swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi machawa wa mama waliwahi kujiuliza swali hili?

    Kuna watu wanaabudia wenzao wasijue watakufa siku moja. Tuliyaona wakati wa Magufuli. Sasa tunao machawa. Mungu wao ni mama yao anayewafuga. Je, waliwahi kujiuliza? Akifa itakuwaje? Je, hakuna namna nyingine ya kupata riziki ila kugeuzwa au kujigeuza. chawa mdudu mchafu na hovyo mnyonyaji...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu kuna swali anauliza MMM, anaomba jibu

    Anaandika Martin Maranja kwenye ukurasa wake wa Instagram Bwana Jaji Mkuu, George Masaju. Unauliza nani anasema Mahakama haipo huru? Hebu tueleze ni kwanini kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A.M Lissu haijapangiwa tarehe na kwanini hafikishwi Mahakamani shauri liendelee? Je, huo ndiyo uhuru...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeulizwa swali kwanini wakenya wako vizuri kwemye riadha sina jibu

    Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama...
  4. JamiiForums Tanzania SWALI: Wanawake huwa mnajisikiaje wanaume wakiomba namba mbele za watu

    Peace be with you all, Nianze na ka kisa fulani kalitokea majuzi. Nilikua restaurant fulani hapa A town ghafla nikanuona mwanamke mmoja mrembo sana na alikua nadhifu sana. (Navutiwa na wanawake nadhifu) Alikua amekaa jirani wanawake wengine kama watatu wanapiga story zao, alinivutia sana...
  5. JamiiForums Tanzania Swali: Nyerere alikuwa dikteta na utawala wake ulikuwa wa kiimla. Discuss (50 Marks)

    Swali: Nyerere alikuwa dikteta na utawala wake ulikuwa wa kiimla. Discuss (50 Marks)
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Swali la Ugomvi: Kwani Mmepaniki nini Wenzetu?

    Sijaelewa na sioni naeleweshwa vipi. Baada ya kuvuruga uchaguzi mkuu, mkatumia nguvu kubwa kuua wananchi wetu, mkaagiza wabakwe na kulawatiwa kama silaha ya dola. Mkakufuru miili ya watoto wetu na kama haitoshi mkatetea na kutuelezea kuwa libido muue, make na kulawiti ili msije kuondolewa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatimaye mwili wa Dainesy wapatikana hospitali ya Kivule, familia yapanga upya siku ya mazishi

    ‎Familia ya Dainesy, msichana wa miaka 28 aliyeuawa na polisi katika tukio la Oktoba 29 huko Tabata, imeupata mwili wa mpendwa wao baada ya siku kadhaa za sintofahamu na mateso ya kutokujua alipopelekwa. ‎Kupitia taarifa ya Esha Buheti, ambaye amejitambulisha kama ndugu wa marehemu, familia...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Taarifa kuhusu maadhimisho ya siku ya Uhuru itatolewa ndani ya siku mbili

    Kuhusu maashimisho ya siku ya uhuru msigwa amesema: taarifa kuhusu maadhimiaho ya siku ya uhuru kama yatafanyika au la mtapewa taarifa rasmi ndani ya siku mbili.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Hivi Jeshi lipo kwa ajili ya kulinda wananchi au mtu mmoja?

    Naomba tuijadili hii mada bila mihemuko wala uchawa. Tumeona maelfu ya wananchi wameuwa, na inasemekana kuna hadi wanajeshi wameuawa na polisi, hii yote ni kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja tu. Sasa swali la msingi ni hili; hivi jeshi lipo kwa ajili ya kumlinda rais au wananchi.
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Swali la Leo: Kama ana Majibu Tayari ya kilichotokea wakati wa uchaguzi, Mazingaombwe ya Nini?

    Unajua vitu vingine vinapita kichwani halafu unajiuliza kama vimepita. Kwanini inaonekana kama Samia anatafuta pa kushikilia? Ni kama hajajua mahali pa kutokea.. Au ndio ule msemo wa wahenga..."mfa maji..." Maana amezungumza kama mtu aliyeambiwa mambo mengi kuhusiana na mauaji yaliyotokea...
  11. R

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili: Swali gumu moja

    Huyu ni kijana CELEBRITY, Star (Nyota), Mtu "mkubwa", Influencer and many other celebrity titles. SWALI: INA MAANA ALIKUWA PEKE YAKE NJIANI KUJA DODOMA BILA WALINZI?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Ikitokea mtu akapelekwa ICC, je Makamu wake anapona?

    Just for curiosity! Anaweza kuwa treated as an accomplice? Kama Mods will spare this let us educate each other
  13. R

    JamiiForums Tanzania Esther Matiko amuuliza mgombea Uspika swali la kizushi, adai hawezi kujibu

    Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko alipata nafasi ya kumuuliza swali Mgombea nafasi ya Uspika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Anitha Alfan Mgaya kutoka chama cha National League for Democracy (NLD) ataje aina ya makundi manne ya wabunge wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume hili swali una jibuje?

    Ile una pewa namba au umetafuta namba ya manzi ulie muelewa ile una mtafuta tu una anza ulizwa namba umepata wapi hili swali una jibuje Mimi huwa najieleza vizuri simtaji muhusika ila nikiona kichwa ngumu basi nasema niliomba namba ya malaya wa karibu nime pewa hii Wewe una jibuje au ndio...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza swali. Je? Raia wa mitandaoni wanaishi wapi?

    Nauliza hivii kwa sababu serikali imewapuuza kabisa je? Mitandao kwenye nchi yetu inatumiwa na raia wasioipenda serikali Yao? Kwenye hii habari comment asilimia 99% ni hawajaunga mkono kilichoongelewa Je? raia wa mitandaoni ni wanaishi ndani ya simu au?
  16. JamiiForums Tanzania Kutokupinga wauaji na watekaji ni kushiriki nao utekaji na mauaji. Tena kheri wauaji na watekaji kuliko wanaonyamazia maovu

    Hamjambo! 1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini. Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano. 2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki. 3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
  17. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sayansi ya vita na coup d'etat. Swali kwenu

    Kwema? Kwanini Captain Tesha alitoka mbele ya kadamnasi na kuzungumza mambo mazito vile huku akitaja baadhi ya wanasiasa kuwa wazuiliwe kukimbia nchi? Kwanini Captain Tesha alionya polisi watakazuia waandamanaji kuwa watakuja kuulizwa hapo baadaye? Lengo lake hasa la kutoka hadharani ni lipi...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Swali hili la Kiranga kwa Polepole lilipuuzwa: What is Polepole's strategy? Lilifanya Kiranga atukanwe sana

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ukiachana na maumivu makali sana niliyo nayo lakin swali la kiranga bado linaniumiza kichwa na linanifunza mengi na linanifanya nisimuelewe kabisa polepole Nakuombea polepole MUNGU MWENYEZI akulinde sana Nakuombea Tanzania ukomboz wako...
  19. JamiiForums Tanzania Swali kwa JWTZ: Vyombo vya usalama kufanya gwaride mitaani kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi siyo siasa?

    Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida? Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
  20. 4

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unaenda vipi kwenye Uchaguzi nchi ikiwa katika alert kubwa namna hii?

    Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia. Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele. Leo wenda vijana wetu katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…