Zitto kabwe: Mradi wa NSSF wa kiwanda cha kuzalisha sukari Mkulanzi kilichogharimu Tsh bilioni 130 hakijazalisha hata tani moja mpaka sasa

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
304
401
Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.

Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.

Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
 
Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiliwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.

Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto,mradi umekufa.
Ila hii nchi tunapigwa, ila na tulivyo wajinga na mafala tunaishia kushangilia, huu ujinga wetu utatuisha lini?

Kwa nini tuna kiwango hiki cha ujinga?

Ni lini utambuzi utatuijia?
 
Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiliwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.

Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.

Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto,mradi umekufa.
Mifuko ya Hifadhi ya Jamii inapoacha kazi zake za msingi na kuingizwa mkenge na wanasiasa uchwara.Wastaafu wanakosa mafao yao huku fedha zao zikiingizwa katika biashara ,ujenzi na viwanda uchwara.
 
Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiliwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.

Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.

Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto,mradi umekufa.
Bodi inatumia hela nyingi kufunika huu mradi madudu ni mengi sana, kuna mgogoro na magereza
 
Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiliwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.

Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.

Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto,mradi umekufa.
Sasa tufanyeje?
 
Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.

Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.

Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Haiwezekani kuzalisha tani 250,000 kwa kulima hekta 800 (Narudia haiwezekani, hiyo ilikuwa lugha ya kutapeli pesa za wafanyanyakazi tu)

TPC inalima hekta hazizidi 8000 lakini hawajawahi kuzalisha kuzidi tani 120,000

Kilombero Sukari (ILLOVO) iwanalima sio pungufu ya hekta 16,000 jumlisha wakulima wa nje (Outgrowers) lakini haijawahi kuzalisha kuzidi tani 250,000

Sasa muujiza wa kiwanda cha MVUHA kinatokea wapi?

Zitto's observation is right and he has spoken minds of many voiceless.
 
Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.

Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.

Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Huyo ndiye Magufuli polojo nyingi wakati alikuwa bonge la mshamba tu wajanja wanamliza.....

Yaani kiwanda cha kuzalisha tani 250,000 kinakuwa na shamba la Hector 800 pumbavu kabisa......

Nchi ya kipumbavu sana hii kuna Siku watu wataanza kujitoa muhanga endeleeni tu kucheza.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom