SUA kweli kwenye maabara zenu hamuwezi kubuni dawa kama Butalex? na zingine za mifugo?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,395
73,988
Najiuliza kweli hamuwezi kubuni kutoka maabara zenu kwa kutumia miti shamba yetu kutengeneza dawa kama Butalex? hii dawa sasa hivi haipatikani madukani, kuna formulations zenye mapungufu makubwa. Mnakwana wapi na mmejaza maprofesa na MaDr kibao wenye mabooks na madictionary kibao? Litafakari hili please and this goes to dawa zingine za mifugo......
 
Sisi watanzani maswala ya kisayansi tunategemea msaada
 
Wana account zao kwenye mitandao mingine. Baada ya kutupa habari hapa, pia habari hii ama ushauri huu utume huko lakini ukiwa umepunguza lugha za kebehi na dharau.
 
Ukiona taifa lina-import hadi toothpicks, linauza nafaka na kuingiza unga, na the likes, hapo kuna ^TAR-TEA-ZO^ si kidogo.
 
Najiuliza kweli hamuwezi kubuni kutoka maabara zenu kwa kutumia miti shamba yetu kutengeneza dawa kama Butalex? hii dawa sasa hivi haipatikani madukani, kuna formulations zenye mapungufu makubwa. Mnakwana wapi na mmejaza maprofesa na MaDr kibao wenye mabooks na madictionary kibao? Litafakari hili please and this goes to dawa zingine za mifugo......
Huko zilipokuwa zinatoka zilitengenezwa na agronomist au pharmacist?
 
Huko zilipokuwa zinatoka zilitengenezwa na agronomist au pharmacist?
SUA is a research institution of higher learning and therefore whatever the case to your question, they are destined to be capable of attempting this!
 
Idara ya mazao wanatakiwa kuwa na kitengo cha utafiti na ugunduzi wa tiba mfano wa suala aliloleta muanzisha uzi huu.
Crop science?
Huko Wana Mama mmoja tu mwenye uwezo uliotukuka Ila ni magonjwa ya mimea...

Dawa aliyotaja ni ya ng'ombe upande husika CVMBS Nako unaweza kukuta wapo watatu hao ndio wafanye tafiti za dawa zote kuanzia Simbilisi mpaka ya Ngamia?

Tatizo la tafiti ni la kitaifa na sio taasisi, ratio ya kiwango kinachotolewa kwenda kwenye tafiti (%) ya bajeti ni ndogo hivyo taasisi husika karibu zote hawana mipango endelevu ya utafiti.
 
Najiuliza kweli hamuwezi kubuni kutoka maabara zenu kwa kutumia miti shamba yetu kutengeneza dawa kama Butalex?
Binafsi sijui chochote kuhusu haya mambo lakini nilipojaribu ku-Google, nimekuta "Butalex is for the treatment of theileriosis in cattle caused by ticks infections." Huo ugonjwa unaitwaje kwa Kiswahili?

All in all, issue Bongo sio uwezo wa taasisi kufanya research na kutoa product bali serikali kutotoa kipaumbele kwenye hizi researches! Kuna mjadala niliwahi kuusikia ukiwahusu hao hao SUA na tafiti zao! Hawa walikuwa wanalalamika kwamba serikali inatoa kipaumbele kidogo sana kwenye research. Lakini hata inapotokea wenyewe SUA wanafanya research na ku-develop mbegu au hata hizo dawa, serikali huwa inashindwa kutimiza wajibu wake wa ku-push up hayo matokeo wakati SUA kama SUA wao sio commercial institution na kwahiyo wao wataishia tu ku-develop product! Sasa badala ya serikali kuhakikisha utafiti husika unakuwa commercialized for mass production, unakuta ndo kwanza inaruhusu similar product kutoka nje na matokeo yake matunda ya utafiti wao yanafia hapo!

At the end, unakuta wanaishia kwenye research za panya kutegua mabomu kwa sababu kuna wanaofadhili hizo researches na sio serikali
 
Binafsi sijui chochote kuhusu haya mambo lakini nilipojaribu ku-Google, nimekuta "Butalex is for the treatment of theileriosis in cattle caused by ticks infections." Huo ugonjwa unaitwaje kwa Kiswahili?

All in all, issue Bongo sio uwezo wa taasisi kufanya research na kutoa product bali serikali kutotoa kipaumbele kwenye hizi researches! Kuna mjadala niliwahi kuusikia ukiwahusu hao hao SUA na tafiti zao! Hawa walikuwa wanalalamika kwamba serikali inatoa kipaumbele kidogo sana kwenye research. Lakini hata inapotokea wenyewe SUA wanafanya research na ku-develop mbegu au hata hizo dawa, serikali huwa inashindwa kutimiza wajibu wake wa ku-push up hayo matokeo wakati SUA kama SUA wao sio commercial institution na kwahiyo wao wataishia tu ku-develop product X lakini hapo unakuta serikali inaruhusu similar product kutoka nje na matokeo yake matunda ya utafiti wao yanafia hapo!

Matokeo yake, unakuta wanaishia kwenye research za panya kutegua mabomu kwa sababu kuna wanaofadhili hizo researches na sio serikali
Umeongea karibia yote kwa usahihi mkubwa sana mkuu, SUA wanafanya tafiti nyingi sana pale ila za watu wengine au tasisi zingine Kwa sababu wao wako willing kuwekeza pesa

Kuna miradi hadi ya bill gates pale SUA, tafiti zinahitaji kuwekeza pesa nyingi sana na ubaya serikali haitoi fungu la kutosha

na wale jamaa wanajiendesha Kwa kutegemea miradi yao ya pale chuoni hivo kipato ni kidogo sana

La kuongezea tu, huo ugonjwa Kwa kiswahili unaitwa "NDIGANA KALI"
 
Umeongea karibia yote kwa usahihi mkubwa sana mkuu, SUA wanafanya tafiti nyingi sana pale ila za watu wengine au tasisi zingine Kwa sababu wao wako willing kuwekeza pesa

Kuna miradi hadi ya bill gates pale SUA, tafiti zinahitaji kuwekeza pesa nyingi sana na ubaya serikali haitoi fungu la kutosha

na wale jamaa wanajiendesha Kwa kutegemea miradi yao ya pale chuoni hivo kipato ni kidogo sana

La kuongezea tu, huo ugonjwa Kwa kiswahili unaitwa "NDIGANA KALI?
Ahsante kwa maelezo yako, including huo ugonjwa manake nilikuwa naona manyota nyota tu!
 
Wanatengeneza, mbona wana dawa 3 inatibu magonjwa ya kuku na vitu vingine. Wamefanya mengi labda ni kwa uchache.
 
Hizo ziko sokoni kweli? Zinaitwaje?
Tatumoja_1.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom