Suala la bima ya Afya kwa pamoja

TZ-1

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
3,586
6,095
Habari wana jamvi, naona bunge na Serikali ikiwa na hoja nzuri yenye mtazamo wa kuweka mazingira ya wananchi kupata afya kwa mfumo wa bima.

Kwakuwa ni shirika moja ndio linalotegemewa (NHIF) kwenye hiyo bima ya pamoja kwa watanzania wa maisha ya kati na chini zinaweza tokea changamoto hizi:-

Kuzorota kwa huduma (lipo moja na ndio linategemewa kama Tanesco)
Linaweza kuhujimiwa na kufirisika
Lengo la huduma linaweza lisifikiwe kama malengo yalivyo.

UTATUZI
SERIKALI ikaribishe mashirika mengine pia yawe kama 3/7 kwaajili na wao wawezesha utoaji wa bima za afya kwa wananchi hii itaongeza ufanisi chachu na kuboresha kwa huduma za afya.
 
UTATUZI
SERIKALI ikaribishe mashirika mengine pia yawe kama 3/7 kwaajili na wao wawezesha utoaji wa bima za afya kwa wananchi hii itaongeza ufanisi chachu na kuboresha kwa huduma za afya.
Hawakubali kama vile wanavokataa kwa tanesco,maji nk
Pia ukiona wizara inazidi kuzorota ujue waziri ndio hamna kitu
 
Back
Top Bottom