sua

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

    Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret...
  2. B

    JamiiForums Tanzania SUA wakijizatiti kwenye tafiti na uvumbuzi, kulikoni Law School?

    Imesikika repoti ya Dr. Mwakyembe akitaka kuiaminisha Dunia hii ya werevu ati kuwa sheria ni fani adhimu na special sana. Haijulikani ni kwenye lipi msomi huyu akilenga. Hawa hapa ni SUA wakikodolea ubingwa katika tafiti na uvumbuzi: Mkakati wa SUA kuwa kitovu cha utafiti, uvumbuzi Ma lawyer...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Wakati wenzetu wakiendelea na uvumbuzi wa AI, sisi tunakomaa kufundisha panya pale SUA

    Wakati wenzetu wakiendelea kuvumbua teknolojia mbalimbali ikiwemo akili ya bandia (Artificial Intelligence), wasomi wetu wa SUA wanakimbizana na panya eti kuwafundisha panya kubaini magonjwa na kugundua sehemu ambazo mabumu ya ardhini yametegwa. Kwa maoni yangu huu ni mtindio wa ubongo kwani...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Confirmation SUA

    Naomba ambaye amesha confirm SUA admission anisaidie how to do it. Naweka user name, PW to get into my inbox for joining instructions and confirmation vinakataa. Nawapigia simu anapokea mtu binafsi, kero tupu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaspoti: George mpole darasa la saba 2005, sua 2010

    naaam niko hapa napitia mahojiano ya ya mpole na makanjanja ya mwanaspoti mambo ni bull bull
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Veterinary Medicine ya SUA iko vipi?

    Kwema wakuu. Ebana ndugu yangu amechaguliwa kozi tajwa hapo juu chuo cha sokoine pale Morogoro, naona Kama hajaridhishwa hivi na hii kozi, lengo lake lilikua asome MD ila vyuo vyote vya medicine alivyoomba hawajamchagua sababu ya ushindani kuwa mkubwa sana mwaka huu. Matokeo yake ya kidato cha...
  7. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, ubora wa Vyuo Vikuu hauko sawa; natoa mfano wa SUA

    Vyuo vyetu bado viko hoi sana hata kwa miundombinu tukilinganisha na waliotuacha kama South Africa. Bila ushabiki, kupitia mitandaoni SUA imekuwa ikisikika kama mfano wa chuo bora kwa uwezo wa wahitimu wake. Ni mfano wa wahitimu wavumilivu na wabunifu ktk taaluma zao. Hata hivyo, adui mkubwa...
  8. bush crazy

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kwa aliyesoma Chuo Kikuu Huria shahada ya kwanza na pili akafundisha UDSM, SUA, Muhimbili au UDOM?

    Naombeni muongozo wadau kabla ndugu yangu hajichanganya maana Ana GPA ya 4.4 anataka kusoma masters open ili aje apambanie u-assitant lectucter?
  9. Hot bird

    JamiiForums Tanzania Tahadhali: Kwa wanaotuma maombi ya kusoma SUA

    Huu ni ujumbe mahsusi kwa form six na diploma wanaotegemea kutuma maombi chuo cha SUA. Natoa rai tu,kama unataka kusoma SUA basi omba kozi zote upendazo ila achana na kozi hizi hapa chini. 1. Bachelor of laboratory Sciences (BLS). 2. Bachelor of education zenye physics. Hiyo BLS ni kozi ya...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kilimo kitafanikiwa vipi na Kuinua Uchumi, ikiwa wasomi wa kilimo hawasaidii?

    "Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?," - Mbunge wa kalambo Josephat Kandege Chanzo: EastAfricaTV Israel nchi ndogo sana tu na haaina Ardhi Kubwa lakini wameweza Kujiimarisha kwa Kilimo na...
  11. Edgar 8900

    JamiiForums Tanzania Nimesoma HGE nisome Degree gani?

