swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Jaji amuumbua Raila Odinga kwa swali gumu

    Kwa mnaofuatilia mnakumbuka wale makamishna 4 wa IEBC walivyotoka saa ya mwisho matokeo yakitaka kutangazwa na kusema hawayatambui Jaji anawauliza mawakili wa Odinga kwa nini muda wote walikuwepo na kuonekana kusoma matokeo kwenye Tv ila baada ya kuona Raila anashindwa wakasema hawayatambui?
  2. JamiiForums Tanzania Sensa swali hili ni muhimu sana kuliko swali la kufa, lakini mmelikwepa

    Moja ya mambo muhimu sana kwenye nchi wakati wa sensa ni serikali kujua wananchi wake wanakula milo mingapi kwa siku, nilitumai nitaulizwa lakini nikaulizwa kama nina tatizo la kiafya! Ni vipi unamuuliza hali ya afya yake mtu ambaye hata kupata mlo mmoja kwa siku hana uhakika! Bahati mbaya...
  3. JamiiForums Tanzania Hatma ya Muungano Tanganyika na Zanzibar

    Kesho ni siku ambayo, kesi ya Madai ya Uhalali wa Muungano iliyofunguliwa na Wazanzibari wapatao 40,000 itasikilizwa. Waswahili wana maneno yao wanasema "Bora kua na adui alieelimika utanufaika, kuliko kua na Swahib mjinga". Msemo huu unaakisi hasa dhana ya Uswahib wa Zanzibar na Tanganyika...
  4. JamiiForums Tanzania Swali langu la leo!

    Habari za muda huu ndugu wana jukwaa la Habari na hoja mbalimbali. Leo hii ninapenda kuwashirikisha jambo mojawapo ambalo limekuwa likitukwamisha katika maeneo mbalimbali hususani katika masuala ya madili/fursa. Je! Ni kwanii watu wengi hupenda kupuuzia fursa mbalimbali zinazojitokeza kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Swali korofi: Hii ni sensa au siasa?

    Kama watanzania tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022, mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku nikawasubiri makarani wa sensa bila mafanikio, sikuhesabiwa. Sitaki kusema mengi, sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makarani wa Sensa, mbona hili Swali limekaa Kibinafsi na Kiuchokozi zaidi?

    Je, unatumia Choo cha Shimo au cha Kuflashi? Hili linahusikaje na idadi ya Watu tunaohesabiwa? Tunakoelekea mtakuja Kutuuliza huwa tunaenda haja kubwa mara ngapi kwa Siku na ya aina gani pia.
  7. 4

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya Ummy Mwalimu jibu swali hili kabla ya kesho mimi kuhamia Burundi

    Husika na mada tajwa hapo juu, Kwako Waziri wa Afya UMMY MWALIMU, kwanza nikupe pole na majukumu yako ya kila siku japo ni wajibu wako kuyatekeleza, na pili nikupongeze kama Mbunge na Waziri kwa jinsi mnavyoendelea kuwalimbikia watanzania Tozo wakiwemo wananchi wako katika jimbo lako la Tanga...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Biashara nje ya uwanja wa Mwamposa ina baraka ya serikali?

    Wakuu mpo njema? Swali langu ni kuhusu wafanyabiashara ambao wameweka kambi kwenye kituo cha daladala pale Kawe karibu na anapofanyia mikutano Mwamposa. Sasa hivi sehemu ile imejaa wafanya biashara wadogo (machinga) na mama ntilie wa kutosha. Mazingira ya hapo kweli hayaridhishi, ukiangalia...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

    Hivi siku ile unamwoa huyo mwanamke ulijua kabisa kuwa hakupendi ila ukamwoa hivyohiyvo? Kwa sababu zako zipi sijui? Mfano kwa mwanamke, wengi huingia hawajampenda mwanaume ila sababu zake ni Kuogopa kuchachia home, kuolewa kama mashost zake walio ndoani, kufuata Mali za mwanaume na wengine Ili...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

    Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume. Wanaume walio single ukiwauliza wanasema: 1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani. 2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto...
  11. JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi

    Habarini wataalamu Naomba kuuliza iwapo hii imewahi kutokea nchini au popote duniani. Je, matokeo ya SENSA YA WATU NA MAKAZI yaliwahi kutumika kubadilisha baadhi ya sheria nyeti kabisa za nchi husika?? Au mbali sana yakabadilisha kabisa KATIBA ya nchi? Ukiacha na mambo ya kuzuiliwa kuzaa...
  12. JamiiForums Tanzania USHAURI: Sensa ijumuishe swali la MARITAL STATUS!

    Kutokana na kuongezeka kwa single parents ni muhimu katika tukajua ukubwa wa tatizo. Ili mipango iandaliwe kuwa-support wale wenye uhitaji. Asante.
  13. JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Je, unaweza kumfundisha mwanao hesabu hadi darasa la ngapi?

    Tuseme Mtoto wako anapenda hesabu Ile balaa na anataka msaada wa baba/ mama. Je, wewe kama mzazi unaweza kumpigia namba mpaka darasa la ngapi bila kudesa?
  14. JamiiForums Tanzania Ni nani mwenye uwezo wa kutoa jibu la swali hili? Mimi nimechemka

    Kwanza salam zangu za leo ziwafikie popote mlipo member wenzang. Kuna best friend wangu alikuwa anauliza swali hili hapo chini 👇 Kati ya: 1] Mchina 2] Mwaarabu 3] Muhindi Ni race ipi ambayo ukifanya nayo kazi haiwezi kukusumbua kwa upande wa malipo na haki zako zingine za msingi? Maana jamaa...
  15. JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini tunashuhudia miradi mbalimbali ya maendeleo inatekelezwa lakini hatuoni suluhisho kwa wananchi?

    Kazi iendelee! Wadau mtakuwa mashuhuda wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na seriksli kupitia Ilani ya CCM tangu awamu ya kwanza hadi hii ya sita. Pongezi nyingi ziwafikie viongozi wote wa awamu zote kwa jitihada zao za kutatua changamoto za wananchi. Pamoja na hayo, kuna baadhi ya miradi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujibu swali la wewe ninani kwenye usaili

    Kama ni mtafuta ajira ambaye umewahi kupata bahati ya kuitwa kwenye usaili, bila shaka swali hili sio geni. Ni swali la “wewe ni nani” ambalo mwajiri anauliza ili kufahamu taaluma, ujuzi na uzoefu wako. Amini ninapokuambia kuwa, wala hahitaji kujua kabila na mkoa uliozaliwa. Anahitaji madini ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinauuzwa sana kwenye jamii yako?

    Ni kitu gani kinapuuziwa sana kwenye jamii yako?
  18. JamiiForums Tanzania Swali chokonozi: TFF inaweza kumfungia mtanzania kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi?

    Shirikisho la soka hapa nchini almaarufu kama TFF linaratibu, kuongoza na kusimamia soka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. CAF ni kwa Afrika nzima na FIFA ni kwa dunia. TFF inatekeleza majukumu yake, pamoja na mambo mengine, kupitia Kamati na uongozi wake. Jana, Kamati ya Maadili...
  19. JamiiForums Tanzania Swali la Uchokozi: Jeshi la Polisi Halina Wanawake Wenye Uwezo?

    Labda hili swali tungeliuliza hata kuhusiana na Jeshi la Wananchi. Hasa baada ya hizi teuzi. Najiuliza inawezekana kwenye majeshi yetu hakuna wanawake wenye uwezo na ufahamu wa mambo ya kazi, operesheni na mikakati ya kijeshi kuweza kushika nafasi za juu kwenye majeshi hayo? Labda Rais yeye...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simon Sirro amefanya kosa gani mpaka akaondolewa u-IGP kabla ya kustaafu kama Venance Mabeyo?

    Ilikuwa imebaki mwaka mmoja tu Simon Sirro atimize miaka 60 na yeye kustaafu kwa heshima. Ametibua nini? Mpaka akag'olewa? Pia, soma=> Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…