal ya license—mpaka ulipe deni.

System hii inalenga kuongeza transparency, kupunguza manual policing, na kuhakikisha traffic laws zinafuatwa kwa nidhamu zaidi.
 
Back
Top Bottom