    Nimesoma HGE kozi gani inanifaa pale SUA au ARDHI
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri wa SUA tafadhali ongezeni 'Msuli' kwa Wanafunzi wenu kwani 'Wanazagaa' mno 'Mitaani' Morogoro na 'Vichwani' ni Watupu

    Haiwezekani iwe ni Asubuhi, Mchana na hasa Usiku unakutana nao tu barabarani na katika Vilinge vya Starehe wakati nijuavyo kwa Vyuo Vikuu serious kama changu Takatifu na Tukuka cha SAUT Mwanza, Mzumbe, Tumaini na UDSM kwa Msuli walionao huwezi kukuta Wanafunzi wao wanazagaa hovyo kama Mbuzi wa...
  13. Hot bird

    JamiiForums Tanzania SUA, hao wanafunzi wanaoenda field bila kuwapa pesa za kujikimu mnawawazia nini?

    SUA hao wanafunzi wanaoenda field bila kuwapa pesa za kujikimu mnatuwazia nini?Hili ni swali ninalojiuliza ila hadi sasa hakuna majibu. Watanzania kazi iendelee. Katika mambo yanayoonekana kuwa na matatizo ni jinsi baadhi ya vyuo vikuu vinavyotekeleza mambo yake,leo nitaandika mambo...
  14. Hot bird

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje SUA waruhusu bango lenye makosa

    Hili ni bango lililolenga kusema "outreach"
  15. LICHADI

    JamiiForums Tanzania Wasomi wa SUA wanalisaidia nini Taifa?

    Ni muda muafaka sasa tujadili hizi taasisi zinatusaidia nini kama Taifa maana kila kukicha bei za vyakula ni juu hasa mafuta ya kupikia na Ngano, serikali inaingia garama kubwa kuwalipa mishahara minono waprofesa na wataalam wengine wa kilimo katika hizi taasisi lakini sijui wanamchango gani kwa...
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

    Introduction Nimeamua kuanzisha uzi huu mahsusi unaohusu Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kama njia ya kukienzi chuo hiki kikongwe na cha kipekee nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Awali ya yote naomba ku declare interest kwamba mimi ni mhitimu kutoka SUA miaka mingi iliyopita wakati...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa Div One za point 7 zinaleteleza GPA 4.5 kule SUA na UDSM. Na zamani tulikwama wapi? Tujadiliane kidogo

    1. Kuna ukweli kuwa mitihani zamani ilitungwa na walimu wakongwe, na sasa NECTA wametunga wenyewe? 2. Usahihishaji unafanyika kwa muda mfupi sana , wameongeza wasahihishaji au wasahihishaji wameongeza speed? 3. Kuna ukweli kuwa wasahihishaji wakimaliza kazi, wataalamu na standardazation...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SUA kweli kwenye maabara zenu hamuwezi kubuni dawa kama Butalex? na zingine za mifugo?

    Najiuliza kweli hamuwezi kubuni kutoka maabara zenu kwa kutumia miti shamba yetu kutengeneza dawa kama Butalex? hii dawa sasa hivi haipatikani madukani, kuna formulations zenye mapungufu makubwa. Mnakwana wapi na mmejaza maprofesa na MaDr kibao wenye mabooks na madictionary kibao? Litafakari...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Vilio na simanzi vyatawala mwili wa mwanafunzi wa SUA aliyeuawa

    Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro, Magreth Mashuwe aliyeuawa na watu wasiojulikana katika mashamba ya chuo hicho hivi karibuni huku chanzo kikikwa bado hakifahamiki. Ibada hiyo...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania PSSSF inaidai Serikali trilioni 4.6, yasuasua kuwalipa wastaafu

    Hii mifuko inabidi iwekewe sheria kali kwa wanasiasa kujichotea hela kutimiza miradi yao iliyokwama au nakisi ya bajeti kwa gharama ya wastaafu. Hawa wazee wamekuwa wanapeleka michango yao miaka yao yote ya kuchakarika mpaka nguvu zimewaisha kwa mategemeo zije ziwasaidie, tuheshimu pesa za...
Back
Top Bottom