USHAURI: Sensa ijumuishe swali la MARITAL STATUS!

USHAURI: Sensa ijumuishe swali la MARITAL STATUS!

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,196
Reaction score
39,658
Kutokana na kuongezeka kwa single parents ni muhimu katika tukajua ukubwa wa tatizo. Ili mipango iandaliwe kuwa-support wale wenye uhitaji. Asante.
 
Zitachangia vipi kuleta maendeleo vijijini hasa ya umeme, maji na miundombinu ya barabara??
 
Watu wanalowekwa bila malengo watu wakisepa mbanga zinaanza
 
Back
Top Bottom