Kenya 2022 Jaji amuumbua Raila Odinga kwa swali gumu

Kenya 2022 General Election

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,833
18,829
Kwa mnaofuatilia mnakumbuka wale makamishna 4 wa IEBC walivyotoka saa ya mwisho matokeo yakitaka kutangazwa na kusema hawayatambui

Jaji anawauliza mawakili wa Odinga kwa nini muda wote walikuwepo na kuonekana kusoma matokeo kwenye Tv ila baada ya kuona Raila anashindwa wakasema hawayatambui?

IMG_20220901_094257.jpg
 
Hilo ni swali la kawaida sna mahakamani.
Hata cheating, chumba cha mtihani hufanyika dk za mwisho.
 
Huwezi kubisha Wakati wa process unabisha Wakati wa kuandaa Azimio ( declaration) na ndicho walichofanya

Jaji alikuwa anamsaidia Raila kijanja
 
Ungekuwa wakili ungeshindwa kujibu kaswali kadogo hicho? Au hukumbuki Mambo ya Prof P. Lumumba yalikua yanajibiwa na sentesi moja na J.Orengo?

Acha wanyemane mahakami msindi atajulikana
 
Ungekuwa wakili ungeshindwa kujibu kaswali kadogo hicho? Au hukumbuki Mambo ya Prof P. Lumumba yalikua yanajibiwa na sentesi moja na J.Orengo?

Acha wanyemane mahakami msindi atajulikana
Hebu wasaidie kujibu
 
Back
Top Bottom